It has been a couple of years when my o-level teacher told me this statement.."NO HURRY IN AFRICA",sikutambua wala sikuelewa mana yake nadhani labda nilikuwa sijapanuka ktk upeo wa kudadavua na...
Hello wana JF
Ningependa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo
Nashukuru wana JF kwa michango yenu na habari mnazotuletea sisi kwetu ikiwa ni changamoto kwetu kujua mambo yanavyokwenda nchini...
Korti yawaachia huru Mwakalebela, mkewe
Mahakama ya Mkoa wa Iringa imemwachia huru aliyekuwa mshindi wa kwanza katika kura za maoni nafasi ya ubunge wa Iringa Mjini (CCM),Frederick...
MTU anayetarajiwa kuepusha madhila kwa mwingine kutokana na taaluma yake kumbe anaweza akafanya kinyume chake na kuwa chanzo cha madhila hayo.
Taswira hiyo ndiyo imejitokeza mkoani Mbeya ambapo...
Ujumbe wa Mh. Kigwangala kwa Wananchi
Ndugu wana jamii
Katika pita pita zangu kushangaa ulimwengu, nimekutana na ujumbe mahsusi katika wall ya Dr Hamis Kigwangala (mb) Nzega. (kwenye...
Habari zenu JF members!
Leo EATV KWENYE KIPINDI CHA FNL utamuuliza maswali ya hapo hapo Mtabiri wa nyota.
Hilo halihitaji majungu na mashaka uliza ujue pia upate uhakika wa kazi zake.
Pia...
MTOTO Jerry Martin [5] amelazwa katika hospitali ya MountMeru kutokana na majeraha aliyoyapata kutokana na adhabu na mateso aliyoyapata kutoka kwa baba yake mzazi.
Jerry amekuwa akiteseka kwa...
Benki kuu ya Tanzania imekanusha uvumi unaosambazwa na watu wenye nia mbaya kwamba ina zoezi la kukusanya noti mpya kili kuziondoa katika mzunguko kwa madai kuwa ubora wake ni hafifu.
Akiongea...
Habari wakuu
Kama saa mbili zilopita yaani saa tano usiku, dereva wa bajaji kanipigia simu akaniambia kuwa amepata ajali
amegongana na tax, bajaj imeumia sana na yeye kachunika tu kidogo, na hiyo...
hivi hiyo tume ya nishati ya bunge, imetoa mapendekezo kwa serikali, je mapendekezo hayo kweli yatalinda maslahi ya watz waliowengi au ndo imetumika kama vile formality kuwalinda wale wanaokula...
Naona mkurugenzi wa BOT hapa anasema noti bandia sio jambo geni. Suala ni kuwa zimeingizwa juzi juzi tu hapa na kumekuwa na forgeries nyingi sana. Ni jinsi gani tatizo hili litatatuliwa? Hii ndio...
Heshima wakuu
Naombeni munisaidie, hivi mfanyakazi akisha achishwa/kufukuzwa kazi na baada ya miezi sita kulipwa na NSSF michango yake ambayo aliwekeza NSSF, je hasitahili kulipwa gawio la faida...
Wakati najiuliza hivi kwa nini manesis na ma dk wa muhimbili mwananyamala amana wanaangali a mtu akifa kisa hana 2500 jana nimejua kumbe hizi roho zinatoka kwa mabosi wao na hivyo dawa ni kuondoa...
know that: you cant control the length of your life, but you can control its width and depth. you cant control the contour of your countenance, but you can control...
Habari za Asubuhi wanaJF.Nimekaa sana bila kuwakumbusha vitabu vya enzi hizo zilizokuw zimeandikwa kwa Mfano Mwanangu Pepe huna masikio,Awafu mwenye nguvu,Siku ya Gulio katelelo,Chopeko na...
Tanzanian woman `enslaved` in UK
By Special Reporter
9th March 2011
Email
Print
Comments
Retired doctor paid her �10 a month, fed her just two...
Wakuu angalieni TBC kuna onyesho la bure mnazi mmoja la wale wasanii walamba miguu chini ya mwavuli wao[PRIME TIME]..ajabu ni kuwa tamasha hili tofauti la lile la malaria no more halikutangazwa...
Toka mzee anayesadikiwa kuwa anatoa dawa yenye uwezo wa kutibu magonjwa yaliyoshindikana mengi yamekuwa yakisemwa. Pamoja na mzee huyo kujaribu kueleza chanzo cha upatikanaji wa dawa hiyo bado...
WAFANYABIASHARA katika jengo la Machinga Complex, Dar es Salaaa, wamefichua mpango wa baadhi ya wanasiasa kuwashawishi ili washiriki maandamano. Mbali ya hilo, wamewaomba Watanzania wakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.