Vijana hii n changamoto kwenu
umefika wakati ukiajiriwa ujue kuna kuacha kustaafu ama kuachishwa..nimeangaliwa vijana wazee wengi wanapoacha ama kuachishwa kazi kwa kweli ndan ya miezi sita...
Mussa Juma na Neville Meena, Samunge
Mwananchi
WAZIRI wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Mahusiano wa Uratibu), Steven Wassira na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, wamewashambulia...
Kwa kufuatilia malumbano na mijadala inayoendelea katika uwanja wa siasa sasa hivi, ni rahisi kuhitimisha kwamba harakati za kurithi hatamu za uongozi wa nchi hii mwaka 2015 zimeanza. Wale...
Kwa jinsi CDM JF wing na waungaji mkono wao walivyo na matusi na dharau kwa wenzao kwa kujiona kuwa wao wamesoma zaidi, je hili linawezekana?
DIWANI pekee wa kuchaguliwa katika Jimbo la Iringa...
Jana mchana radio times fm
watangazaji sijui walianzia wapi
but wakati naanza kusikiliza nikasikia
wanashindana kutaja majina ya bangi......
I mean watangazaji kama wanne na baadhi ya...
watoto wanaitwa VITOTO
sasa sijui huyu hapa ni Premi au Salva??
H@ki Ngowi
inamaana huko Ikulu hakuna anyejua Kiswahili au uhuni umewajaa hawa watu wa Mawasiliano?
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama...
Leo vodacom wanezindua rangi mpya, wamebadili kutoka rangi ya blue kwenda nyekundu. Source chanel ten.
Ili tukio mi sijaelewa linaamanisha nini? Kwanin wanabadilisha rangi ila nembo imebaki...
Meeen nimejitahidi sana kukipenda hiki chama cha CCM,but nimechemsha!!jamani madudu yote yanayoendelea nchini yanatokanana udhaifu wa hiki chama!!ni juzi tu nikiwa sinza mida ya usiku nilitumia ka...
Ni jambo la kusikitisha na kutia aibu pale unapotembea kila baa katika kila mji wa nchi hii na kukutana na misururu ya magari ya serikali yameegeshwa baa. Kwa mda mrefu nimetafakari suala hili...
Chuo kikuu cha DSM kimempoteza mhadhiri wake dr. Katunzi (aliwahi kuwa mbunge) aliyefariki jioni ya leo akiwa darasani akifundisha.
Kwa hakika ni pigo kubwa kwa jamii ya wasomi wa chuo hicho...
Utakuta kiongozi mkuu au mwakilishi wa taasisi flani anawaambia wafiwa na wananchi (via media) eti "naombeni muwe na moyo wa subira" subira ya nini wakati mtu kesha kufa? Mbona huwa hatupati...
Napenda kuwapongeza Watz wote wanaoelekea kutimiza miaka 47 ya jamhuri ya muungano ya Tanzania ifikapo April 4, 2011.
Mwl JK Nyerere alishawahi kuwaambia walimu wawafundishe wanafunzi kuwa...
Wapo wansosema "WAMECHAGUA MBUNGE HUYU AU DIWANI YULE MPYA KWA SABABU YULE WA ZAMANI AMESHAKULA VYA KUTOSHA WACHA NA HUYU NAE ALE!!"
Na hili ndilo limepelekea kupata madiwani wengi mbumbumbu ambao...
tangazo jipya la zain kuwaita wateja wa kigari kidogowahamie kwenye gari kubwa lao yani wateja watoke tigo waende zain,sasa wajipange vizuri kwa kuwa wameshachelewa...
Najiuliza maswali mengi sana nakosa majibu,Vyombo vingi Tanzania sasa habari kuu sasa ni kikombe cha Babu huduma anayofanya na vigogo wanaokwenda wa serikali na matukio yanayotokea...
kwaanza napenda kuwapa pole nduguzangu wakina mwakangata Mungu awape nguuv wakati huu mkiusafirisha mwili wa marehemu..kuna mandishi alitngaza kugombania ubunge najaribu kumfananisha na...
Mwezi uliopita kabla ya habar ya babu kuteka wanahabari n wa tz kiujumla, kulikuwa na issue ya sophia simba kuishutumu chadema inataka kuleta vurugu na uvunjifu wa amani na pia inafadhiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.