Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mjadala wa wazi wa katiba wa TCD uliokuwa uanze leo saa nne asubuhi na kurushwa live na ITV ulikwama. Washiriki wa mjadala walipofika walikuta lundo la polisi waliokuwa na maagizo ya kukataza...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
ninaomba matokeo ya pambano la kaseba na maugo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani tumezoea kusikia vituko vingi kuhusu Jeshi letu la polisi na namna wanavyo-make pesa kila wanapopata nafasi, sasa sikia hii, Jeshi na polisi walitangaza nafasi za kazi mwezi January, last...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu. Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga...
5 Reactions
86 Replies
7K Views
Lisu anapambana na Hamza Kasongo juu ya Mswaada wa Sheria ya Katiba mpya
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwana JF tafakari hili:Itakuwaje BABU wa Loliondo atoweke gafla halafu aache ujumbe mfupi kuwa ,NDUGU WANANCHI NIMEAMUA KUKIMBIA MAANA NIMEGUNDUA HII DAWA NI SUMU NA HUUA BAADA YA MWAKA 1,wanangu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
jamani nasikia chuo cha arusha technical college kimetoa tangazo watu wenye sifa watume maombi kwa ajili ya mafunzo ya lab technician under government sponsorship. Kama kuna mtu anaijua hii issue...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahakama nchini Misri imefikia hatua ya kukifuta chama cha aliyekuwa rais wa misri Hosni mubatak,mubaraka alikua kiongoz wa chama hicho ambacho kiliasisiwa na hayat Anwar Sadatt-bbc
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahakama ya Misri yakifuta chama cha Mubarak: http://bit.ly/dK2eE3
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM yafanya muda huu Uwanja wa Bahresa Manzese, kama kawaida vikundi vya wasainii wakiongozwa na TOT wanaburudisha. Nape ni star wa mchezo anatoa burudani...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni siku chache tangu Chama Cha Mapinduzu (CCM)kifanye kile ilichokiita kujivua gamba kule mjini Dodoma.Suala la msingi hapa la kujiuliza ni kwamba je ccm inaendeshwa kisultani? Inakuwaje watoto wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa, nasikia uvumi kwamba katika vitu ambavyo jk anaviogopa ni kwenda pale mlimani. Je hili lina ukweli?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hawa member 2 wa JF ndio huwa nasoma michango yao humu ndani maana wankimbiza ile mbaya 1. Muhadhir 2. Majimshindo BIG UP michango yenu ni yenye akili sana
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Njemba moja jana ilitinga katika kituo cha polisi Bagamoyo ikiwa na ndoo yenye dawa kama ya babu kuomba ulinzi. Jamaa huyo alidai kuwa ameoteshwa dawa hiyo na kwamba masharti yake ni dawa kulindwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
maximo na poulsen nani zaidi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amini usiamini, Nyani mmoja aliye kuwa akikwea ukuta wa mtu flani hapa kinondoni, kageuka kuwa mtu aliyejulikana kwa jina la Mzee Macho mkazi wa kwa makoma kinondoni. Kwa sasa yupo kituo kidogo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Askari polisi mmoja wa serikali ya uganda, ameingia msikitini na viatu akipiga watu waliokuwa wakiandamana kupinga ongezeko la ada ya vyuo vikuu nchini humo, mtu mmoja (nadhani ni sheikh)...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Katika safari zangu za kutembelea jiji la Tanga, nimekumbana na kitu ambacho sijakielewa kabisa. Nilipokuwa nazunguka mjini leo asubuhi, nimeshangaa kuona maduka yote na sehemu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom