Kama sikosei KKKT Makao makuu chini ya Dk Alex Malasusa haijatoa tamko la Kuunga mkono au kupinga tiba itolewayo na Mchungaji Mwaisapile. Nafikiri uamuzi huu ni wa busara na hii pengine nikatika...
"The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, But because of the silence of good people!"- Napoleon.
It is a high time a very able Tanzanian to give his views openly so...
Mpenzi msomaji, bila shaka ungali unatafakari mada ya wiki iliyopita iliyohoji kwanini nazaa watoto wa kike watupu, wakwe wananidharau? na endapo utakuwa na maoni yoyote usisite kuwasilisha...
Habari;
Nimesikitishwa na taarifa iliyotolewa na ITV kuwa lile gari lililokua limebeba wagonjwa kutoka moshi(lililotolewa na MH ndesamburo) kwenda semunge kwa babu lilmerudishwa kwa kua ati si...
Haya tena kwa wale wakazi wa Samunge huu ndio wakati wa kujinafasi Airtel has launched a site in your area! piga sh 1 kwasaa 24 kwa wale wakazi wa Loliondo hakuna tena shida ya mawasiliano ni...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Aprili 6, 2011, ameungana na mamia ya waombolezaji katika kumzika Katibu...
Ukizungumzia Loliondo ,Kwa Babu, Semunge kisha ukaangalia afya za viongozi WETU wote kuanzia maDC,RC,Wabunge,Mawaziri,Top Five, na wengine wengine,TISS,IGP,PCCB na wengine na wengine...
jana wananchi wengi wa dodoma tuliokusanyika nje ya ukumbi wa bunge tukisubiri kuingia ndani ya mjengo kutoa madukuduku yetu juu ya mswada wa kuunda katiba mpya ambao kimsingi unanuka madudu tupu...
Wanajamvi, nimekaa kama ilivyo ID yangu nikaunganisha dot! Kama kwa miaka zaidi ya mitano serikali hii imeshindwa kutupa umeme wa uhakika hivi inaweza leo ikabeba jambo hili kubwa na nyeti katika...
Wote tunaamini kua vijana ni nguvu kazi kwa taifa ila vijana hawa memberz wa group ya kwenye facebook ya " facebook9tliveshow " Wanatutia madoa vijana wenzao, group hii hawana jipya zaidi ya...
Leo hasubuhi nimesikia wanaume wa Tanzania wameanza kutairiwa ili kupunguza maambukizi ya ukimwi.
Hii campaign ni nzuri na ingekuwa vyema kama ingeanzia bungeni kama kwa wakenya ili kuwa hamasa...
Naomba mnisaidie kujua kama taifa hili ni la watu wachache tu jamani?ona mustakabali wa katiba mpya unavyopelekwa kwa kukidhi mahitaji na utashi wa kundi fulani tu
KWANINI katika maisha kuna watu wengine hawafanikiwa na wengine wanafanikiwa? Ni swali ambalo limekuwa likiumiza vichwa vya wengi.
Wapo ambao wanawianisha mafanikio ya mtu na elimu, lakini hiyo...
Wananchi waliofurika katika mji wa Bunda wakiwa safarini kwenda kupata tiba huko Loilondo wanaandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya wakipinga utaratibu wa kupata vibali. Wananchi hao waliotoka maeneo...
watoa vikombe ambao mimi nawafahamu mpaka sasa ni hawa
1. pastor wa loliondo (muasisi wa tiba ya kikombe )
2. kijana wa tarakea rombo kilimanjaro (wa pili)
3. kijana wa mianzini mabatini mbeya
4...
UVUTAJI wa bangi na madawa mengine yanayodaiwa kuwa ni ya kulevya, ni vitu vya kawaida katika viwanja vya Mwembe Yanga, tena karibu kabisa na kituo cha Polisi kilichoko katika viwanja hivyo.
Hali...
Ndugu Wananchi,
Najisikia vibaya sana kuona chombo cha habari kinancho tumia kodi ya wananchi wa Tanzania kikifanya kazi kwa maslahi ya mafisadi wa CCM. Najisikia vibaya kuona mchakato wa...
Kwa WAAFRIKA wote ukianzia na Tanzania, Nchi nzuri, chachu ya ukombozi wa Bara la Afrika, kimbilio la wakimbizi wa vita, tamanio la wabakaji wa uchumi.
Nakala hii kwanza iwafikie kwanza watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.