Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
What do you know about water? Water is our planet’s most valuable resource. It is rare in some parts of the world, which makes it particularly valuable The total volume of water on Earth is...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Kuanzia saa Nane Usiku wa kumkia leo 8/03/2011 umeme umekatika sehemu kubwa sana ja jiji la Dar es Salaam. Hadi muda huu (saa Moja asubuhi) bado umeme haujarudishwa na TANESCO hawajatoa maelezo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Waheshimiwa wanaJF nataraji mnaendelea na majukumu yenu ya kiutendaji vizuri kabisa. Nahitaji michango yenu katika jambo hili: KAMA CHEO CHA UWAZIRI MKUU KINGEKUWA KINAPIGIWA KURA: 1. NANI KATI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu kuna hili linaniumiza akili yangu na nimeshindwa kuendelea nalo. Siku moja nilikwenda ferry ya Magogoni. Nilichoona pale ikaniachia maswali mengi. Unakuta mwanajeshi na kwanza mwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilipozaliwa miaka 47 zama ziiilee ,nilikuwa najivunia kuwa mmoja wa wazaliwa ktk ji-nchi hili ,miaka ya 1985 wakapeana vijiti lol matumaini yakawepo na nikawa sina hofu kutamka mbele ya mataifa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kipindi cha kampeni kimekwisha na wote natumaini tulikuwa ktk kuwasiliza na kuzichambua hoja ,ahadi,sera za wote wenye kugombea nafasi mbalimbali,.Usishangae hata wewe pia ulishiriki either...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
katika pitapita zangu na kwa udaku wangu katika vyombo mabalimbali na kukusanya mawazo mbalimbali kutoka katika vyanzo vya ndani na nje yetu na kuweka rank, nchi yetu imepaa juu zaidi ya nchi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni kazi ngumu kwelikweli kujikomboa huku ukitegemea misaada.Jambo hili limedumaza sana maendeleo ya nchi zetu changa na hivyohivyo wanawake. Hii kauli mbiu ya wanawake isemayo WANAWAKE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi kwan nini redio na/au tv stations zinakuwa na vipindi vinavyofana wakati fulani? mfano jumapili jioni redio nyingi utakuta vipindi vya nyimbo za zamani(wenyewe wanaita flash back).jee hii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Juju Nation tunasongo mbele! Miracle healing: 2nd patient dies As more people flock to Loliondo for the miracle cure, one person collapsed and died yesterday while awaiting to reach the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akina mama waumini wa kanisa Katoliki wilayani Songea waamepinga vitendo vya wanasiasa walafi wa madaraka wanaotaka kuiingiza nchi ktk machafuko. Wameahidi kufunga ili pepo mchafu aweze kupita...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Kwanza tazama hapa Channel ten TBC ITV Star TV Hivi ni kwa nini hazina habari,tatizo ni nani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndg wana jamvi.. Salam nyng kutoka Shinyanga.. Leo nilikuwa mmoja wa maelfu ya waandamanaji waliojitokeza mjini Kahama. Watu walikuwa ni wengi haijawahi tokea.. Hali ya usalama ilikuwa tulivu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani naomba kujua ni blog ipi inatumika kukusanya maoni katika mchakato wa katiba mpya. naomba wataalamu wa IT watusaidie tutoe maoni yetu jamani tujenge nchi yetu ya karne hii.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumapili, katika pitia magazeti... kuna mtu aliandika habari hii ya kufikirika kidogo kuhusiana na mimba za hawa akina dada/wanawake/wasichana hususani walio wengi... Kiufupi ni kwamba, zamani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
A strong woman knows how 2 keep her life in order. Even wth tears in her eyes, she still manages 2 say 'I'm Ok' wth a smile. Send this 2 a strong woman. Happy Woman Day to woman wote wa Jf.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
4 March 2011 Last updated at 06:04 ET Tanzanian girls risking rape for an education By Lizz Pearson BBC News, Arusha, Tanzania Usta remembers the night that drunken men broke into the mud...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada kwenye tuta:damu itamwagika! wasema wana CCM Swali, Hivi Viongozi wa chadema kusema Kutokana na hali mbaya inayowakabili wa Tz, hizo pesa zisilipwe inahusiana vipi na damu kumwagika? Hivi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzanian woman 'kept as slave' Mwanahamisi Mruke, 47, who was flown over from Tanzania in October 2006, was summoned by a bell to carry out chores for Saeeda Khan, 68, around her...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Back
Top Bottom