Habari jamvini JF!.
Nimekua nasikia maneno mengi kuhusu ndoto mbali mbali...
Wasomi na wasio wasomi wakijadili hili swala la ndoto.
Nami nimefurahi japo nitoe mchango wangu kuelimisha ni nini...
Habari waungwana JF!
Hizi ni maana ya Uganga.Uchawi&Ushirikina.
Loh! Jamaa wengi utawasikia wakilalamika na kutoa maelezo mengi kuhusu mambo hayo...
Sasa tuanze kuyaelezea...
1-Uchawi ni nin...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu kutoa tiba kwa kuwa wameoteshwa. Napenda kufahamu kama nikiota ndoto nitajuaje kama nimeota au nimeoteshwa? Nikiota labda nimemwoa binti wa...
Tumeshuhudia kashfa nyingi huko Bongo lakini wakosaji hawawajibishwi,hivi ni kwanini?EPA,RICHMOND,KAGODA,MEREMETA,RADA,IPTL,KIWIRA COALMINE,UDOM na nyingine mnaweza kuziorodhesha hapa.
Je hakuna...
Akina mama mpo! Tunaendeleza mapinduzi ya kijinsia na kuondoa mfumo Dume, tulianzia bungeni kwa spika mwanamke sasa katibu mkuu wa CCM lazima awe mwanamke........Wanawake oyeeeeeeeeee!
Napenda kumkaribisha waziri mwenye dhamana ya TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA kutembelea Idara ya kilimo/mifugo, H/M ya wilaya ya NGORONGORO ajionee UNYANYASAJI UNAOFANYIKA KWA WATUMISHI WA...
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Uhusiano na Utaratibu) Steven Wassira na Mbunge wa Musoma vijijini Nimrod Mkono (kulia) wakinywa dawa kwa mchungaji Ambilikile Mwasapila katika kijiji cha Samunge...
Mara nyingi CCM imetutesa toka ujana wetu acha CHADEMA waseme,
hawaipendi CHADEMA na kuipaka matope, lakini hawaiwezi,
CCM, imekula mgonngoni mwetu na wamejitarisha sana
na kujilimbikizia mali...
Mapesa ya waznz yaliliwa kambi ya Kibweni 2005, watu walifukuzwa kazi . kumbe kesi ilipoisha na hakimu alisema Walioba sio waliohusika, ushahidi ulitungwa, sheria ziliborongwa. na baya zaidi...
Mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema ametangaza kampeni mpya ya kuleta mabadiliko katika jamii.
Kampeni hiyo aliyoipa jina la 'CHANGE ON FINGERS' inalenga kuwafanya vijana kushiriki kuleta...
Do you know?
a human body can bear only upto 45 Del (unit) of pain.
But at the time of giving birth, a woman feels upto 57 Del of Pain.
This is similar to 20 bones getting fractured at a...
WADAU NATAFUTA WATU WENYE MTANDAO WA KUTOSHA ILI KUSHIRIKANA NAO KATIKA BIASHARA YA CONSULTANCY WAWE KAMA ASSOCAITE PARTNERS WA KAMPUNI. NAMILIKI KAMPUNI YA CONSULTANCY INAYOTOA HUDUMA...
Wadau, hivi aliyeanzisha watu kujilipua ni nani?? Hivi inawezekana kuja kuwa historia kwa watu kutambua kuwa huo ni ujinga na ni sawa na kuwa jambazi??? Mfano Nigeria, wamepiga kura lakini eti...
Habari wadau,
Naomba nitoe dukuduku langu, kuna huyu mwenyekiti wa mtaa wa CCM kata ya Upanga Mashariki anaitwaa Rukiya A. Riyami toka aukwae uenyekiti 2011, anatukamua sana sisi wakaazi wa...
Nabii Joshua Mwantyala akiwanyunyuzia maji ya tiba wananchi waliokusanyika katika mkutano wake wa Neno la Mungu la uponyaji na kuwaombea wagonjwa wote wenye magonjwa sugu kama vile Ukimwi...
Mwanzo nilipoona picha za hilo Tangazo nilidhani ni tangazo la tigo, baada ya kusoma hapo juu kumbe ni la Airtel. Ninayo imani kwamba Airtel ni kampuni kubwa katika kiwango cha kimataifa lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.