Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MZIKI WA GWARIDE LA CHADEMA NAPE ATAUWEZA ? Ni matumaini yangu mabadiliko ya uongozi wa sekretarieti ya CHAMA CHA MAPINDUZI ni mwanzo wa siasa mpya zenye mwelekeo tofauti,na ule wa sekretalieti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaani hilo tambi nimeamini kwa nini alikuwa anangangania madaraka jamani loh fashist huyu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1)Threat of viruses! Facebook is filled with thousands of daily users from around the globe and there is no surprise if you discover a number of viruses storming through most of the pages. There...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
CCM washangilia kuondoka Makamba *Wala na kunywa Dodoma kujipongeza Mwandishi Wetu WAFANYAKAZI wa CCM Makao Makuu Dodoma wamejipongeza kwa kula na kunywa kwa kile wanachosema ni kufurahia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
''Mungu alisema na mimi kuhusu gharama za dawa na akasema kila atakayekunywa dawa ni Sh500 tu ya tanzania na nilipomuuliza kuhusu wageni alisema dola moja''.Anaeleza mchungaj Mwasapila. Lakini...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
By In2EastAfrica - Tue Apr 12, 3:28 pm East African Community The East African passports, the regional travel documents valid only within the five EAC member states are being upgraded to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hii ipo kwenye tangazo hapo juu kabisa ya ukurasa? sorry nimesahau kuweka question mark kwenye headline na nimeshindwa ku editi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari toka chanzo kinachoaminika zaonyesha kuwa ajali ya gari ya mafuta (Tanker) mali ya kampuni inayoaminika kumilikiwa na mtoto wa mkuu (Liz one) LAKE OIL kugongana na treni imefichwa ukweli...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwako Mkuu wa Jeshi la Magereza-Segerea, Ninakupongeza kwa kuamua kutufungia njia ya tabata segerea kulekea bunyokwa, kisukuru B na baadhi ya vitongoji vyake bila kutoa hata notice. Nakupongeza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
A sixty- year -old man was on Saturday found lying unconscious in a toilet. Isa Mukasa who was visiting from Masindi District was living at a friend’s place in Kawaala, a Kampala suburb. For...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwasasa watu wengi wanazungumia miaka 50 ya uhuru wa Nchi ya Tanzania. Swali ninalojiuliza, hivi ni lini Tanzania ilizaliwa hata kufikisha miaka 50? Au ndiyo mfululizo ule ule wa kudanganywa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kuna taarifa kwamba mwamba umefunika watanzania wenzetu mgodi wa Bulyankulu-Kahama. Mtu mmoja confirmed dead. Wenye contacts na Kahama watusaidie taarifa zaidi maana mtu alonijuza yupo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
uwezo wa CCM kufikiri umefikia kikomo na imepoteza hati miliki ya kuwaongoza watanzania, kwani Watanzania hawawezi kuongozwa na fikra mgando. Kitendo cha ccm kufikri kuwa matatizo yanaokizamisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu!! hivi sasa nchi yetu imnusa harufu ya udini; ukristu na uislam.Kila mtu anaona dini yake ndo sahihi, na anaamini ndo itampeleka mbinguni. Naomba kuuliza je mababu zetu kabla ya kuja...
0 Reactions
6 Replies
38K Views
Mwanaume mmoja toka nchini India ambaye alijifanya yeye ni mkimbizi toka Tibet ili aweze kupata 'makaratasi' ya nchini Australia, amefikishwa mahakamani baada ya picha zake alizoziweka kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kulingana na kauli mbali mbali ambazo zimekuwa zikitolewa na viongozi mbali mbali wa CCM akiwemo mwenyekiti wa chama hicho rais Jakaya Kikwete, azma ya CCM ya kutaka kujivua ghamba lake la sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanao ukana uraia wa Tanzania kwa sababu mbalimbali ukiwemo utawala mbovu, dhiki, maradhi na uchumi duni tuwaiteje watu hawa, je ni wasaliti au mashujaa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi Para mwanajanvi mpya mpya kabisa. nimeingia ulingoni.....leteni stori
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bibi mwenye umri wa miaka 75 wa nchini Georgia ametiwa mbaroni kwa kuzikosesha nchi za Armenia na Georgia internet baada ya kuzikata nyaya kuu zinazopeleka internet kwenye nchi hizo, alipoulizwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Niliwa nimetoka Bahari Beach kupata moja moto moja baridi nimeona kwa macho yangu gari ikipiga mweleka hapo Interchick Mbezi. Hili limetokea kama dakika 40 zilizopita. DAWASA wamechimba kando...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom