Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kama pongezi zangu zitawaudhi watu falni basi ni juu yao but Napenda sana kutoa pongezi zangu binafsi kwa jinsi Radio hii ilivyo na vipindi makini na kuhoji watu makini na kupata habari makini...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
wakuu wasalaam, nimekuwa online leo kwa muda mrefu na nikawa napishana majukwaaa na Rev Masaniro mara jukwaa la mwisho namkuta yuko Banned, na kuna sehemu niliona hali ya hewa inaanza kuchafuka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mnaokumbuka yale maajabu ya shekh sharif yule mtoto miaka ya tisini mtaweza kutoa mlinganisho yakinifu na huyu pastor aliyejitokeza huko loliondo. Isije ikawa huyu ni yule yule mtoto sasa...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari wana Jf, mi ni moja wa watazamaji wa Star Tv hasa tamthilia zao, hawa jamaa ni wa ajabu sana, tamthilia ikifikia kwisha huwa wanaikatiza katiza yaani kwa wiki wanaweza kuonyesha mara moja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri aitisha Chadema Send to a friend Thursday, 03 March 2011 20:54 0diggsdigg Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira Na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ufisadi wa anayejiita mtoto wa mkulima - Mizengwe Pinda umeonekana wazi kwa wananchi baada ya katibu mkuu wa miundo mbinu kutoa vitisho kwa wakazi wa Gerezani Kariakoo na kusema wazi kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vigogo wamiminika kupata dawa Lolindo wakati watu wakifulika kwa mchungaji Mwasapile(76) mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) na Inadaiwa kuwa anatibu magonjwa sugu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka alipoteuliwa kuwa pm, binti yake akaomba ibada ya kumuombea babaye wanafunzi wengi 2lishiriki kumuombea kwa MUNGU, Apoanza nilimwona mwenye kutia ma2main ya kuleta mabadiliko ndan ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NDUGU WAPENDWA MLIOSHIRIKI KATIKA SHINDANO HILI LA SIDO WAKISHIRIKIANA NA HAWA NDUGU ZETU WA TPSF KWANZA NAPENDA KUWAPONGEZA KWA KUONYESHA UJASIRIAMALI WENU KWA KUJITAHDI KUTUMA APPLICATION KADRI...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wana JF jana nikiwa ktk mkutano wa dini wa kiislamu uku shehe akitoa mafundisho ya dini ila kilichonipelekea mpaka kuleta hoja hii ni mashehe wanampinga vikali yule babu wa Loliondo uku...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
The world is full of evils,killing,sufferings so le me be against the world.....leaders are not responsible,humiliators,subjugators mmmh...its better for me to be against the world....the country...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau sijawai kuona mkoa unao sumbua kwa umeme kama mkoa kilimanjaro hasa wilaya ya HAI MASHARIKI.kwa wiki tunapata umeme mara mbili tu mchana,siku zinazo fuata ni usiku na kukatika asubui.sasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Articles Degrees for the Next Decade Degrees for the Next Decade Best Degrees for the Next Decade Degrees for the Next Decade Find out which four degrees hold the most potential in the next...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania nakupenda kwa moyo wote,nchi yangu tz,jina lako ni tamu saaaana....ni wimbo ambao nilikuwa nauimba miaka hiyo nikiwa sekondari lakini sikutambua kama nauimba kinafiki ,nina andika haya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeuliza huku na kule kuhusu biashara inayolipa zaidi na majibu niliyopata ni mengi mpaka nachanganyikiwa. Kuuza silaha katika soko jeusi, Uganga wa kienyeji wakati wa uchaguzi, Danguro la...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
jamani wanajamii naombeni mnishauri kuhusu dish bora ya kununua.jana nilienda mjini na kukuta kuna aina nyingi za madish,bei tofauti na hata size nazo ni tofauti so ckujua nifanyeje.kwa hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KUNA KAZI NIMEZIONA LAKINI MIMEONA KUWAJULISHA WADAU HII YA MARKETING LAKINI KUNA NYINGINE KATIKA SECTOR NYINGINE NENDA KWENYE LINK www.lifeofmshaba.com: NAFASI YA KAZI TANZANIA-DAR
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Aggrey mwanri ameagiza uchunguzi ufanyike kubaini ufisadi ktk ukarabati ya ofisi ya mkurugenzi halmashauri bunda.eti sh 111Milions zimetumika wakati kuna shule watoto wanasoma jengo moja madarasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapenda nipo kwenye msafara wa PM katika mkoa wa Kagera.Amehutubia wananci hapa chato na kuagiza kusitishwa kwanza zoezi la bomoa bomoa kando ya barabara na lile zoezi la mabango kupigwa alama ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom