Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mbuzi mmoja wilayani hapa amezaa kiumbe cha ajabu chenye sura ya binadamu. Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi usiku katika Kijiji cha Isongole, wakati...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
MCHUNGAJI Ambilikile Mwasapila anayetoa tiba ya magonjwa sugu katika Kijiji cha Samunge, Loliondo amewaomba wagonjwa na watu wengine wanaokwenda kupata huduma yake kuacha kumshangilia kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sunday, 17 April 2011 20:32 (source mwananchi, usiulize kwa nini Sunday badala ya Jumapili) James Magai JAMHURI imegoma kujibu hoja za rufaa za muomba rufaa, Danford Anthorny katika kesi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati nikiwa Tunduru nilipata simulizi mbalimbali kuhusiana na wilaya hiyo jinsi ilivyo tajiri wa ardhi yenye rutuba ya kutosha pamoja na maji mengi ya kutosha kulinganisha na wilaya nyingine...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimefuatilia bunge leo mwanzo hadi mwisho kwa mara ya kwanza. Baada ya kulazimisha kibabe kupitisha muswada wa serikali, mwishoni ndio anamvika kilemba cha ukoka Mh.Tundu Lissu. Katika zoezi la...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
In 1971 and 1972 Iddi Amini conducted a nationalisation of the commercial assets of uganda's mostly ASIAN merchants and entepreneurs.This was followed by ASIAN exodus from Uganda to Tanzania...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
At age 4 success is not peeing in your pants. At age 12 success is having friends. At age 16 success is having a drivers license. At age 20 success is having sex. At age 35 success is...
1 Reactions
1 Replies
973 Views
Je unaishi ughaibuni? je wahitaji kutizama ITV kwenye pc yako katika kiwango cha hali ya juu? kama jibu ni ndiyo basi usikose kutembelea hapa: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau naomba msaada natafuta gari toyota virtz au suzuki swift sio utani hata kama imetumika ila ipo kenye hali nzuri nawasilisha kama vp nipm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema, Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambikile Mwaisapile, anachemsha kilo tatu za mizizi katika lita 60 za maji ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kohler's Numi $6,400 high-tech toilet does most of the dirty work for you (video) By Christopher Trout posted Apr 16th 2011 5:08PM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Babu Loliondo abanwa SERIKALI imesema kuwa Mchungaji Ambilikile Mwasapila wa Kijiji cha Samunge pamoja na watu wengi waliojitokeza kudai wanatibu magonjwa sugu kwa kuoteshwa na Mungu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujua salary ranges zitolewazo na fao tanzania, kwa nafasi za programme officers na programme managers.asante
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimepata taarifa za kuaminika kwamba kuna wahindi wengi wanaingizwa nchini kutoka India kutumika kama watumwa. Wahindi hawa wanarundikwa kwenye majengo (kama mazao yaliotoka shamba) kabla ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tigo wanapiga sana kelele kuhusu huduma yao mpya ya data, msiingie mkenge hawa jamaa bado hawajajipanga, coverage ni ndogo sana, ukiwa maeneo karibu na city center hamna shida, lakini ukishatoka...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora mjini wako katika maandalizi ya mkutano wa hadhara jirani na zilipo ofisi za ccm wilaya.Kuna tetesi kuwa mkutano huo lengo lake ni kujaribu kusafisha hali ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na kisa hiki, ukizingatia marehemu kaacha mke na watoto wasio na msaada wowote. Soma hapa: MICHUZI: aliyechomwa moto kwa kuzamia disco afariki dunia RIP Marehemu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kituo cha televisheni cha Sibuka kinachorusha matangazo yake kupitia Startimes kitakuwa kinarusha live mechi zilizobakia za Barclays Premiere League, UEFA na Bundasliga!! Habari hizo za uhakika...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa taarifa yako nikwamba siku EL ameenda na Nelson Mandela kwa Mwaisapila a.k.a.(Babu)Babu maarufu hadi south!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanawake wawili wamefariki dunia wakiwa katika nyumba mbili tofauti za kulala wageni jijini Dar es Salaam. katika tukio la kwanza maiti ya mwanamke mmoja anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom