Haya mambo yanayotokea,kumstopisha magufuli,kuwazodoa mawaziri hazarani wakati JK akitembelea wizara.,migogoro ndani ya jumuiya za CCM,JE NI DALILI YA SERIKALI KUPANIC? Naona kama serikali...
Dars new water project risks yet another diplomatic row with Egypt
River Nile in Egypt. The $85.1 million Tanzanian project will not be received kindly by Egypt and Sudan. Photo/AFP
By...
WanaJF nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali tangia ujio wa Babu wa Loliondo. Ufuatiliaji wangu umejikita zaidi juu ya watu wanaoenda kwa Babu. Ni jambo ambalo haliwezi kupingika kwamba makundi...
Sugu tangu uapishwe hatujakuona hapa mbeya au ndo umeshapata, tumekumisi mbeya carnival hatujasahau tulivyokuwa tukishinda sote asubuhi mpaka usiku sasa sijui ndo majukumuu yamekuzidi!!!!!!!!!!
Haya leo tena kutakuwa na kongamano la kitaifa mjini tanga viwanja vya TANGAMANO KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI HADI SAA SITA. Mada athari za mfumo kiristo TZ, HARAKATI ZA UHURU TZ, katiba mpya nk...
WASIRA, MKONO NAO WATUA KWA BABU KUPATA KIKOMBE
Neville Meena na Mussa Juma, Samunge
SAFARI za vigogo wa Serikali kwenda kijijini Samunge, Loliondo kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapila...
Wakati nikiwa naelekea town hapa Dar niliona Bendera za CCM zikipamba baadhi ya barabara. Mwenye taarifa naomba atujuze. Kulikuwa na maandamano ya CCM au Vikao vya CCM.
NB: Japo najuta...
Wanajamvi napenda kuwashukuru kwa kuendelea na mapambano nami hata nje na kote naamini kua only people who can think will bring changes at once no matter how we are but we shall reach,je...
Kuna shutuma kwamba baraza la mitihani ndio chanzo cha waislam kuwa nyuma. ktk mijadala yao mingi hulitaja baraza la mithani kama ni source ya wao kuwa nyuma.
wanasema eti sio bahati mbaya kuwa...
Furaha ya Rostam kuzimwa?
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 30 March 2011
SHIRIKA la umeme la taifa (TANESCO) limetupa kete muhimu likilenga kusimamisha ulipaji tozo ya Sh. 94 bilioni kwa...
'Wabunge walipwe mishahara kutokana na profession zao, kama ni mwalimu, alipwe mshahara wa mwalimu.n.k ili atetee vema masilahi ya wananchi'...Dr. Lwaitama. HII IMETULIA SANA
Hivi karibuni kumezuka maneno mengi,hasa baada ya Mufti kuwaasa waislam wasijiunge na maandamano ya kisiasa.Dr.Slaa akimjibu mufti kwa kuwa chadema ndio inayohusika na maandamano alisema Mufti...
Chukua muda kusoma hii habari ingawa in ndefu (vumilia) halafu utoe maoni inafanana vipi na ile ya Babu wa Loliondo AU inatofautiana vipi
George Washington Carver (1864-1943), was an...
Jamani naomba kuuliza ni nini maana ya viongozi wetu wakubwa hususani maraisi kama Benjamin Mkapa halafu na JK katika hotuba zao za kila mwisho wa mwezi huwa wanavaa mashati meusi je kuna maana...
President Jakaya Kikwete's government was yesterday challenged to urgently find lasting solutions to the many problems facing the country.The government might find itself facing mass...
UMRI WA UVCCM NI CHINI YA MIAKA 30?BENO MALISA AMEZALIWA MWAKA 1977 MPAKA LEO ANA MIAKA MINGAPI NA MBONA BADO NI MJUMBE WA UVCCM??NAFIKIRI KUNA SHIDA HAPO,JUMUIA HII YA VIJANA INAONGOZWA NA WAZEE...
Wadau nimeshitushwa na utitiri wa magari kwenye msafara wa rais (umenipita mitaa ya Kibamba) bila shaka unaelekea Msoga kwa mapumziko ya week end.
Hizi zote ni kodi za watanzania masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.