Jamani kwa hali ilivyo Loliondo, natamani kuona jinsi kampuni ya kwanza itakayo instal mawasiliano kwenye kijiji cha Samunge. Swali, je ni kampuni gani ya simu hapa tz itakayokuwa ya kwanza...
Naomba mawazo yenu hapa. Mtu ambaye amemjua Mungu na kuwa na Yesu maishani mwake bado anahitaji kwenda kutafuta msaada kwa waganga wa kienyeji? Jibu lako liambatane na sababu.
WanaJF
Kweli Tanzania ni shamba la bibi.
Madeni hayo kwa mgodi huo yalibainika wakati Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa NSSF, Yakubu Kidula, alipokuwa akitoa taarifa juu ya...
Inavyoonekana basi hawa jamaa wa usalama barabarani na makofia yao meupe ni wazalendo wa kweli. Huku vijijini wapo barabarani hadi saa 1 jioni au zaidi. Kwa vile sasa wana pikipiki kali, raia...
Katika pita pita yangu kwenye baadhi ya tovuti nilikutana na habari hii ya kusikitisha kwenye tovuti ya Global Publishers.
KIJANA ATUPWA KITUO CHA MAFUTA CHA BAMAGA NA WATU WASIOJULIKANA -...
Yule babu wa loliondo anapigwa sana vita wakat kuna watu wanatangaza waziwaz kua wanatibu ukimwi kumbe ni wezi tu lakn hawaguswi! Mzee wa loliondo anatia matumaini...twenden jamani.
TUNAHESHIMU KAZI YENU LKN MNATUPOTOSHA
Katika uhai wangu nilipokuwa shule sijawahi kusikia vyombo vya habari vikishabikia majambo ya ajabu kama haya.
Nimetembea nchi nyingi sijaona vyombo vya...
Rest in Peace...Too young...
Mwili wa aliyekuwa daktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Alwyn Mziray (38) (pichani) ambaye alihusika kwa kiasi kikubwa kuwatibu majeruhi wa milipuko ya...
Ndugu Zangu,
MFALME Suleiman aliambiwa ndotoni aombe kitu chochote kwa Mola wake, naye akajibu; " Ewe Mola wangu, nipe mimi mtumwa wako moyo wa adili ili niwahukumu watu wako, na kupambanua...
Can someone name some notable African mathematicians? Some description of their work and significance of their work. Try to put it into context of other non-African notable mathematicians.
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini Mh J. Makamba ameripoti kuwa CTI wameonesha nia ya kununua mitambo ya dowans baada ya serikali kupata kigugumizi kununua mitambo hiyo. SOURCe...
amejifungua akamtupa kwenye choo cha hotel morogoro
Kweli sisi Wanawake sometimes ni wanyama
Huyu binti apewe athabu kali pamoja na aliyempa mimba hiyo
Source itv
nakumbuka zamani kulikua na story ya kwamba iddi amini alibebwa na wazungu na wahindi kama walivyokua wao wakibebwa na mababu zetu. watu wengi tulikua hatuamini hizi habari tukizan ni hadithi tu...
Mimi naomba mnisaidie. Uponyaji wa Mungu unaambatana na kuamini injili ya kristo, au kila kitu kinajitegemea? Tiba ya babu unaambatana na kuhubiri neno? Au mtu akinywa dawa anaruhusiwa kuendelea...
Mtangazaji wa ATN kelvini moto amewazulia jambo katibu mkuu wa chadema dr. Slaa na mwenyekiti wake freeman mbowe kwa kudai kwamba wameenda libya kuhudhuria mkutano wa vyama vya demokrasia. Moto...
Huu utaratib ulioanziswa hap Mlimani City katik Bank ya CRDB Kuw mtu kuwa anapofika anachukua karatasi iliy na Number pal katik ile ATM yao.Ok ni utaratib mzur ulioanzishwa ili kupunguz kuvukwa na...
I dnt blv we africans we're so ignorant like ths, i was watchng a Debate on BBC about "Homosexuality on Africa", which was conducted in South Africa.
There was christian and muslim leaders who...
12th March 2011
James Mbatia
The High Court in Dar es Salaam on Thursday adjourned the case involving NCCR-Mageuzi national James Mbatia, who is challenging Kawe constituency...
Wanandugu nimekuja hapa, nikiwa nina masikitiko makubwa kabisa , nchi yetu na wananchi wake(sisi) ..mpaka sasa hivi najiuliza kwa nini tunaikumbatia ccm? kina mods naomba msije mkaifuta thread...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.