Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakati dunia ikiingia kwenye delema ya imani za kidini pamoja na matukio yanayodhihirisha mwisho wa dunia, jiji la mwanza linasikika kujaa manabii wa uongo. Ni akina nani hao? Naomba niwajue kwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Mi nimekuwa nikijaribu bila mafanikio kuaccess au kusoma posts zilizopo kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa, naombeni mnisaidie maana kila nikifungua naambiwa huna access/permission
0 Reactions
7 Replies
902 Views
LEO Wakristo wa Tanzania wameungana na wenzao duniani kote kuanza kipindi cha Kwaresma ambacho ni cha kuelekea mateso ya Bwana Yesu Kristo kwa ajili ya kuwakomboa wanadamu kutoka katika utumwa wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WIZARA ya Maliasili na Utalii, imewataka wakazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, waliokata mkia wa Simba na kung’oa kucha zake, kuvirejesha vinginevyo watasakwa ili kuchukuliwa hatua za kisheria...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF: Nimejaribu sana kutafuta sababu kwa nini hapo awali Serikali ilijikanyaga kuhusu tiba ya babu wa loliondo – kwanza kusitisha utoaji huduma hiyo kwa kupitia Waziri wa Afya Dr Mponda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hey Guys, mimi ni mgeni hapa so don't shun me kama niotakuwa nimekosea. Anyway, kuna kitabu nimekuwa nasoma lately kinaitwa "The Shackled Continent by Robert Guest" ningependa kuSuggest mkisome...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Jana naibu wa viwanda na biashara ndg lazaro nyalandu kazindua shahada 2 za uzamili (master's program) - master of int. trade na master of int. business ambazo zinatolewa na UDBS. Ni jambo zuri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwako Kaka JINSI GANI TUTAZUIA MAFISADI WA SASA NA WOTE WAJAO KWA ASILI YETU HII YA UBINADAMU WA KUPENDA FEDHA. Kichwa cha habari chajieleza; Moja ya vitu ambavyo huwa vinanichanganya...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Madini haya yamepewa jina la baba wa taifa, safi sana. Nyerereite is a very rare sodium calcium carbonate mineral with formula Na2Ca(CO3)2. It forms colorless, platey pseudohexagonal...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sipingi na wala sitapinga wagonjwa kumiminika kwenda Loliondo kupata dawa ya magonjwa sugu inayotolewa na Mch. Mstaafu Ambilikile. Lakini kama anayosema ni kweli basi Mungu aliyempa uwezo huo...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Serikali itegemee maajabu CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema Serikali itegemee maajabu zaidi ya tiba za asili kuliko ya Loliondo, kwa kuwa wananchi wamechoka na ubabaishaji wa sekta ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa akitamani kuwa na mtoto, ametiwa mbaroni baada ya kumshambulia mwanamke mjamzito na kujaribu kulipasua tumbo lake ili kukiiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Mwinyi amewataka wa TZ kuzisaidia familia za askari wa jwtz wa kambi ya gongolamboto zilizo athiriwa na mlipuko wa mabomu. Source gazeti mwananchi. My take : kuna tetesi kuwa wakati wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu wawili wafa pale pale muda mfupi uliopita baada ya kugongwa na gari iliyokukuwa ikivutwa na gari ingine. Waendesha piki piki hao waligongwa na kufa papo hapo baada ya bomba lililotumika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wanamiminika Loliondo,tamko kwa waislam msiende huko,kakobe hiyo ni deci,askofu mpemba loliondo ni uchawi,wengine mbona shekhe yahaya? Nianze na waislam.Waislam mtume na nabii wa mwisho ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Celina Kombani,ameuagiza uongozi wa mbuga ya hifadhi ya Selous wilayani Ulanga, kuacha mara moja kuwapiga na kuwafanyia unyama wananchi wanaoingia katika maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mheshimiwa Jakaya Kikwete, Hongera sana kwa kuteuliwa kuwa kiongozi wa muungano wa Afrika kwa kipindi kijacho. Hongera pia kwa kufanikisha upatikanaji wa amani kwa majirani zetu Kenya. Hongera...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
'Someni magazeti kama vile mnavyosoma barua mnazotumiwa'.Hii ni kauli iliyotolewa na spika wa bunge Anna makinda katika kikao na wawakilishi kutoka vyombo mbali mbali vya habari.Hii kauli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufuatia babu wa loliondo kugundua dawa ya magonjwa sugu na ukimwi.. Makanisa mengi yamebaki njia panda na kutokujua la kufanya huku waumini wengi wakikiristo kukimbilia huko na makanisa kubaki...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Gold theft weakens Dar's case over new US law By KEVIN KELLEY THE EAST AFRICAN Posted Monday, March 14 2011 at 00:00 The recent seizure of an unspecified amount of gold at the port of Dar...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Back
Top Bottom