Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimesikia fununu kuwa lile jengo lefu la UvCcm sasa unaweza book apartment Hebu wanaojua watuambie na je nikinunua nitapewa hati? Wakati mmiliki ni CCM ?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NA PETER KATULANDA, MWANZA Thursday, 28 April 2011 MJUMBE wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa, Barnabas Mathayo, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumteka kwa silaha na kumbaka binti wa miaka 22...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani ifike mahali shule za binafsi zenye kawaida za kufelisha zifutwe kwani ni hasara kwa wazazi. Iweje kila mwaka bidhaa zao ziwe mbovu na bado TBS ya wizara ya elimu haiwamliki? Kaguzi zipi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello Jf members Kwa kitambo nimekuwa nanyi. Nimethamini, nimeipenda michango yenu na nahisi nitaimiss kwa kiasi fulani. Nitakuwa mbali na jukwaa kwa kitambo kidogo kuanzia kesho 13th April. Hii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana nilikuwa kwenye lift za jengo la PPF Tower. Mara nyingi nina tabia ya kupenda kuimba au kupiga mruzi hata ninapokuwa mwenyewe au hata niapotembea. Lakini ninapkuwa kwenue public basi hata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niliposikia vigogo wanasiasa kukimbilia loliondo kupata kikombe sikushtuka! Maana naelewa wengi huwa ni wepesi katika imani bila utafiti! mara ngapi tunasikia wakati wa uchaguzi wanakwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
juzi nimepanda bus tajwa hapo juu, kwa kweli abiria tuliteseka sana, lilikuwa linaendeshwa na dereva anaitwa Salakana,huyu bwana alikuwa anakimbia sana na mbaya zaidi huku anaongea na simu kila...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
With a freedom of speach ground,but make sure you dont hut any body around you,note that, a silence foolman,thought to be wise than a talketive inteligent .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo niliona nyumba ya familia moja inayofahamika ina uhusiano wa karibu na mwandishi wa huko Dar ndugu Kubenea ikiwa imegongwa na gari na kuharibika huku watu kadhaa wakiwa ndani ya nyumba hiyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tangu mvua za masika zianze kumekuwa na usumbufu usio wa lazima kwa watu wanaosafiri kwenda Kilosa.Inabidi ukitokea Moro upitie Dumila safari ambayo huongeza zaidi ya Kilometa 50. Tatizo lipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu mvua za masika zianze kumekuwa na usumbufu usio wa lazima kwa watu wanaosafiri kwenda Kilosa.Inabidi ukitokea Moro upitie Dumila safari ambayo huongeza zaidi ya Kilometa 50. Tatizo lipo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
umeme bado ni tatizo kwa taifa hili.
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Hello, Kuna kitu nimekiona mkoani Dodoma, niliamua kuchana mitaa kadha wa kadha kwa miguu, baada ya kuingia katika manispaa ya Dodoma ili nijionee raha ama uzuri wa mji huu! Chakushangaza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kigamboni kuna kero nyingi sana. Moja kati ya hilo ni usafiri usio na uhakika kati ya mjini na Kigamboni. Usafiri uliopo kwa sasa ni wa kivuko cha ferry au barabara ya kuzungukia Kongowe ambayo ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapa Zanzibar palitokea tukio moja la kigaidi la Mkurugunzi wa manispaa ya Zanzibar kumwagiwa tindikali na kuharibika mwili wote. ni tukio la kigaidi lilopangwa na magaidi ya kutaka kumuua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na Makunga Peter, Bukombe MGODI mpya wa machimbo madogomadogo ya dhahabu umeibuka katika Shule ya Msingi Nganzo, wilayani Bukombe, mkoani Shinyanga na kufanya viongozi wa wilaya kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vipi wadau? Nime-download kwenye mtandao kipindi cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM cha tarehe 10/4. Mada ilikuwa inaongelea swala la Loliondo! Kweli nilikuwa impressed na jopo la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa wafuasi wa chadema Arusha watazuiwa kusikiliza kesi inayowakabili Dr Slaa na wenzake. Habari zilizonifikia zinasema kuwa Andengenya amewaanda vijana wake wametanda mji mzima...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
leo niomeshtushwa na habari katika gazeti la mwananchi kuwa ,eti wanafunzi wengi waliongoza kidato cha sita wanatoka familia maskini!!!!!!!!!!! Hapa ndipo CCM walipotufikisha kwamba eti mtoto wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Na Suleiman Abeid, Shinyanga WATANZANIA wameshauriwa kutobabaishwa na mabadiliko yanayofanywa na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa utaratibu wa viongozi wake kujivua ‘gamba’...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom