Jamani wana JF yametokea mambo mengi bungeni na tumejionea katika vikao vinavyoendelea hivi sasa kati ya wabunge wa CCM na CDM.
CCM Inaongoza kwa kuwa na wabunge wengi vilaza kwa utafiti wangu...
The only way to happiness is to look within you. Here are a few tools that may help you find your way.
Be easily amused. People who laugh and smile are happier and usually live longer - than...
Picha hii inaelezea mojawapo tu ya sababu lukuki za kwa nini watu wanaamua kuacha matibabu na kuamua kukimbilia Loliondo kwa matumaini ya kuwa watapona na kuondokana na adha za magonjwa...
Nimekerwa sana na kukatishwa kwa hoja alokuwa anachangia Dave Kafulila na Mbunge mmoja alokuwa akijidai kusahihisha juu ya hoja ya mashirika ya simu za mkononi kutolipa kodi pindi yanapobadilishwa...
Sababu 10 za kwenda kwa babu....
Ndugu,
Sababu 10 zinazowafanya watu kujazana kwa Babu.
1.Huulizwi ugojwa 2.Hupimwi. 3.Hulazwi. 4.Huandikiwi doz 5.Hupigwi Xray 6.Hufungwi P.O.P 7.Huwekewi...
Kutokana na wingi wa wageni Loliondo, inaripotiwa kuwa, Idara ya Uhamiaji, imepiga kambi kijijini Samunge ili kupitia nyaraka mbalimbali za wageni wanaoingia.
Source...
Ninaposema mvuto hapa simaanishi wa sura, bali watu ambao jamii kubwa ya Watanzania inawakubali sana kwa kipindi hiki, hawa ni watu ambao wakijitokeza kutoa kauli zao zinaheshimika na kusikilizwa...
Mandela road ime jam, magari yamepigana pini buguruni sheli, trafic aliyekuwa anaongoza magar kala kona, kuna mvua kubwa. Kama unampango wakupita njia hii muda huu, plse tafuta njia nyingine mbadala.
Ndio bandugu,nategemea mu wazima wa afya na kila mtu kwa nafasi yake anashiriki kwa njia moja au nyingine kuijenga nchi yetu iyojaa kila aina ya mapungu katika dhana nzima ya kimaendeleo.Leo...
Huko mkoani Mara, askari wamemtia nguvuni dereva pamoja, utingo pamoja na mmiliki wa gari moja lililosajiliwa kwa ajili ya kusafirisha mafuta ya gari, Scania yenye "plate" namba T263 BLL (pichani)...
BAADHI ya wafanyakazi wa Benki ya NBC,Tawi la Corporate jijini Dar es Salaam, wamedai kudhalilishwa na mabosi wao kwa kuvuliwa nguo zote.Wakizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana...
Inasikitisha kuona kuwa mpaka leo hii kabila la Kichagga linawakandamiza wanawake katika familia zao. Wiki iliyopita nilishuhudia familia moja ikimfukuza dada yao ambaye hakubahatika kuolewa na...
2011-04-06 12:44:20
Data bundle is being processed, SMS confirmation will be received, don't re-send SMS/Ununuzi unafanyiwa kazi, utapokea SMS kuthibitisha, Usitume tena SMS.
You have depleted...
Yule mwanaharakati maarufu kwa kunusa mkando wa ulaji, Said mwaipopo,alikuwepo radio wapo leo, katika kipindi cha meza ya busara, pamoja na wenzake wawili akinadi mazumuni ya kundi lao.
Kwamba ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.