Kwanza napenda kumshukuru yule mwanasheria aliemwaga live mbele ya waumini wa wawekezaji kwamba mawaziri ndio wanachangia sana kutofanikiwa kwa yale wanayoyaeleza...katika kuhamasisha...
Katika kile kinachoonekana kama laana ya kuchakachua kura moja mbunge wa Shinyanga mjini CCM Steven Masele hafurahii uheshimiwa wake katika jimbo lake, huku wananchi wakionekana kumdharau Masele...
Na Mwandishi Wetu; Tarehe: 14th March 2011
RAIS wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Pasaka litakalofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka, Aprili 24 mwaka huu...
Jamani nimekuwa nikimsikiliza Mkuu wa Kaya miaka kadhaa iliyopita pamoja na wasaidizi wake wakijitapa kuwa wamewatafutia wafanyabiashara wadogo suluhisho la kazi zao kwa kuwajengea Machinga...
ALIECHOMWA MOTO SOUTH BEACH AFARIKI DUNIA
by Othman Michuzi on Sunday, April 17, 2011 at 11:11am
Marehemu Lilah siku za mwisho za uhai wake akiwa hospitali.
Lilah, yule mwananchi...
Mkurugenzi wa Hoteli ya Kitalii ya South Beach ya jijini Dar es Salaam, Salim Nathoo maarufu kwa jina la Chipata (53), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na kesi ya mauaji ya kumchoma moto kijana...
KWANZA NAKUPONGEZA KAMANDA WANGU KWA KUCHAGULIWA KUTUWAKILISHA JUMUIA YA MADOLA NATUMAINI UNGENGE WEKO UMESAIIDIA KUFIKA HAPO ULIPO...
ANYWAY HILI NI KWA UPANDE WA CCM
HIVI MBONA VYEO VYOTE...
Tamko Rasmi kuhusu mgogoro wa ardhi wa Mivumoni, Kata ya Madale, Wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam
MWANA HAKI
Mnamo Aprili 5, 2011, tukio la kustaajabisha na kusikitisha lilitokea...
Katika Miongozo yake Mwl Nyerere alisema
"....THE CCM PRESIDENTIAL CANDIDATE (AND VICE PRESIDENTS) NEEDS TO BE A PERSON OF COMPLETE HONESTY AND INTERGRITY, CAPABLE, STRONG, FIRM, AND WITH CLEAR...
Hivi mgao wa umeme umeisha au unaendelea..? Manake hapo siku za nyuma kulikuwa hakuna mgao. lakini sasa naona hali inazid kuwa mbaya na unakatwa bila mpangilio ili hali mvua zinaendelea kunyesha...
Wadau ktk taarifa ya habari ya ITV ya usiku huu nimemuona Batilda Buriani akiwa pemben mwa Hawa Gasia katika mkutano wa uwekezaji,najiuliza kahudhuria kama nini?
Binafsi mimi ni mwana sisiem, lakini kinacho nikera ni viongozi wetu wapya kujinadi kana kwamba wako kwenye kampeini za uchaguzi mkuu. Mimi ningewapa big - up kama wangelirudi ofisi na kuanza...
Wana JF naombeni kujua uraia wa huyu mama hivi yeye ni Mtanzania wa kutoka Zanzibar au ni Mtanzania wa Tanganyika? Nauliza kwa sababu juzi kwenye vikao vya CCM ameonekana kuingia kwenye CC ya CCM...
Zabuni ya kuingiza nchini majenereta ya kukodisha kwa ajili ya kuzalisha umeme wa dharura wa megawati 260 na kumaliza mgawo, imeiva na inatarajiwa kufunguliwa wakati wowote, kuanzia leo...
Baada ya Mungu kuteremsha nyoka wenye sumu kali wa aina mbalimbali(Ukimwi,kansa,vidonda vya tumbo,BP nk) ili kuwaadabisha wana wa Israeli wana wa Israeli walimlilia Musa (Babu wa loliondo)...
Baab wa L amekuwa akivutia watu wengi sana, na wewe inaweza ukawa ni mmoja wa watu waliopiga dawa ya baab wa L, na kwa sasa hivi ukitokea na kupinga dawa ya baab wa l , watu watakushambulia kama...
Andrew Ryan mwenye umri wa miaka 32 aliiba msahafu toka kwenye maktaba ya mji wa Cumbria na kisha kwenda katikati ya mji na kuuchoma moto msahafu huo kwenye eneo ambalo kulikuwa na maduka mengi...
Mkaguzi na mthibiti mkuu wa mahesabu ya serikali amezidi kutufumbua macho wizi na utapeli wa ruzuku za vyama vya upinzani kwa kutumia kodi za watanzania..wakati utouh akilalamiikia wizi na utapeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.