Kama kuna jambo linanichukiza
Wanajamii kutumia matusi, udini au ukabila kwenye mijadala mbali mbali humu mtandaoni.
Hivyo hatuwezi kujadiliana kwa njia za kistaarabu na hoja zetu zikawa...
kuanzia asubuhi hii chuo cha sayansi ya mawasiliano(INFORMATICS)katika chuo kikuu cha Dodoma wameanza mgomo endelevu,wakigomea kitendo cha kutolipwa fedha za vitivo(special faculty requirements...
Leaders and riches: The Nyerere legacy
By Joseph Mihangwa
11th January 2011
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
There was a time, following the fall of President Kwame Nkrumah in Ghana in...
Muccobs ni chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara ni branch ya Sua, kilipata kuwa university mwaka 2004, ningependa kusema kwamba tangu kipewe hadhi ya kuwa chuo kikuu kishiriki hamna...
Wakuu wana JF,
Najua wengi sasa mpo na pilika pilika za Easter,
Nina shauku kubwa sana ya kutembelea Bar maarufu mjini DSM wakati wa sikukuu hii ya pasaka. Bar inaitwa - MWANAMBOKA, nasikia...
Shukrani ni desturi ya binadamu baada ya kutendewa jambo jema. Mwaka 2005 tulishuhudia JK akipita sehemu mbalimbali za nchi yetu Tanganyika akiwashukuru wananchi kwa kumchagua kuwa rais wao; Pia...
Katika harakati za kujisafisha ili kuleta mvuto kwa wananchi, baadhi ya vigogo katika Chama Cha Mapinduzi wamepewa siku 90 kujiengua. Swali ninalojiuliza ni kwamba wameambiwa waondoke katika chama...
By Karl Lyimo, 17th April 2011 @ 12:00, Total Comments: 2, Hits: 340
THIS is a plea from the heart, asking the President Jakaya Kikwete Govt. to spare the money and the crows... Well, let me...
Sijui ni uoga wa viongozi? au kujifanya hamuoni?
kuna ubaguzi mkubwa wa watu wenye asili ya bara au Tanganyika huko visiwani, hawana pa kwenda kulalamika, na chuki iko juu kwao, tufanyeje?
wana JF ukiuliza nini maana ya demokrasia walio wengi watajibu kuwa ni uamuzi wa walio wengi kwa kuwazidi wale wenzao ambao ni wachache. kimanti sio sahihi maamuzi kama hayo kuwa ni sawa kwani...
na Grace Macha
MGOGORO wa kugombea mali za Halmashauri ya Moshi zinazodaiwa kumilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana ulichukua sura mpya baada ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bernadette...
Hizi messages zao zinanikera sana:
wastahili sifa! Tulijaribu kuwasiliana na wewe na hukujibu! Muda ni sasa: Tuma jina lako kwenda 15544 na waweza shinda leo tsh 3m taslimu na vodacom...
Wadau muelewe kuwa Moshi sio Dar, kwamba utatupa taka ovyo tu. Ukiwa Moshi beba taka yako hadi uone sehem ya taka, la sivyo andaa elf 50. Almanusura initoke baada ya kunywa maji hapo stand na...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), wamegoma kuingia madarasani na kuandamana hadi Ofisi ya Waziri Mkuu mjini hapa, kupeleka malalamiko yao likiwamo la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
Wapendwa wana JF, Niwataarifu tu kuwa sitakuwa hewani hapa jamvini kwa muda wa siku chache.
Hii ni kutokana na hizi sikukuu tatu za pasaka tunakuwa busy sana jamani. Nitarudi jumatatu kama...
Mimi ni mpenzi wa Mitandao jamii na mtumiaji wa Dhati kabisa hapa Tanzania nimejiunga karibu mitandao yote ya jamii kwa kipindi cha miaka 7 iliyopita pia ni mwanachama wa mitandao mingine jamii ya...
Wana "JF",mambo vp popote mlipo TZ.Mi ni mpenzi sana wa Filam za Kibongo.Kati ya wasanii ambao,nilikuwa navutiwa nao ki usanii ni pamoja na "ANTI EZEKIELI".
Kama kawaida ya wabongo...
Kuna tetesi hapa TEMEKE kwamba TAMBWE HIZA tayari ameikacha CCM na kurudi tena katika chama cha cuf na kupokelewa na TAWI la hapa leo mchana
wenye taarifa zaidi
.CCM imejivua gamba
Hii ndio kauli inayoendelea kutikisa vichwa vya habari nchini Tanzania kwa sasa kufuatia kikao cha Dodoma kilichokuja na safu mpya ya uongozi ndani ya CCM, ajabu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.