Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
JF, Sijui ni ''Beat''(midundo) inachezeka ama wenzangu mnaelewa maaana ya hizi nyimbo,uswazi na sehemu zingine zinapendwa sana: *''Prakatatumba........'' *''alachi alachi'' Sijui hata kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hali zenu JF! Nimeona niiweke hapa hii taarifa kwa nia nzuri. Nmekua nkisafiri mara kwa mara kwa usafiri wa anga...muda mwingine hua mchana...asubuhi...jion/usiku...ukaguzi hua shwari pale...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Kwanini uteuzi wa chief tanroads umechelewa?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika vitu vya msingi sana kwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote duniani ni uwekezaji hilo halina mjadala,hawa hulindwa na sheria,kanuni na taratibu za nchi husika.Katika nchi za wenzetu mwekezaji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wanaJF! Katika siku za hivi karibuni tasnia ya elimu ya juu imekua ikikumbwa na majonzi ya mara kwa mara kutokana na kuondokewa na wahadhiri waandamizi na waliobobea katika fani zao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Eliasa Ally, Iringa NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Mpinduzi (CCM), Bw. John Chiligati na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Bw. Nape Nnauye wameponea chupuchupu kuangukia na jukwaa walilokuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waheshimiwa wachangiaji! Salaam; Mnakumbuka mwaka 2005 mlivyojitokeza kwa wingi usio mfano kunshangilia na kumpamba Jakaya Mrisho mwana wa Kikwete? Mnakumbuka watu walivyojipanga barabarani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mshikamano Uwajibikaji Ufagio wa chuma Uaskari wa miavuli Kasi mpya, nguvu mpya, ari mpya Kasi zaidi, nguvu zaidi, ari zaidi Kuvua magamba katika zote hizi hakuna iliyofanya kazi kwa manufaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu kumekua na makelele dhidi ya mafisadi na ufisadi kwa ujumla. Serikali iliyopo madarakani ikaamua hatua za makusudi za kupambana na hali hiyo kwa kuchagua viongozi wapya ambao...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
mbona hii document inafichwa sana?
0 Reactions
1 Replies
936 Views
kwa mujibu wa takwimu ambazo zilipatikana wakati wa kampeni za uchaguzi uliomalizika kwa jk kuambulia 61% baada ya uchakachuzi, ilisemekana kuwa ahadi za ccm zilifikia thamani ya fedha za tazania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kuna ubaya gani wakazi wa kigamboni wakilipua hoteli ya south beach? au kuna ubaya gani watanzania tukisusa kwenda South Beach? au wafanyakazi wa south beach wakigoma? au kuna ubaya gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa miaka ya 1980 halmashauri kuu ya CCM ilitangaza vita dhidi ya wale iliowahita wahujumu uchumi. Lakini kabla ya kuanza utekelezaji wa vita hiyo ulichukuliwa uamuzi kwamba wajumbe wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MGOGORO wa kugombea mali za Halmashauri ya Moshi zinazodaiwa kumilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana ulichukua sura mpya baada ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bernadette Kinabo, kususia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama ulikuwa mvivu wa kunywa vidonge vya Viagra usipate tabu sasa wataalam wametengeneza bia ambayo ndani yake dawa hiyo maarufu ya kuongeza nguvu inapatikana. So next time ukiwa bar unapata moja...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Mwanzoni mwa miaka ya 1980 halmashauri kuu ya CCM iliagiza serikali kuwachukulia hatua kali wale wote iliowahita wahujumu uchumi. Hata hivyo kabla ya kuanza utekelezaji wa agizo hilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Makala ya BBC-SWAHILI Kuanzia Dakika ya 18 Sekunde ya 50 BBC Swahili - Redio - Amka na BBC
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilimtembea bibi kijijini, majirani waliniona. Sikusita kuzungukia humo kijijini, kuangalia maisha. Nilitoa machozi kwa chini, taifa lilivyomaskini. Maisha ya mtanzania huyatamani, anavyopigika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nianze kwa swali! Hivi CWT mnachowasaidia walimu ninini? Nadhani muondoe kifungu cha 'KILA MWALIMU NI MWANACHAMA' Hamuoni mnawanyima watu DEMOKRASIA ya kujiunga au kutojiunga? 1.Katika MANISPAA YA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau, linganisheni kichwa cha habari na hizo aya nilizowekea rangi ya blue halafu muone aina ya waandishi tulionao nawasilisha........................ CHADEMA: Tutahoji utajiri wa Ridhiwan...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom