Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna tetesi kuwa Mkuu wa wilaya mmoja mkoani Mwanza alikuwa akitibiwa huko India amefariki dunia dunia , mwenye uhakika tunaomba atumwagie hapa.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati Wabongo bado mnabishana na siasa za CCM na CHADEMA, na wengine wakipanga mikakati ya namna gani watachukua nchi 2015 ili wafanye ufisadi, wenzenu wanajenga nchi yao. Na hii ndio Dubai ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
jumatano na alhamisi asubuhi baada ya uefa champions league nilikuwa nasikiliza redio fulani. ilipofika kwenye kipengele cha habari za michezo wakizungumzia michuano hiyo wale watangazaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wandugu Baada ya kusikia kuwa serikali imemzuia Mchungajio msaafu Ambilikil Mwasapila nimebakiwa na maswali mengi sana kwa serikali. Sababu waliotoa ni kwamba hana kibali hilo ndilo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wagonjwa wagoma kuondoka Loliondo *Wadai viongozi wanazuia baada ya wao kuponywa *KKKT yapeleka mafundi kuweka sawa miundombinu *Ndesamburo apeleka helikopta kusaidia walio mahututi Na Said...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilitembelea familia fulani, lakini katika maongezi tukaishia kuongelea suala la Neti za mbu zenye dawa maalum(viwatilifu) inayodumu kwa miaka 3 hadi 5, maarufu kama neti za George Bush. Huyo...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wagonjwa wagoma kuondoka Loliondo *Wadai viongozi wanazuia baada ya wao kuponywa *KKKT yapeleka mafundi kuweka sawa miundombinu *Ndesamburo apeleka helikopta kusaidia walio mahututi Na Said...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
serikali ya china yataka kuwekeza katika umeme kilimo miundo mbinu na usafiri wa anga nchini. Wamesema wamekuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina rasilimali nyingi ukilinganisha na nchi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukianzia kwenye DECI... UTAPATA PICHA kisha uchaguzi.... UTAPATA PICHA. Itazame DOWANS.... UTAPATA PICHA...Ukifikiria ya Shehe Yahya Hussein UTAPATA PICHA! Kisha tazama vema maandamano ya Vyama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Hee eeee macho yanakutoka likizo ushachukua unafikiria itakuwaje usjali soma """" """"'cha muhimu kukueleza uwahi mapema usijefika babu ameamua kurudi mbeya kazi kwako sio dalali wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana baada ya kutoka kwenye kuwajibika as usual nikafika zangu home kama kawaida umeme ukawa umekatika. Baada ya umeme kurudi basi nikakumbuka nilinunua gazeti la Mwananchi. Katika kupitia kurasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa Dar msisahau kuwa nauli za daladala zimepanda kuanzia leo ile safari ya 250/- sasa ni 300/- na safari ndefu zaidi pia zimepanda.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
ASILIMIA nne hadi sita ya Watanzania ndio wanaodaiwa kujua kunawa mikono kabla na baada ya kula huku kundi kubwa likionekana kutokujali kabisa afya zao, ilielezwa.Kauli hiyo ilitolewa juzi na...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwa kile kinachooneka kuwa mwendelezo wa serikali kutowajali wananchi wake na kuwathamini wawekezaji, leo ni siku ya tatu wafanyakazi wa kampuni ya MeTL upande wa kitengo cha kuzalisha Maji na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
FFU kwa Babu, Wamesahau waliyoyafanya.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
.."Hivi haya ma-migodi yanatusaidia nini katika hili? Maana hizi ndiyo raslimali zetu na kila siku zinachimbwa zinaisha na sisi hatuoni faida yoyote ile katika maisha yetu...tusihoji? Itafika siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana Jf, kuna hadithi za zamani ambazo hadi leo bado unaweza kumsimulia mtoto na akafurahi, hadithi kama za Abunuwasi, Panga la Shaba, Kaka Mbweha na Sungura, Bulicheka na nyingine nyingi...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Hii kitu haifanyi kazi leo nzima,wakuu shughuli zinakwama mtaani.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
World set to witness biggest full moon in two decades next week 2 hours ago by ?*Kev Hedges Listen to this article (by ReadSpeaker) Next weekend promises full moon gazers the biggest visible...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Print 02/05/2011 African Intel. The son of the Crown Prince of Abu Dhabi, Sheikh Khalifa bin Zayed Al-Nahyan, is to buy a plot of land on the Zanzibar coast for $1.4 million. This coveted...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom