Miaka takriban minne iliyopita Serikali ilianza mchakato wa ujenzi wa jengo la mahakama kuu mkoani shinyanga. Hata hivyo, ujenzi huo umesimama kwa muda mrefu sasa huku hakuna taarifa rasmi kuhusu...
Nasikitika kuona kale kakitufe ketu ka groan kimeletewa fitna mpaka kameondolewa,kwani kalikuwa kana kosa gani au madhara gani humu ndani?Mi naona kale kalikuwa kazuri na kanachohamasisha watu...
Mimi si mwandishi wa habari kwa taaluma lakini leo nataka niwashitue waandishiw wa Tz. sote tulimwona Jm akirusha habari zilizopelekea matrafiki kuonekana wakipokea rushwa, hatimaye Jm sasa hajui...
Kati ya barabara ambazo zimefanyiwa uchunguzi huo ni pamoja na barabara ya Mandela inayoendelea kukarabatiwa ambapo imegundulika kuwa barabara ya watembea kwa miguu maeneo ya Kituo cha Gereji kata...
This quite a challenge on us Africans
Would any other First Lady have chanced it?
First lady looking GOOD, shes ready for some football !!!!!!!!!
That's NFL Commissioner..,Roger Goodell and...
Leo Anna Makinda (mh. Spika) ameniachaa hoi. Amesimama na kusema kwa mujibu wa kanuni, bunge lintakiwa kuchagua watu watatu watakaosaidia uendeshaji wa Bunge. Akasema vigezo ni kuzingatia jinsia...
we all love our coke.But it has an intreresting history behind it, read it while you can!
THE HISTORY OF COCA COLA-WHAT YOU DID NOT KNOW!!!!
Inventor Of Coca Cola
As many people know...
Azimio la kikao cha NEC ya CCM kilichopita kuhusu viongozi na wanachama wa chama hicho wanao tuhumiwa kwa vitendo vya rushwa linasomeka ifuatavyo:
"5(d). Chama cha mapinduzi na serikali zake...
Mvua zimenyesha, barabara zimefula na maji, vyoo vinatapishwa, tena katikati ya mji mkuu ambapo ikitokea dharura convoy ya Rais inabidi igeuzwe kuwa mitumbi ili kufika airport.
Msimu wa mvua...
Huyu mtangazaji anaboa sana kwa kutangaza kwa kujikomba. Utamsikia akisoma gazeti la Uhuru, nimeshika gazeti la chama, na mara nyingi linapewa umbele kusomwa. Wanasahau enzi za CHAMA NA SERIKALI...
Wanandugu wa utabiri hivi mh huyu bado anaendelea kutabri nakumbuka alisema kwenye tv amecha na kumwachia mwanae aendelee kutabiri..mmh hizi tabiri zinaanza kuntisha sasa!!!ndio yale watu wanakula...
Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile akipokea zawadi ya simu
iliyotolewa na Kampuni ya Simu ya Mikononi ya Airtel hivi karibuni mkoani humo,anayemkabidhi ni Meneja wa Biashara wa Airtel Mkoa wa...
MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPON MZEE WETU;YAANI KTK MAWAZIR KAMA TUNGEOMBWA NA MUNGU TUKATE RUFAA YA KIFO NINGEMKATIA HUYU BRA..ALITUMIKA VILIVYO
BWANA AMETOA BWANA AMETWA JINAA LA BWANA LIBARIKIWE
Nimekuwa msafiri wa ndege mara nyingi sana tangu mwaka juzi hizi sehemu ziko wazi leo nimeona niwaulize ndugu zangu je hii airport ina management ama ndio uongozi kama wakina makamba jamani...
JESHI la Polisi Mkoani Mara jana lililazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wananchi wa Bunda mkoani Mara ambao walikuwa wamechukua jeneza la mtu ambaye alidaiwa kufa kwenye...
Haya mambo sasa yamekuwa kama biashara na watu wanafanywa wajinga. Huko Mtwara nasikia kuna mzee mmoja aliyeoteshwa dawa ya kuponya ukimwi, na anasema yeye alikuwa muathirika. Baada ya kunywa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.