Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers.
* The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators and control the 'First Class'...
baada ya kumgeuka mwenye kaya nakuanza kuiandama serikali gazeti la mtanzania toleo la leo limehujumiwa na watu wasiojulikana ili habari za leo zisiwafikie wananchi inadaiwa hujuma imefanywa...
This is shocking jana nimekuta bei ya mafuta ya taa ni TZS 1,750 yaani karibia kabisa na bei ya Petrol na Diesel (TZS 1950) kweli maisha bora kwa kila Mtanzania
Mambo vp wana JF,leo nimeona nije na topic inayotuhusu cc na jamii kw ujumla.utakuta mtu hana ugomvi na mtu lkn utamsikia akisema(jaman simpend flan)sasa hii huwa inatokana na nn? Ufafanuz pls!
Duniani kuna mengi na wala hayaishi, mwanamke mmoja wa nchini Marekani kwa miaka 21 anakula masponji yanayowekwa ndani ya sofa, ukimkaribisha kwako mpe kiti cha mbao, ukimweka kwenye kochi basi...
Nilikuwa nafahamu kuwa Mtanzania akitaka kwenda China anaweza bila ya kuomba visa. Leo nimeiona habari hii Global Publishers kuwa kupata visa ya China imekuwa shida. Je, nilikuwa na habari ambazo...
Na Angelina Mganga
KESI ya kutishia kuua kwa maneno iliyofunguliwa na mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe katika Mahakama ya
Mwanzo Kariakoo, Dar es...
Mfanyakazi wa ndani toka Ethiopia aliyekuwa akinyanyaswa sana na bosi mwarabu wa Dubai, amelipiza kisasi kwa kuzikata kwa kisu na kuzinyofoa sehemu za siri za bosi wake.
Mwanamke raia wa Ethiopia...
From IPP media
Standard Three pupils of Chinyarira Primary School in Nanyumbu District, Mtwara Region, while away the time outside their classroom, as captured by our correspondent...
wanamuziki maarufu duniani wa muziki wa Pop, Shakira ambaye anajulikana sana kwa kunyonga kiuno chake, ameibiwa pete yake ya thamani wakati alipokuwa akiwasalimia kwa kuwapa mkono washabiki wake...
Baadhi yetu tulisoma na kuisikia ripoti ya Dr Mwakyembe kuwa kundi la Al-shabab toka Somalia likishirikiana na Wahalifu sugu wa hapa kwetu Tanzania, limekodiwa na baadhi ya wanasiasa kwa ajili ya...
jana nilisoma kigazeti kimoja cha udaku kwamba watu 100 wamefariki btn Machi na April 2011. Baada ya kutoka loliondo. Kusema ni jambo la kawaida, lakini takwimu hizo mbona hazitolewi kila mwezi...
Bandugu,
Kwa yeyote anaemfahamu Mtanzania aliyeko Nairobi sasa (au anatarajia kuwa huko hivi karibuni) na atakuwa (au anaweza kuwa) huko at least for the next three months na ni graduate -au...
NSSF to lose Sh50bn in risky investments Wednesday, 13 April 2011 23:39 digg
The NCCF waterfront Builiding in Dar es Salaam, one of the fund's numerous real estate investiments in the city...
Kama ni message basi imefika,ze comedy wanamuigiza spika yuko gym akifanya mazoezi ya ngumi akijiàndaa kwa ugomvi ndani ya mjengo kama ikitokea kama alivyopendekeza jana mbunge mmoja CCM jana...
Natangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo maskini liliopo kisiwani Mafia.
Matatizo.
HAKUNA BARABARA.
SHULE MATOKEO MABOVU KIDATO CHA 4
UVUVU. WANANCHI WAHANGA NA MIRADI YA KIFISADI.
BARA BARA...
Bunge kama mwakilishi wa wananchi, linapashwa kuendesha mambo yake kwa uwazi kabisa na kwa kutanguliza maslahi ya nchi kuliko ya vyama vya siasa. Mtu pekee ambaye yuko katika nafasi nzuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.