Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
mimi naishanga sana tena sana hasa hii serekali yetu,kwanini wanawasumbua hivi hawa wazee estiafrika kwanini hawawapi hizo pesa zao jamani,kilasiku wanawazinguatu hembu nisaidieni jamani...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Leo nimejitahidi ingawa kwa taabu sana kusikiliza Redio Iman. Yapo niliyojifunza na yapo niliyoyapotezea. Kimsingi ndugu zetu wanaanzisha TV yao na gazeti lao (TV Iman & Gazeti Iman) Hawana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo ni siku ya mapumziko, nimetoka na familia familia yangu ili kupata mlo kidogo. Nikaamua tukapumzike maeneo ya Kunduchi Beach kuna mgahawa tulivu sana wa ki Swiss. Tumekula, tukaona inabidi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni kitu cha kushangaza Mheshimiwa Mbunge aliyeaminishwa na wananchi awawakilishe, lakini anachofanya ni kuhudhuria bunge. Cha kushangaza zaidi anapouliza swali au hoja iliyokwisha pita, sasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ndugu zangu katika jf naomba kuuliza hivi mgao wa umeme umeshaisha? kwakuwa naona wiki hili hawajakata kabisa hapa kwetu au mtaani kwetu!. au walitusahau mtaani kwetu kuwa hawajakata umeme?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashangazwa sana kuona watanganyika wanakuwa na viburi sana,na kuwakashifu wazanzbari,na nchi ya zanzibar kwa ujumla,nakumbuka mara ya mwisho pinda kutamka kuwa zanzibar sio nchi sasa leo hii...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuna matukio mengi ambayo yanayotokea yenye maslahi kwa umma wa walipakodi wa nchi hii,hasa kipindi hiki cha mchakato wa mabadiliko ya katiba.na TBC ilipaswa kuonyesha live.Lakini badala yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KIJANA mmoja amejikuta akiburuzwa kituo cha polisi bila kutegemea baada ya kumshika makalio mke wa mtu katika utani waliokuwa wakiendesha kati yao. Kijana huyo ambaye aliyetambulika kwa jina moja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Robert Mugabe-kumwoa secretary wake. Banda wa Malawi-Aliwahi kuwa Dr.wa Malkia Elizabeth,amekufa bila kuwa na mtoto JK wa Tanzania-Kupigwa mawe,kutojua kwanini tuko maskini. jacob Zuma wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu; Binafsi ni mpenzi sana wa gazeti MwanaHALISI, katika toleo no236 Jumatano, Aprili 6-12. Kuna title kubwa inasema. DR. SLAA: KIKWETE AHADAA WANANCHI. Na Sub title > Marando: Muswad...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanasayansi wa nchini China wamefanikiwa kuwatengeneza ng'ombe wanaotoa maziwa kama yale yanayotolewa na wanawake wanaonyonyesha. Wanasayansi wa nchini China wametamba kuwa wamefanikiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa mh.makamu wa rais Dr.Gharib Bilal atakuwepo arusha weekend hii.je anaweza kutumia wasaa huu kutoa kauli iliyonyooka kuhusiana na mgogoro wa arusha?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
https://www.facebook.com/pages/Pastor-Ambikile-Mwasapile/116609141752982
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida siku za hivi karibuni tumewaona viongozi wengi wa serikali ya CCM akiwemmo rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakihaha huku na huku kueneza propaganda ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikuwa majira ya saa 6.30 mchana leo,katika viwanja vya bunge mjini Dodoma,kama ilivyotangazwa kuwa leo mkoani hapa wananchi wafike ukumbi wa P.Msekwa ili kutoa maoni yao juu ya muswada wa katiba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huhitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na kung'amua kuwa kampuni iliyopewa kazi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Tanga kupitia Turiani, Dumila, Kilosa na hatimae Mikumi inafanya kazi...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Wana JF,naomba niwe wazi.USA imevamia na kuua wairaq wasio na hatia,Israel imewaua walebanon wasio na hatia,Israel imeuwa wapalestina pale gaza ikiwa pamoja na kupiga mahospitali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo redio WAPO imeripoti kuwa idadi kubwa ya watu wamepoteza maisha siku chache baada ya kunywa kikombe cha babu. Hii ni kwa mujibu wa riporter kutoka Arusha. Wanaoongoza kwa kukumbwa na madhila...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Waliofariki dunia Loliondo wafikia 78 Send to a friend Monday, 04 April 2011 22:40 0diggsdigg Neville Meena na Mussa Juma, Samunge IDADI ya watu waliopoteza maisha wakienda kupata tiba ya...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna jamaa hapa mtaani kwetu alikataa kunitendea haki eti kwa sababu hata serikali ya ccm haitendi haki kwa kuwahifadhi na kuwakumbatia mafisadi....baada ya hapo nikashindwa kuendelea kudai haki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom