Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana JF, Nilikuwa nackia kuhusu huduma mbovu na uharibikaji mara kwa mara mabasi ya Falcon. Leo nimeshudia gari imetoka Ubungo saa 12.20 asubuhi na kuingia Mby saa sita na nusu usiku huu badala...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hivi punde Star TV wamemaliza kipindi cha moja kwa moja kinachoitwa Jicho letu ndani ya habari. Leo walikuwa wanazungumzia jinsi vyombo vya habari vya ndani vilivyoshiriki katika mijadala ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kwa makampuni mbalimbali ya simu kujinadi kuwa wao peke ndio waliofika kila kona ya nchi. Nilifunga safari ya kwenda Semunge kwa babu ila katika siku 3 nilizoishi kule...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MGANGA wa Kienyeji anayefahamika kwa jina la Bakari Nyalobi ‘Profesa Safari’ [30] anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala, kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi kaunta wa Bar ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilikuwa nacheka hapa kuhusu madiwani wa Arusha kukwamisha kikao cha bajeti. Tatizo ni kwamba lazima wahudhurie wajumbe angalao theluthi mbili. Swali linakuja, kama bila madiwani wa chadema kikao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi kubwa yenye ukubwa wa 945,000 sq km (365,000 sq miles na yenye idadi ya watu milioni 42,500,000 (IMF, 2008).Pia nchi hii ina mikoa zaidi ya 26(jumlisha mipya zaidi ya 3...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukitaka kujua mwedelezo wa ngombe kwenye zizi unatazama ni ndama wangapi ulionao watakaokuwa wazazi wa kipindi hicho kijacho.....kwa hili CCM hawa ndama naona wanapungua na ni miaka sifuri tu hapo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF wenzangu, natumai mu wazima wa afya jema na mpo tayari kubadilishana mawazo km kawaida yetu. Napenda kuanza kwa kuwatakeni radhi pale mawazo yangu yatakapo contradict na uelewa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia youtube downloader ninaomba anisaidie, pia ni URL ZINAZOKUBALI.Asanteni sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia youtube downloader ninaomba anisaidie, pia ni URL ZINAZOKUBALI.Asanteni sana.
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Sinza kwa wajanja bwana, lakini Masaki wako njema, lakini vijana wa Sinza na vinoti vyao vya kuunga unga wanawapiga mkwara watoto wa mapdj wa Masaki hadi wanaogopa. Hii imekaaje?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wameanzisha mbinu ya kuhadaa Watanzania kuhusu katiba mpya baada ya kugundua kuwa jambo hilo limekuwa dai la wananchi. Kwa bahati mbaya wanaoiwakilisha kwenye kongamano na mikutano ya kujadili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi, tanzania tunaelekea wapi? tukiacha ushabiki wa vyama, chadema na ccm, kujaza watoto wenye umri kati ya miaka 10 na 15 kujadili muswada wa katiba tunajenga au tunabomoa? mbya zaidi watoto...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nisaidieni wadau tutafakari pamoja, je hii mahakama ya 'ICC" yenye makao makuu yake huko Hegue ni kwa ajili ya waafrika tu?? Maana ilianza na wanyarwanda na sasa wakenya na nilisikia kwenye chombo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jambazi mmoja ajulikanaye kwa jina la Njenda Lutelo amechomwa moto na wananchi wenye hasira kali kwa kile kinachosadikiwa kuiba viti vitano vya plastiki Jambazi hilo likiwa limeingizwa ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Misemo ipo mingi sana hapa nchini kuonesha kwamba kuna haja ya kuwawezesha wanawake kupiga hatua katika kuendeleza familia zao na taifa kwa ujumla. Inawezekana msemo huu ndiyo uliotumiwa na Mfalme...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MGANGA wa Kienyeji anayefahamika kwa jina la Bakari Nyalobi ‘Profesa Safari’ [30] anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala, kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi kaunta wa Bar ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Zaidi ya abiria 50 waliokuwa wakisafiri na bus la Polepole wamelazwa hosp ya mrara Babati baada ya bus hilo kupinduka. 8 hali zao mbaya RADIO1 STEREO
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hiii kali, Muheshimiwa Waziri fulani, ilisemekana alitembelea mkoa wa Arusha kwa ziara ya kufungua kisima,alipo fika pale kisimani akachugulia alipo ona sura yake aliruka kwa kukwepa,akisema...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kawaida kwa mtu yeyote mkosaji ama asiye na hoja wakati wote kutumia nguvu fujo na vurugu huku akilia kwa kuomba msaada wa kuonewa huruma. dhana hii ikiachwa iendelee na watu kuona mtu huyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom