Na Mwandishi Wetu, Loliondo
Tiba ya kikombe inayotolewa na Mchungaji Mstaafu wa KKKT, Ambilikile Masapile Babu imeendelea kubeba maajabu kila kukicha.
Risasi Jumamosi kupitia uchunguzi wake...
Rich people have their friends, poor people also, even disables have theirs. At the end of the journey friendship compiles happynes. Here I come changes on fingure. The dirt cat nipoken japo...
KUna wingi wa wageni katika NGO's za hapa Tanzania ukianza na volunteers,wakenya,wazimbabwe,wadosi, waghana,na wapopo. Hivi kweli hakuna reguratory body yoyote inayoangalia hawa wageni maana wengi...
Hivi mtu anayesoma course hizi 1.Bsc(Animal science) 2.Bsc(Food science and technology) 3.Bsc(Wildlife management) 4.Bsc(Applied zoology).Mtu anapograduate moja wapo wa kozi hizi anaajiriwa kama...
shirika la Consortium for Street Children lenye makao yake makuu UK pamoja na mashirika mengine ya kupigania haki za watoto mitaani, limeitaka Umoja wa Mataifa kuitenga tarehe 12/04 ya kila mwaka...
Maisha ya staili hii yameshamiri sana hasa hapa Tanzania
Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers.
* The 'Second Class' pass, and then pass...
na Hellen Ngoromera
MNAJIMU Mkuu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, amewatabiria viongozi wa siasa na wafanyabiashara maarufu kutekwa nyara.
Sheikh Yahaya amewatabiria pia...
Tumekua tukishuhudia maamuzi,kauli na vitendo vingine vingi vya ajabu na aibu kutoka kwa viongozi wa CCM na serikali.Ni kweli kuna wanaotoa kauli,kuunga mkono au kushiriki katika maamuzi bila...
Hawa vijana machachari wenye upeo wa juu wa fikra na ukombozi wote nio wakazi wa jimbo la uchaguzi la Ubungo.
Hivi kati yao nani anafaa zaidi kuwa mbunge wa jimbo hilo 2015?
Habel Chidawali,Dodoma= Gazeti la Mwananchi la 10/04/2011
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe, ameuomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), umpe vipindi ili aweze kutoa...
niliweka post hapa kuomba msaada juu ya ada ya chuo.nasoma DUCE ualimu.sikupata mkopo mwaka huu na nimetakiwa kujilipia ml 1.vinginevyo nisubiri mwaka kessho niombe tena mkopo.niko mwaka wa mwisho...
Hii nafasi ni kama ina gundu. Ukiachia Kawawa aliyeenziwa hadi kifo chake, Gama alifikia kunyimwa hata ubunge. Mangula tumemuona juzi juzi akitapa tapa kutaka uwenyekiti wa mkoa, cheo cha chini...
Wadau naomba kuweka hoja,
mabadiliko ya ccm wanayo yaita kujivua gamba yasitufanye tuache hoja yetu ya msingi toka kuisha kwa uchaguzi mkuu wa mwaka jana, hoja hii ni madai ya katiba mpya...
*Dont feel offended.* **Most 'First Class!' students get senior technical and scientific jobs and some of them become Doctors and Engineers. Jeez! These guys are really smart! The 'Second...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.