11th April 2011
The Registrar of Political Parties John Tendwa
The resignation of CCMs secretariat has drawn mixed reactions with some politicians, academicians and ordinary people...
Ni mimi au wote, kila nikitaka kusoma manews ya ma greater thinker, kitu kinagoma, nikaweka ma id na mapasscode kitu kikakubali. Du kama ni hivyo wavamiz na mamluki wote kwishney.
Mwezi wa pili 2011 ilichomwa shule ya Kaisho ambapo ilikuwa ni mda mfupi shule ya sekondary ya nyaishozi kuchomewa bweni.
Leo saa nne asubuhi bweni jingine katika shule ya sekondari...
Wanakijiji wa vijiji 4 huko bonde la Kiru, Babati, Mkoa wa Manyara wamechoma moto viwanda 2 vya sukari, mashamba na matrekta 20 mali za wawekezaji.
Source: Radio One Stereo Breaking News via...
Wiki iliyopita katika safu hii nilikumegea msomaji wangu kisa cha jamaa mmoja akitaka ushauri kuhusu mkewe anayempeleka puta, huku akilazimisha talaka na kisha siku chache baadaye anaomba mume...
Dear Members,
Those who can adapt to the new paradigm will see a host of benefits.
While the lifespan of a typical job is much shorter, the work is frequently more fulfilling.
Electronic...
naomba kuuliza je unaweza kufuta post yoyote ambayo hujatuma wewe? kuna post nilikuwa naiangalia ya mchawi aliyeibuliwa kanisa la efatha kutoka loliondo lakini sasa siioni tena, nahisi kama wakati...
Tumeshuhudia viongozi CCM na magazeti mengi yakitangaza kuwa CCM imejivua gamba kwa kuvunja sekretarieti ya CCM iliyokuwa chini ya Makamba, Chiligati, Mkuchika na wengine ambao sijawataja. Je, ni...
Mtanzania mwenye makazi yake nchini Marekani ameanzisha kampuni ya simu itwaya umojaphone kwa ajili ya international calls, na bei ni poa kulinganisha na makampuni mengine kama vile VOIP na SKYPE...
BAADHI ya wajumbe wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wilayani Maswa, Mkoa wa Simiyu, wamemtaka Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Rais Jakaya Kikwete, kumfukuza kazi Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo...
By CHRISTINE MUNGAI Posted Monday, April 11 2011 at 00:00
THE EAST AFRICAN
Recent upheavals in North Africa have created a new pariah on the African continent: The Son of an African Dictator...
Katika hali isiyo ya kawaida kitendo hiki cha kupokea tsh 500 na kusababisha mzunguko wa pesa hiyo kupungua kwani hapeleki bank na amekua akiziweka basi je nini kifanyike
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee ametaka Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Wazo na askari wake waondolewe hapo na kupelekwa watu wengine kwa madai kwamba wanalinda wahalifu na vigogo wanaomiliki...
Muswada wa katiba mpya wazua mambo zanzibar baada ya washiriki kudai takala.Je wazanzibar wanamdai nani hiyo takala . Pili wamekwenda mbali wanadai katiba ya Tanganyika kwanza.Zaidi wamesema...
Fadhili Abdallah
MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Joseph Simbakalia ameonja adha ya kutokuwepo kwa barabara kuelekea katika vijiji vilivyopo mwambao wa ziwa Tanganyika baada ya kunusurika kuzama na boti...
Habari zilizotudondokea hivyi punde zinasema manji na kundi la viongozi kadha wa tff (kayuni) wamemwaga pesa kwa timu ya majimaji ili isiingie uwanjani leo! Habari hizo zinazidi kusema yanga hata...
Nina marafiki wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya simu lakini system hii ya kuajiliwa na agents then unapewa half of your salary sidhani kama ni fair.
Eg. Airtel net salary ni 270000...
Ndugu zangu, kila kukicha mambo yanabadilika, nimekuwa nikifuatilia haya matamko wanayotoa hawa ndungu zetu waislam..... nikafanya upembuzi yakinifu yakuwa wayasemayo ni kweli yanatoka kwenye...
Tibaijuka:I am not a dictator Sunday, 10 April 2011 06:45 digg
Lands Housing and Human Settlements Development Minister Prof Anna Tibaijuka
By Tom Mosoba, The Weekend News Editor
Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.