Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
You would think they are twins. The husband of one of them was caught by surprise when the other entered a ceremonial venue. "Oh, my, how come my wife is here without telling me" the husband...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na hali ngumu ya maisha Waafrica wengi wanakimbia hali ngumu ya maisha Marekani na kurudi makwao [URL="http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-12810828" Tunawakaribisha sana. Home...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muswada wa katiba mpya uliopendekezwa na serikali na hatimaye kujadiliwa na wanaharakati, wanasiasa pamoja na wananchi katika kongamano la pili la katiba iliyoandaliwa na UDASA na kufanyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hata hapo kwenye heading jaribu kuhesabu. utagundua kuwa herufi e ina frequency kubwa kuliko herufi zingine.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelazimika kuahirisha zoezi la utoaji wa fedha kwa familia za marehemu, Ismail Omary na Denis Shirima, waliofariki dunia wakati wa vurugu za Januari...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MODS tunaomba muanzishe jukwaa la vikombe Tanzania. Maana sasa hivi vikombe vinaibuka kila mkoa, wilaya , kata , mtaa na sasa vitakuwa nyumba kwa nyumba , So ikiwa kama issue endelevu inahitaji jukwaa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
TAASISI ya Utawala Bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA) imeishauri Serikali kupiga marufuku midahalo inayochangia kukosekana nidhamu na kusababisha uvunjifu wa amani shuleni na vyuoni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
:mmph:As we always advise JF Members - say nothing to anybody that you wouldn't say to everybody! :redfaces:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wachagga wana majina bwana. Utasikia Nice, Sweet, Light, Bright, Darling, Dear, Verynice, Gift, Present,Nuru, Sura, Kisura. Utakuta baba zima linaitwa Nice! lol
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Teknolojia yawatoa ushamba wabunge Send to a friend Tuesday, 05 April 2011 21:27 0diggsdigg Midraji Ibrahim na Israel Mgussi, Dodoma UTARATIBU mpya wa kufungua milango kwa kutumia teknolojia ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
05 April 2011 Mama Sifa Maanya Kabila Neville Meena na Mussa Juma, Samunge SASA ni dhahiri kwamba tiba ya magonjwa sugu inayotolewa na Mchungaji Ambilikile Mwasapila, imesambaa na kuvuka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hello guys!! naomba mnisaidie kwa hili,ni kawaida(mila na desturi) ukimaliza kula lazima useme asante kwa chakula. swali ni hili: Ni yupi anastahili kupewa asante? aliyepika chakula au aliyenunua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna habari za kuaminika zasema kwamba baada ya babu wa loliondo kuuza dawa yke kwa sh500 then na watu wengi wakaitikia wito huo na hata kutoka nchi za mataifa kuja tz kunyw kikombe kwa bei ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF hivi Zanzibar ni nchi au mkoa? Inasemekana kuwa Katiba ya zanzibar inasema zanzibar ni nchi na mipaka yake, katiba ya Tanzania inasema Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Is more than Mtanzania Kwa Uchochezi, Uongo na Upotishaji Sina haja wala sababu ya kunukuu madudu yao But, kwa wnaolisoma wanalijua...
0 Reactions
5 Replies
17K Views
Nimepokea taarifa kupitia rafiki yangu kwamba Sylvester emeaga dunia leo. Kama kuna mwenye updates atujuze hapa...
0 Reactions
89 Replies
10K Views
“The liberty of a democracy is not safe if the people tolerate the growth of private power to a point where it comes stronger than their democratic state itself. That, in its essence, is fascism -...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, nimekuwa nikitafakari juu ya majengo ya kilichokuwa chuo cha TANESCO kuporwa na kukabidhiwa kwa kikundi cha watu wachache. Ikumbukwe kuwa majengo haya yalikuwa ni mali ya walipakodi wote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Wa TZ umefika wakati muafaka kuacha UNAFIKI... REGARDLESS OF WHO IS LEADING US.... NYERERE BEWITCHED US... mpango ni CHRISTIANS 10....n...MUSLIMS 10. HATA KAMA TAIFA LAUZWA... TAKE CARE...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwaka huu serikali ya Tanzania inajiandaa kusherekea miaka 50 ya uhuru. Wapo wanaosema bado Tanzania haijafikisha miaka 50 kwani Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 hivyo ina miaka 47 tu. Wapo wanaosema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom