Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
KIJANA aliyetambulika kwa jina la Kizito Mwashala (29), mkazi wa Mbagala Kilungulile, ametoa mpya ya mwaka kwa kuchimba makaburi ili amzike baba yake ambaye yu hai kwa kile kilichodaiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Viwanda na majengo ya zamani ambayo hayavutii tena kwenye macho ya watu huchomwa moto na fedha za wajanja huingizwa upya kupitia fedha za walipa kodi kwa kivuli cha wahindi na wachina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KATIKA hali ambayo haijazoeleka katika jamii, Fatma Mussa [50] mkazi wa Gongolamboto amempeleka mumewe polisi kwa kuchoshwa na vipigo, kudhalilishwa na matusi kutoka kwa mumewe huyo. Chanzo cha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MKAZI wa Mbezi Juu Mtoni jijini Dar es Salaam, aliyefahamika kwa jina la Shabani Kihundo (30), amekutwa amekufa akiwa chumbani kwa kuhisiwa kunywa sumu kwa kuudhiwa na mkewe katika ujumbe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam ndugu wanaJF, Nina tambua kuwa maandalizi ya weekend yashapamba moto kwa serious issue ni vigumu kuzijadili. Kinachonisumbua ni kuona kuwa watanzania wenzangu kukosa ule uthamini kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa Jf napenda kufundishwa juu ya hili. Nilikuwa nikicheki katika link hii Illuminati Symbols nikaona katika nembo za hawa jamaa wanaojulikana kama freemason(Dini ya shetani) ni namba...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
ndg wana JF: Nani alaumiwe 1.Sisi Watanzania maana tuliichagua 2. Maaskofu kwa kusema chaguo la mungu 3. Tume ya Uchaguzi umetufikisha hapa 4. Watendaji wa serikali kumgeuka Rais - Hawatimizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati wafanyakazi wakifikria mishahara ya mwezi huu nk itakuja lni wapo wanaume wenye meno wameendeelea kuimaliza kampun ya ndege ya ATCL kwa kuamua kukodisha sehemu ya kuwekea mizigo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
It is sad that most Tanzanians are very poor in language even Kiswahili which is our mother tongue and national language. This is proven when you read the newspapers, listen to radio, public...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimejiuliza iweje leo hii nauli inapandishwa kwa kuptia sumatra lakini hizi za loliondo watu wameamua kukaa kimya..je wakurugenzi wa sumatra mna dili na haya mabasi ama haya magari ya safari iweje...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana mwenyekiti wa hesabu za serikali, kwa niaba ya kamati yake alinukuliwa na tbc akiitaka serikali kuchukua hatua za haraka kukabidhi mgodi wa kiwira kwa NSSF kama hatua ya kulipatia ufumbuzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima la Jumatano, Machi 16 mwaka 2011. Mchungaji mwenye miujiza mingi, Ambilikile Mwasapile ‘Babu‘ (pichani)yupo kwenye majaribu mazito baada ya kubainika kwamba kuna...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
A case of modern day slavery in the suburbs By Chris Summers BBC News Mrs Khan A pensioner has been convicted of trafficking and exploiting an African woman she used as a "slave". While...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
So who are they going to get to implant the explosives? Surely not Muslim surgeons? Aren't they supposed to have sworn the hypocratic oath? Well apparently not, see links under Doctors of Death at...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Inavyooneka, Tanzania ni nchi iliyo na maji mengi kuliko nchi zote Africa lakini ni mmoja wa nchi masikini na inasumbuliwa na njaa mara kwa mara kutokana na ukame. Ili kupata chakula, maji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwl. Philipo Mulugo yatima aliyeukwaa uwaziri Machi 16, 2011 Malezi ya kiroho siri ya mafanikio Wazazi wake walifariki kwa kuliwa na mamba Ajisomesha kwa kuvua samaki UTEUZI wa Naibu Waziri...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kupitia chanel 10 mzee wa upako kasema kikombe cha babu kama ni mipango ya Mungu basi na iwe hivyo. Anapingana na wale wanaompinga babu. Anasema Mungu ni mpana sana kuliko tunavyodhani. Anawaombea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo kidogo nimeanza kufarijika ingawaje bado nina wasiwasi kama maelekezo ya Jk yatatekelezwa. Leo saa 12 asubuhu, kupitia BBC, nimemsikia Kikwete akisema wataalamu wakae pamoja ili kuona namna...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
mambo ya mombasa kenya (ushoga)kweli dunia imefika mwisho sasa tunangoja tu kuchukuliwa
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom