Ni yule aliyekua mhadhiri wa UDSM...amefia Sekuco MAGAMBA alikokua anafanyia kazi tangu ahame...Source: Mimi mwenyewe, ni ndugu yangu,nimepokea taarifa asubuh hii, na ku confirm
Ndugu wanaJF
baada ya ile kauli ya katibu wa vijana wa CCM taifa wakiwa pale manzese yakuwa meya aliyechaguliwa ARUSHA ataendelea kuwa meya wa jiji hilo hata kama CHADEMA wakitoa lisaa limoja...
Kwa hali isiyoyakawaida vyuo vikuu tulivyo amini kuwa kuna wasomi sasa kuna wahuni. Msomi hujibu hoja si kuzomea hoja. Wanasiasa wawatumia wao hajui. Wakimaliza warudi kuomba kazi kwenye...
Taarifa ya television ya TBC saa saba imeonyesha wananchi wenye hasira mjini Babati walioamua kupasua mabomba ya Mamlaka ya Maji Safi na Taka BAWASA baada ya fujo za kupinga mkazi mmoja mwekezaji...
Nimetafakari kwa kina juu ya suala hili sijapata jibu, naombeni kushare na wana JF wenzangu kulikoni katika hili. Nimepata kusoma katika makala nyingi sana hapa JF na kwingineko zikisisitiza kuwa...
Hi there!! remember what happened to Kenya's KANU party?, i predict the worse to happen to CCM if it keeps on embracing corruption.My prediction to what will happen to CCM at the end is as...
Awila Silla,Dodoma
na Tumsifu Sanga
ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kati, Godfrey Mhogolo amesema, matatizo na migogoro inayoikabili Taifa hivi sasa haiwezi kunyamazishwa au...
about us
ebu jaribu kupitia iyo link hapo juu na ujiulize kwanini mpaka sasa waziri na maofisa wote wa wizara ya kilimo hawajajiuzulu?!?!:angry::angry::angry:
Haya yamejiri alfajiri ya leo hp mtaani kwangu yakwamba jamaa mmoja kuliwa na mbwa baada ya jamaa kulewa na kuingia anga la mbwa wa mzungu mmoja jrn yake,na mpk sikio moja la kulia kukatiwa chini...
Nimeona katika ITV mwanachuo alisema alihama ccm kutokana na ufisadi lakini kwa kujibu gamba ccm ameamua kurudi jamaa anatia Huruma maana wenzake walikuwa na kijani na njano. Yeye hata kakofia...
Mi nashangaa sana,viongozi wa juu wanasema mafisadi wajiondoe wenyewe.Nape,Mkama,CC wamesikika mara kadhaa wakiwataka mafisadi wajiondoe.Tunaomba wawataje kabisa kama walivyofanya...
Kumekuwa na tatizo kubwa sana la maji kusambaa hovyo barabarani na kwenye makazi ya watu punde mvua zinapo nyesha.
je hili tatizo ufumbuzi wake ninini?
Na mamlaka husika inafanya nini juu ya...
"Nataka niwaonye kuwa wasianzishe vita vya mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo, tulipoanzisha vita vya ufisadi hatutanii, sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao,"alisisitiza Bw. Nnauye...
Habri wanaJf kwa ujumla?
Nitakuwa Moro Kuanzia J5 na nafikiri ndio itakuwa sehemu ambayo ntalazimika kula Pasaka yangu huko.
Naomba Company kwa wale wanaJF walio Morogoro town nasikia wenyewe...
kuliombea taifa kila mtu anawajibu huo mimi huwa naliombea na sina kanuni kuwa leo nitasema nini mfano sasa nasema hivi
`BABA YANGU WA MBINGUNI ULIENIUMBA MIMI NA WATANZANIA WENZANGU, NA UMETUUMBA...
Nimejaribu ku-search kama hii topic ishawahi zungumziwa sijaona, so 4give me if it had been discussed b4.
Hii issue ya askari wa tigo kukamata magari ya barabarani ni sahihi kweli?
i.e.:
Mipaka...
Hivi karibuni tumesikia kauli za baadhi ya wanzibar kuwa ufisadi upo huku bara na sio visiwani.Kwanza, kama tunakumbuka vizuri sakata la mgogoro wa ardhi kati ya waumini wa kanisa la Anglikana na...
Ndg wana JF
Kwa nini miaka yote, miji yetu ni michafu kiasi hiki? Kipindupindu....imagine!
Leo asubuhi, Radio One wametangaza hali ya uchafu katika Jiji la Arusha nimeogopa. Dar, Moro, Tanga...
From MARC NKWAME in Arusha, 17th April 2011 @ 19:30, :DAILY NEWS
THE new headquarters for the East African Community currently under construction in Arusha is creating room to host both Southern...
Jamani naona sikuhizi Rais wetu anatia sana huruma katika hotuba zake, kama hana konfidens, yaani anakosa mashiko kama kiongozi! Naona huwa anaongea kama anakitu hakiko sawa, utadhani anahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.