Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana JF naomba kujua kwa nini siku ya jumatano ambayo kuna magazeti ya Mwanahalisi na Raia Mwema huwa Star Tv hawasomo magazeti au wamekatazwa, yanasomwa kupitia redio tu, naomba mnisaidie mwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF habari za muda huu? Naombeni msaada kwa yeyote mwenye uzoefu wa mji wa Babati aweze kunishauri sehemu salama ya kupata malazi, ntakuwepo huko kuanzia kesho tarehe 14-17. Naomba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa watanzania wenzangu popote pale duniani, wapenzi wa mziki wa Kongo ningependa kushare nanyi muziki huu murua kwa kubofya hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Usiandike kwa mate bofya hapo uone YouTube - President of Czech Republic steals pen (Václav Klaus krade pero v Chile)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa bahati nzuri juzi tu nilifungua redio 1 kakt kipindi chake cha udondozi wa magazeti. Mmoja wa Watangazaji maarufu alinishtua kidogo aliposoma fidia ya mmiliki ya makampuni ya IPP kudaiwa fidia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
katika ukimbi wa bunge leo wagombania ubunge wa bunge la pan african wametakiwa wajinani kwa kutumia lugha ya kiengereza inaonekana wengi wa wabunge wa ccm walitokwa na kijasho
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LOCAL artists and creative industry stakeholders are calling for the immediate amendment and endorsement of the Copyright and Neighbouring Rights Bill. Speaking at the weekly 'Arts Forum' on...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Jamani mmesikia "vijiko vitatu" vya mzungu dar? Nimesikia kwenye magazeti ya leo kua amejitokeza mzungu anaetoa dawa ya kutibu ukimwi na saratani hapa dar. Naomba kama kuna ambae ameshapata vijiko...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mubarak atiwa kizuizini kwa siku 15: Mwendesha mashtaka wa Misri ameamuru kutiwa kizuizini kwa Bw Mubarak, kabla... http://bbc.in/fi4x8o
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
780 Views
na Jovither Kaijage, Ukerewe MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Abbas Kandoro, ameshangazwa na kushitushwa na jiwe la ajabu lililopo katika Kijiji cha Nyamanga katika Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Ndugu wanajamvi nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa taarifa ya habari ktk chombo hiki cha habari kinachodaiwa kuwa cha umma kwa muda mrefu sasa,ila taarifa ya habari ya leo saa mbili usiku imeniacha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sijui kama kuna aliyelibaini hili,katika ving'amuzi vyote vinavyopatikana hapa nchini kwa sasa hivi TV Channels za Bwana Mengi i.e. ITV,EATV and Capital hazimo au hata kama zilikuwemo zimeondolewa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna kipindi maalum Channel ten hivi mkutano wa makamanda wa ngazi ya juu wa polisi wa mikoa wanakutana na waziri wa usalama na IGP Ni mkutano mzuri na agenda zenye tija, kujadili ufanisi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF,napenda kuwapa taarifa kuwa,usiku wa kuamkia jana majira ya saa nane ucku,wezi walivunja mlango wa nyumba yangu na kuiba vitu vyote vilivyokuwepo seating room, nachoshukuru tu kuwa mke...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Drinking over recommended limit 'raises cancer risk' Many people do not know that drinking alcohol can increase their cancer risk. Drinking more than a pint of beer a day can substantially...
0 Reactions
3 Replies
956 Views
Hali ni mbya bungeni, kuna uchaguzi wa representatives wa pan africa, and lugha ndani ya bunge imebadilika, inasikitisha kua tuna wabunge wanaongea kiingereza kibovu kabisa..tena mfano mzuri ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baadhi ya watu waliopata tiba ya kikombe Tabora, wana hali mbaya na wamelazwa hospitali ya mkoa, huku wale wa Loliondo wakitoa ushuhuda wa.... Source: JESUS IS LORD
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Agnes Elias, one of the residents of Gongo la Mboto in Dar es Salaam rendered homeless by the recent bomb explosions, pictured outside her tent at Majohe yesterday showing the thin mattress she...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Man is good by nature and that the fulfillment of each person's desires outwieghs anyo other claims on his time or loyalties.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom