Binti aacha shule akidai naye ameoteshwa
Imeandikwa na Na Abby Nkungu, Singida; Tarehe: 15th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 54; Jumla ya maoni: 0...
As per announcements made yesterday and implemented today, all shops in Tanga city are to be kept shut until 12:00pm today!Any shop found open, a fine of Shs 50,000/= is to be paid.
The owners...
ama kweli kufa kufaana! idadi ya magari yanayopeleka wagonjwa samunge yamesababisha kuongezeka kwa kodi zilizowafanya wakusanya kodi hizo kushawishika kuzichakachua!
gazeti moja jana lilieleza...
ndugu uendapo kupanda daladala moro mjini kama unaelekea chamwino, SUA, mzinga na maeneo ya jirani na sehemu tajwa unakwenda kupanda daladala lazima ukutane na tope. huu msimu wa masika ni kero...
Dada yangu Jenister,
Nafurahishwa sana na jinsi unavyoongoza vikao vya Bunge pale unapokuwa mwenyekiti wa vikao husika... I wish ungekuwa.... Naomba ujiendeleze zaidi... nyota yako inang'aa...
jana niliongea na wanafunzi wachache wageni ambao wanatoka nje ya tanzania. niliongea kwanza na wanafunzi wa msc. badae nikaongea na wanafunzi wa bsc. wanafunzi wa msc walisema wao wanatamani sana...
Jamani mwenzenu toka nihitimu chuo sijapata kazi. Ila nimeamua kujiingiza kwenye ujasiriamali. Nataka kuendesha mradi wa internet cafe' ambapo ninahitaji kuwa na mil 3, nimeandika mchanganuo wa...
kila siku najiuliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wao wenyewe wana uwezo wa kupata pesa.Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la...
Akiwa anajibu maswali Bungeni W/Mkuu amepinga kuwa mikoa ya Lindi na Mtwara si masikini kama wengi wajuavyo bali kwa Takwimu zilizopo mikoa masikini kabisa ni
1.Singda
2.Dodoma
3.Kagera...
Mwanzoni mwa miaka ya 90 kati ya mambo ambayo yalisababisha wafadhili mbalimbali wanaosaidia bajeti ya serikali kusitisha misaada yao ni uzembe wa kutokukusanya kodi, lakini pia kukithiri kwa...
Wana ndugu hii ni kashfa ya aibu na kweli
Kwa waliosikia jana kipindi kimoja toka clouds kuna kijana mmoja aitwae Rasta ambae amekuwa akiwauzia karibia wala ganja na unga wote pale...
Habari wana Jf, kuna jambo kidogo naombeni mawazo yenu, Mimi ni mwajiriwa wa taasisi moja, mwaka jana serikali ilivyopandisha mishahara mwezi wa saba, taasisi yetu na yenyewe ikatupandishia (mimi...
ni KAMA TBC IMECHUKUWA WAKEREKETWA NA KUWALETA STUDIO KUTETEA MUSWADA ULIOFELI. NA ITV IMELETA WATU MAKINI KUTOA HOJA MAKINI NA WANACHAMBUA KWA UNDANI KULIKO TBC KAZI YAO NI MADONGO KWÀ CDM...
Mbunge wa nchini Indonesia ambaye alijipatia umaarufu kwa kusimama kidete kushinikiza sheria kali zipitishwe kama vile kutupwa jela miaka 15 kwa kushiriki kwenye video za ngono, mbunge huyo...
Sikuamini wala sinta kaa niamini,hivi kweli serikali hii itatusaidia katika gurudumu la maendeleo kama mdhibiti mkuu wa seria serikalini nae anadiriki kutetea kupindishwa kwa sheria?tena za bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.