habari,
Hii ni thread ya kudedesa tuu kuhusu maneno mapya ya ufisadi.
Nimejaribu ku-research lakini watu wengi wamekuwa hawajui lakini wengi walisema Dr. Slaa ndio wa kwanza kulisema hapa nchini...
Wadau nimekua nikifuatilia hili suala la IDPs (wakimbizi wa ndani ya nchi) nchini Kenya waliokimbia makazi yao mara baada ya machafuko ya uchaguzi wa 2007.
Sasa kasheshe ni kwamba hawa jamaa...
Sisi huku tumechokaaaa na story tunazopigiwa na wenzetu wanaotoka Dar es Salaam na Magazeti Yote ambayo yanaandaliwa Dar na kufika huku mikoani. Mara tuambiwa kuna kitu kinaitwa LEO TENA, Mara...
Kivuko cha fery huwa kina beba waenda kwa miguu, baisikeli, magari na kadhalika.chakushangaza ni kwamba unakuta watu wamejazana pamoja na magari na wakati huohuo waendao kwa magari walio wengi...
I believe this will be of interest to JF members:
Well done Oprah and British Airways
TWO TRUE STORIES ABOUT RACISM
1) I'm sure many of you watched the recent taping of...
Ndg, wana JF; poleni na majukumu ya kuelimisha jamii yetu ya Tanzania; Katika pitapita yangu ndani ya ulimwengu wa tovuti mbalimbali nilikutana na mwanablogu mmoja anajiita BC kutoka blogu ya...
Wadanganyika, niko mjini katikati tangu saa 12 jioni hadi sasa saa moja dakika kumi. Barabara zote ziko tight foleni haisogei. Walio kwenye foleni tupeane updates
Nilitokea mjini katikati maeneo...
ZAIDI ya wagonjwa na ndugu 3,000 watalazimika kusherehekea Mateso, Kufa na Kufufuka kwa Yesu Kristo (PASAKA) na Mchungaji Ambilikile Masapila, wakisubiri
kupata kikombe atakapoanza huduma Jumanne...
Wana JF! hii bodi ya mikopo hivi kweli bado tunaihitaji? Faida zake ni zipi? Halafu hii tume iliyoundwa maoni inayakusanyia wapi? Mbona wasomi tunapigika? Wana jamvi naomba tuwashauri hawa bodi au...
Kama kuna upuuzi nisiyo taka ni polisi kutangaza unafiki mbele ya watanzania
kuna swala linaniumiza sana kuna huyu bana anajiita nzowa ametangaza kukamata muiran lakaini ukweli halisi anajua...
Najaribu kufikiri itakuwaje watu wa dini ingine wakianza kuhoji uhalali wa serikali kumpa msaada mchungaji wa mstaafu wa KKKT katika kuendesha huduma yake.
Mara kwa mara waislamu wamelalamika...
Ni baada ya mtoto kugongwa na gari wananchi wanabeba mawe, magogo na miti wakitaka wawekewe matuta. Wananchi ni wengi na wanasema wako tayari kufa. Source: redio one/itv breaking news.
Hizi motorcade za marais wa Africa inaonyesha muda si mrefu ambulance itakuwa ni Compulsory. Imesemwa semwa weeeee ya Mkuu wetu, naona sasa na kwingine ni habari kama hizo!
Mugabe spotted at...
Ndugu wapendwa kumekuwa na imani tofauti juu ya huyu babu yetu wa loliondo na baya zaidi watu wameanza kutumia majuukwaa ya kanisa kulalamikia safari hizi
niaminivyo mimi huyu babu ajaanzisha...
Magazeti mengi ya leo yameripoti kuwa wale wafanyakazi wa hoteli ya South Beach wanaotuhumiwa kumchoma moto na hatimaye kumsababishia kifo mkazi wa Kigamboni Bw.Lilah Hussein wako nje kwa dhamana...
Juzi tarehe 18th April 2011 majira ya saa moja na robo asubuhi babu Mchungaji Ambilikile Mwasapila amewatahadhari wale wote wanaombeza na kumchukia wakiwemo Mchungaji Kakobe na Madaktari nchini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.