Ilikua leo ndo mara ya kwanza kutumia daladala baada ya ongezeko la nauli zilizotangazwa na SUMATRA kwa jiji la dar es salaam. kwa kweli nimejisikia kuumia sana kwa sababu kwa mizunguko kadhaa...
He is left-handed the sixth post-war president to be left-handed
He has read every Harry Potter book
He owns a set of red boxing gloves autographed by Muhammad Ali
He worked in...
Mamia ya watu wameendelea kumiminika Loliondo kufuata dawa ya babu mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile ambazo zinadaiwa kutibu magojwa sugu, wakati huo huo orijino komedi nao hawajakaa nyuma...
Napenda sana chakula cha wachina but tabia yao hii inanishinda
Nimekuwa nikienda kwenye hotel zao mara kadhaa kupata kitu roho inapenda but Karibu mara mbili sasa nimeshindwa kula chakula...
Kiukweli binafsi sioni cha maana alichofanya muongoza nchi wetu(rais) tangu atinge ikulu zaidi ya kuonesha udhaifu katika utendaji wake.
Nnavyojua mimi ni kwamba kiongozi lazima awe na vifu...
ALLY Salum [48] anayedaiwa kuwa fundi ujenzi mkazi wa Yombo Buza, amekufa baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba ya mkonge kutokana na kuzidiwa na wivu wa mapenzi .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
kulikua na watu wanne waitwao Kila mtu, Mtu, Mtu na Hakuna mtu. Kulikuwa na kazi muhimu kufanywa na kila mtu alikuwa na uhakika kila mtu angeweza kufanya kazi hiyo. Kila mtu angefanya kazi hiyo...
A forceful speaker, given to fiery phrases, he is fluent in both English and Swahili. in 1963 his translation of Shakespeare's Julius Caesar into Swahili was published in Dar Es Salaam. He was a...
Nchi zilizoendela kwa kutegemea msaada wa nguvu za Nyuklia ziko hatarini kurudi nyuma kimaendeleo na hata kuhatarisha Afya za raia wao baada ya kugundua kuwa Mitambo yao haiko salama kutokana na...
Jamani nguvu ya umma imeanza kuzaa matunda kwani kiwanda cha kilombero kupitia kampuni ya ilovo dar imetangaza sukari itakua sh 1500 kg.source nipashe leo
Maswali rahisi kwa TANESCO au TUICO – TANESCO.
Nini tafsiri ya kina ya Tamko la Viongozi wao wa TUICO:--
1. Kusema kuwa wao hawatalipa Dowans isipokuwa Dowans ilipwe na Serikali: Je...
dawa ya mafisadi ni kuchukua sheria mkononi kama tunavyofanya kwa vibaka , tukiwaona mtaani tu tunawagawana kama wanavyodawana mali zetu watahacha tu hakuna mtu hasiye ogopa kifo kuliko kumsubilia...
Katika jitihada za kuiipa CCM uhai mpya kuna tetesi kwamba chama hicho kiko mbioni kufanya mabadiriko makubwa katika safu yake ya watendaji wakuu na baadhi ya viongozi waandamizi.Hata hivyo...
Hamjambooo? ndio nimetoka jela hivi punde baada ya kusota muda mrefu kwa kufungiwa na Modereta mpaka nimeupata ugonjwa wa Kisukari! nimesikia kuna BABU huko Loliondo anatibu hivyo naenda huko...
:angry:WANAJAMII kipi hasa ni cheo cha Babu?
1. aITWE nabii? mtume? Mchungaji? Tabibu? mganga? mnajimu?
2. Musa alikuwahi kukutana wa wachawi MISRI wakamrushia nyoka wa kichawi naye mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.