CCM wametangaza kujivua gamba...lakini nyoka mnyama ambaye ndiye haswa mwenye sifa ya kujivua gamba hufanya hivyo kila baada ya muda fulani kwani gamba hilo hukomaa tena. Je CCM wameweka utaratibu...
Kumbe Mswaada ulio rudishwa kwa wananchi,baada ya kupingwa na idadi ya watu na wabunge, ambao ulijaa pumba jana niliona waziri Hawa Ghasia na naibu waziri wa sheria na katiba wakiunadi/kuutetea...
Community policing
Fro
In 1967, state-of-the-art policing was exemplified by a fast response to radio calls in this Portland Police "black-and-white" and a crowd drawn by the siren and flashing...
mbunge wa ARUSHA mjini Godbless Lema akiwa ameambana na katibu wa mkoa wa Kinondoni Bwana Kilewo, leo wamewasha moto Nzega na kuufanya mji wote kuwa na mayowe ya furaha huku sauti ziki sikika...
Tuchukueni likizo na watoto tusiwapeleke shule
Labda serikali itafungua macho na kufanya kitu maana hii ni kali hapo watakapoona wanafungia barabara gari moja au mbili
Na inazidi kuwa mbaya...
je, safari hii serikai itapata ubavu wa kuwatimua hawa vigogo na kuwafikisha mahakamani watakaobainika kufanya ufisadi? au ndio mwendelezo wa kuvuana magamba?
hebu someni habari hii
Waliohojiwa...
Kwa wateja wa voda mtakubaliana nami kuwa kuna wimbi la sms kutoka kwa hawa service provider wetu,sms hizi ni za kihuni na zinaleta usumbufu mno,unaweza ukahairisha kwenda chooni ukakimbilia mlio...
Kanisa Anglikana laiasa Kamati Kuu ya CCM
Imeandikwa na Fadhili Abdallah, Kigoma; Tarehe: 18th April 2011 @ 22:40 Imesomwa na watu: 80; Jumla ya maoni: 0...
Jana nikiwa naangalia taharifa ya habari ITV, Nilimuona spika bwana. Mwangomango akijinadi kujiunga na ccm. Kilichonifanya niandike ni sababu anayoisimamia ya uvuaji gamba<sikufikiria kama mtu...
Tanzania kuna mameya wengi sana. Hata Miji mikubwa ya Dar, Arusha, Mwanza na kwingineko kuna mameya, lakini wote wanafanya kazi zao. Kijana Jerry Slaa amekuwa mstari wa mbele kuuza sura kwenye ma...
nipo nzega kikazi,baada ya kumaliza shughuli zangu jioni hii nimepita hapa uwanja wa parking ambapo dr slaa amekua akihutubia mkutano
Umati wa watu ulikua mkubwa sana kuwahi kutokea hivi...
Ndugu wanaJF
baada ya ile kauli ya katibu wa vijana wa CCM taifa wakiwa pale manzese yakuwa meya aliyechaguliwa ARUSHA ataendelea kuwa meya wa jiji hilo hata kama CHADEMA wakitoa lisaa limoja...
nimesikia kwenye redio sasa hivi kuwa kuna kikombe kimeibuka mbagala, mwaka huu kuna watakaofikiri kuwa ni neema, na kuna watakaozani ni kulichafua taifaletu kwani watu watakuwa wanasema unatoka...
mtendaji iringa kajiua, inadaiwa kuwa inadaiwa kuwa alikuwamo kwenye kundi wanaozaniwa wamechangia kwenye upotevu wa pesa za ruzuku.
source TBC TAIFA tarifa ya saa mbili usiku huu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.