Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MKUU wa Wilaya ya Ilemela Jijini Mwanza, Serenge Mrenge, amefariki nchini India alikokuwa akitibiwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua. Kifo cha mkuu huyo wa wilaya ya Ilemela kimetokea juzi nchini...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Dear Members, I had just ordered 7 small cars from japan in a ship which was schedule to Start it voyage from Kanda Port in Japan on March 13th. sasa kwa yaliyotokea sijui kama mali imepona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tokea babu wa loliondo atambe magazeti dr slaa amesizi kutokea katika front page za magazeti.. Ndo ujue kama wabongo wanapenda mambo ya kidaku kuliko maendeleo!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Just for a political laugh... CCM yadai tiba inayotolewa Loliondo ni mojawapo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.... I got a text msg, I laughed then I thought....wait a minute.....is it a...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Magulio pia yangeweza kutumika kuondoa tatizo la wamachinga.Kila manispaa/halmashauri,ingeweza kupanga ratiba yake kwa wiki,ambapo itatenga maeneo mbalimbali ndani ya manispaa/halmashauri mabapo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa ufupi hali ya nchi yetu imefikia mahala pabaya sana. Wanaoelewa na kutafakari, hawaiamini tena serikali (isipokuwa pale wanapokuwa na maslahi binafsi katika kufanya hivyo). Serikali haiko...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mh hivi ndo naanza nahaswa pale nnapo pata wasiwasi juu ya wanasiasa wa TANZANIA juu ya siasa zao au ndo kama ule msemo wa usiache mbachao kwa msala upitao???? HOJA ZA MSINGI NIKUONA 1...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu tangu habari za baba wa loliondo zianze serikali imepata nafuu ya kuandamwa juu ya dowans mana magazeti yote na tv na redio ni babu tu vichwa vya habari mitaani, kwenye daladala kote ni babu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wazee wakiwa french wakiwa wame mbonji
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaani inaboa sana jinsi Tanesco wanavyotunyanyasa wa-Tanzania na huu mgao wa umeme. Haiingii akilini hata kidogo kwamba majirani zetu wa Afrika Mashariki na Kusini wako ok kabisa, kwao mgao ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mwema na hana Ubaguzi .amemleta mtumishi wake Babu wa Loliondo .kuwapa tiba hata wenzagu mimi tusiomwamini Isa Bin Mariam kuwa mwokozi na mwanaye wa pekee. pain killer futa na post hii .
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba mwenye contact za huyu mh tumjuze kuhusu hili la barabara kufungwa ili kupisha ujenzi,barabara hii inaenda maeneo nyeti,kama hospital ya soweto,na hupunguza foleni sana,kufungwa haikubaliki.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kuna wizara imeifilisi nchi hii wizara hiyo ni ya Nishati na Madini. Kila kitu katika wizara hiyo kinaonekana kufanyika shagala bagala; chukua huu mgodi wa KIWIRA, baada ya uamuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watu 10 wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar baada ya kupigwa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kambi ya Bavuai Migombani kufuatia mke wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Leo kuna mechi kati ya Simba na AFC ila kutokana na tiketi kuonesha Tsh 3000 kama kiingilio ila wao wanasema ni Tsh 5000 mda huu so watu wamechachamaa ni hali sio shwari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAHARIRI YA TZDAIMAKSerikali isaidie zaidi Loliondo JANA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, alitoa msimamo wa serikali kwamba haina nia ya kumzuia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwenyekiti wa taasisi ya Kiislam ya imam Bukhary , sheikh Khalifa Khamis amesema serikali ina weza kuendelea kuichunguza dawa hiyo huku mchuungaji akiendelea kutoa huduma hiyo kwani imeonyesha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hayo yamesemwa na Mkama kwenye mkutano wa wafanyakazi wa Tanesco wa Pwani na Dare es salaam uliofanyika ubungo kwenye makao makuu ya Tanesco. Alisema zanzibar ndio mdaiwa sugu hadi mei mwaka jana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja wa nchini Romania amekuwa bibi mwenye umri mdogo kuliko wote duniani baada ya mtoto wake wa kike aliyemzaa alipokuwa na umri wa miaka 12 naye amefanikiwa kujifungua mtoto akiwa na...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Jee patokea askofu akasema ameoteshwa kwamba maji ya bwawa la mtera kuwa ni dawa ya magonjwa kama malaria. Kichomi, presha, ukimwi na magonjwa mengine gov itabariki?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom