Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Afisa mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japani , Bw. Francis Mussongo ametoa wito maalum kwa watanzania wanaoishi nchini Japani kuchukua tahadhari kufuatia habari za kuvuja kwa mnunurisho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SHULE ya Msingi Bunge ya jijini Dar es salam, imeingia kwenye kashfa baada ya mwalimu mmoja shuleni hapo kuwaadhibu wanafunzi kwa waya wa transfoma. Taarifa kutoka shuleni hapo ilisema kuwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu kwa mwenye kuweza kunisaidia idadi halisi ya vyama vya siasa Tanzania pamoja na majina yake kwa mwaka huu 2011 naomba anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimegundua mtu au taasisi fulani zinaweza kunyima uhuru wa mtu kwa kulinda maslai yake au yao...kabla ya kumlaumu mtu,watu au taasisi fulani kwa kuwa wabinafsi tujiangalie sisi kwanza....tusiwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii imesikika leo kwa mujibu wa redio clouds fm. Sina taarifa zaidi kwa kuwa miye mwenyewe nimedokezwa na mtu.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kutokana na milipuko ya vinu vya nyuklia huko japan,nashauri kuwa waangalifu juu ununuzi wa magari mitumba hapo baadae kwani kuna uwezekano kuwa yakawa yame ingiwa na mionzi iliyovuja ya nyuklia...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Follow the link to see the damage caused by tsunami. 实拍日本强震海啸十大悲情时刻 - 实拍日本宫城县地震加海啸后的城市 - 视频 - 优酷视频 - 在线观看
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba kufahamishwa... juzi nlipata sms katika line ya TIGO lkn ikisifia ZANTEL na jana katika line ya ZANTEL ikisifia AIRTELL... katika kesi zote mbili sms imetumwa na sender ambaye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeguswa na huyu mzee kwa kweli huduma yake ni ya kimungu. Mungu amzidishie hii cooporate responsibility yake ni zaidi, ina utu mkubwa ndani yake zaidi. Wito Viongozi wetu igeni mfano, ukianza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi ni nini kilichoisibu hii club, iko on the way to Rainbow club kwenye ile barabara ya lami inayotoka Tangi bovu kuelekea baharini. Walikuwaga wanachoma kuku vizuri, majuzi nilipita hapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mda huu inasemekana JK anatembelea wizara ya fedh@ kuna tetesi kwamba watumishi woote wanalazimishwa waende wakajipange mstari ili kumlaki, inasemekana hata kama kulikuwa na ishu nyeti inaendelea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mchakato wa tuzo za waandisho bora kwa makundi tofauti na mwandishi bora wa jumla umeanza.Hivi sasa tuzo ya mwandishi bora kwa mwaka 2009 inashikiliwa na JERRY MURO wa TBC1 Soma hii habari chini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KWA BABU KUNAPATIKANA AJIRA KIBAO.UONGOZI WA KKT MKOA UMENTEUA KUTATUA TATIZO LA AJIRA LINALOWAKUMBA WATANZANIA KWA KUFANYA USAILI WA WATAKAOITAJI KAZI ZIFUATAZO ==KUOSHA VIKOMBE ==KUOKOTA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ktk jamii zote duniani tunaamini uwepo wa mizimu na madhara yake iwapo mzimu huo utakuwa na ujumbe wa kutoa na usisikilizwe. ndipo, kwa dalili zinazojitokeza wahusika huenda kwa wajuzi wakajuzwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakazi wa Kimara,Mbezi Louis,Tegeta,Goba,Madale nk daraja la makongo juu hadi goba stendi ni kiungo muhimu sana hasa kupunguza makali ya foleni kwenye barabara kubwa hasa MOROGORO ROAD na ALI...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hali inaelekea kuchafuka hapa Singida mjini kutokana na muhadhara ambao umeanza tangu majira ya saa nne asubuhi na hutuba kutolewa na Mashekhe na Maimamu maarufu kutoka ZNZ na DSM. Katika...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Katika makada wote wa chama, waliokuwa karibu na Baba wataifa, kuanzi enzi za TANU hata CCM, mzee Ngombale Mwiru ndiye alikuwa akionekana machoni mwa watu wengi, kuwa ni mjamaa wa kweli kwa kauli...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba nilifikishe kwenu hili. Juzi nilikata tiketi ya basi kuelekea Mbeya, mimi sikuwahi kufika huko kabla, pamoja na kutokuwa na uzoefu na gari za Mbeya, sikupata tabu sana, nikafika...
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Wanandugu nimesikia mtoto wa kiranja mkuu a.k.a mtoto wa mkulima anasoma St.Consta' Arusha,shule ya 17million per year wakati mkulu huyo alisema account yake ina 20million tu. Naomba kuwakilisha
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu nimeibiwa modem ya zain je kuna njia yoyote ambayo naweza kufanya ili nijue anaeitumia...mfano anatumia line gani?, yuko wapi?....
0 Reactions
5 Replies
998 Views
Back
Top Bottom