kuna kipindi kinaendelea sasa hivi star tv kuhusu tiba ya babu, wamekipangilia vizuri wamehoji askofu laizer na wengineo,
kuna Dr Ambokile shilogile wamemhoji ambaye ni wa klinik ya magonjwa sugu...
Wanaongelea kero za transit goods (kwenda nje ya nchi)
Kwanza wanaonekana hawajiamini
Pili hanasuasua kujibu maswali
Tatu, hawana ufahamu wa kutosha kuhusu nini kinachoendelea katika mifumo...
Hivi karibuni hususani katika harakati za kutoa ama kupata maoni ya wananchi kumejitokeza kundi mahsusi la kuzomea na kuteka uhuru wa mtu asitoe mawazo yake, binafsi nawaomba watanzania wenzangu...
Wakati kuhama kwa Prof. Safari kutoka CUF kwenda CDM haikuonekana kama ni habari, leo TBC imetangaza kwa mbwembwe kuhama kwa wafuasi wa CHADEMA mkoani mbeya kwenda cha tawala.
wadau ili mnalionaje?
Dar es Salaam As Tanzanias government strives to bridge yawning gaps in its budget million of dollars are reported to have been paid to non-existent employees (ghost workers) in the public...
Wana jf, nakiri kwamba ktk uhai wangu wa kuisikia CCM na kuona mbwembwe zake ktk siasa nilidhani kweli kwamba hiki chama ni giant. Kumbe ni giant kama Mbuyu. Mizizi dhaifu kabisa.
Kwa wale...
Kiongozi wa Juu wa Jeshi la Police anapigiwa simu majibu yake wewe tazama hii clip
YouTube - Habari via ITV -Watu watano wapigwa mapanga mpaka kufa- Jeshi la polisi liko wapi?
Leo wakati Mh. Anne Makinda akihairisha bunge alisikika akilalama juu ya zomea zomea iliyowakumba baadhi ya wana- CCM wakati wa mijadala ya kutoa maoni juu ya mswada wa marekebisho ya katiba...
Leo Waziri Sita amepata kibano cha kutosha kutoka kwa Waziri wa Sheria wa Zanzibar. Mzanzibar huyo amemwambia Mh.Sitta kwamba ni mungo kutokana na kauli ya kusema kwamba Zanzibar imeshirikishwa...
Leo hasubuhi wakati wa kuhairisha bunge, spika Makinda alilalamikia zomea zomea iliyowakumba wawakilishi wa CCM wakati wa kutoa maoni juu ya mswada wa kurekebisha katiba. Malalamiko hayo...
Ni habari iliyoonyeshwa dakika chache zilizopita kuhusu dada aliyejifungua jana na kisha kumtupa mtoto chooni huko kibaha. Dada anaitwa Sada Rajabu, jamani sada kulikoni? Mungu ni mwema mtoto...
Wakuu,
nimengojea, bila mafanikio sioni hili jukwaa likirudi.
Tatizo ni nini jamani?
Utawala JF wengi tunangojea kwa hamu kubwa kuona likirudishwa.
Natanguliza shukrani, kwa niaba ya wapenzi wa jukwaa
MP for Arusha Godbless Lema
Mystery surrounds the whereabouts of some USD 10 million that the government released some years ago for the revival of the General Tyre factory in Arusha...
...Wale waliowai kufatili movie kama ya Sarafina ambayo ilikuwa inaelezea vijana wa south africa walivyokuwa wanapigana dhidi ya makaburu nadhani mnakumbuka kauli mbiu yao....na wana historia...
Friday, 08 April 2011
GOLD was not discovered in Tanzania in 1998, when the Government of President Benjamin Mkapa (1995-2005) enacted a Mining Legislation which was so grossly lopsided in favour...
SAKATA la Mbunge wa Mbarali (CCM), Bw. Dickison Kilufi kufanyiwa njama za kutaka kunyanganywa kadi ya uanachama limeingia katika sura mpya baada ya Chama cha
Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya...
Wanajamii sikilizeni njia panda jumapili hii yule dada aliyekwenda loliondo kaenda kupima tayari ngoma baada ya kutoka kwa babu ana siku 28 mpk sasa anashuhudia uponyaji jumapili anasema mpk vidoa...
WanaJF, wengi tangu mwanzo tumesema kuhusu ushirikina unaoendelea kwa babu. Kwa dalili za wazi za ushirikina(mbinu za kichawi)huo soma hapa....
Kuna kuoteshwa na Mungu hapa???????????????????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.