Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna tetesi kwamba JF inampango wa kuingia mkataba mnono na Bw. Julian Assange. Kwa mujibu wa tetesi hizi wadau wote kama revolution, Ivuga, MM, Maxeme Mello, Invisible, Maria Roza, Paka Jimmy...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakaati watanzania mkishangaa kuona kampuni ya atcl ikiwa icu ndani ya oxygen msishangae kuwambiwa kampuni kubwa kama hii tangu 31April 2010 imekaa bila kuwa na bodi maalum..wakati hili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, hali ni mbaya loliondo. Kwanini wagonjwa waliopo kwenye coma wanapelekwa huko? Sipendi mtu afe ila tuangalie ukweli zaidi Source: GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Waliokufa Loliondo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilikuwa nawaza hivi itakuwaje babu(loliondo) akisema ameoteshwa tena kwamba watu wote waliokula dawa watakufa mwisho wa mwaka huu? Ingekuwa patashika...mpaka mjengo mweupe au?.......
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu.. mimi ni msikilizaji mzuris ana wa kipindi cha PJ cha kuperuzi na kudadisi cha clouds kila siku asubuhi NIme-note kwamba hawa jamaa ni lazma waanze na managazeti ya rostam aziz.... lazima...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
http://img862.imageshack.us/i/dsc0680t.jpg/ http://img862.imageshack.us/i/phd001.jpg/
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:blah::decision:HONGERA SANA BABU KWA KUWEZA KUGUNDUA TIBA YA HOMA ZETU LAKINI SWALI LINAKUJA KWAMBA UMASIKINI NCHINI UPO TENA SANA JE HAKUNA TIBA AU MTABIBU WA KUGUNDUA TIBA MAANA HOMA HII IPO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mahakama kuu kanda ya Dodoma ,jana ilitupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili Mbunge wa singida mashariki Tundu Lissu (CHADEMA) na kusema kuwa kesi hiyo iliyofunguliwa kimakosa hivyo haiwezi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani, sauti km za milipuko zilizokuwa zikisikika hivi punde ni za nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sehemu nyingi za jiji la dar es salam wape migambo walio wekwa na manispaa husika ili kuwaondo wafanya biashara wanaofanya biashara sehem zisizo rasmi cha kushangaza pindi migambo hao wanapopita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawakumbusha wakristu wote kwamba leo ni juma tano ya majivu siku ambayo wakristu wanaanza rasmi mfungo kuelekea kuteswa, kufa na baadaye kufufuka mwokozi wao yesu kristu. Tusisahau kwenda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyejeruhiwa na simba adai aliponzwa na fulana nyekundu NA MOSHI LUSONZO 8th March 2011 B-pepe Chapa Maoni Hatimaye mtu aliyejeruhiwa kwa kushambuliwa na simba katika eneo la Mbagala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijui ni wapi naweza kupata kitabu hiki. Nlikuwa nacho siku za nyuma, but niliibiwa. Hata kama ni link ya internet ntafurahi nikipata.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wandugu Wasalaam, Nisaidieni wale wanye uzoefu wa hii punguzo la Kodi kwa Walimu anapoagiza gari kutoka nje. Mfano: Kuagiza gari from Japan ni USD 2400 na shipping 1500 nataka kujua hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana Jf naleta hii kutoka Arusha, kuna Askari wa barabarani (trafic) mitaa ya mianzini anasimamisha kila hiece (daladala) na na kijana mmoja anamchukulia 1000 kwa kila gari, akisha simamisha wala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAKAZI wa maeneo ya Mbagala Kizuiani, Rangitatu na maeneo mengine ya karibu jana waliingia katika wasiwasi mwingine wa kuhofia kuondoa uhai wao baada ya Simba kuvamia maeneo hayo. Wasiwasi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi, jamani kama jina langu lilivyo jobless ni muhitimu wa chuo, nmemaliza shahada ya kwanza chuo kikuu kishiriki cha ushirika na studi za biashara (muccobs) ba-procurement and supply mgt. Nna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba kunisaidia kupata ramani ya nyumba nzuri ya kisasa..kama naweza kupata soft copy itakuwa bora zaidi..
0 Reactions
6 Replies
3K Views
habari za kuaminika toka Dodoma zasema kuwa mgomo wa wananchuo wa CBE dodoma umeingian siku ya tatu hii leo. wanachuo hao wamegoma kushinikiza mitihani iwe inatungiwa CBE dodoma na sio CBE dar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka mwanaume mmoja anayedaiwa kuua wanawake. Mwanaume huyo ambaye anasakwa na polisi, anadaiwa kuwa ndiye aliyewaua wanawake watatu kwenye nyumba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom