Jamani leo nimepitiwa na jirani yangu akaniomba nimsindikize police nilipomwoji kuna nini akaniambia binti yake amemshitaki na jana ucku police walikuja na defender kumpa taarifa anaitajika na...
Wanajamii naomba kwa mwenye kufahamu jinsi ya kununua ingependa kununua vitu kutoka Amazon hasa vitabu na movie. Hata hivyo nina account ya kawaida katika benki za CRDB (tembo kadi) na NBC...
wakuu nimepatwa na tatizo nilimpeleka mdogo wangu shule hizi zinazoanziwa na majina ya st.(mtakatifu) mwezi wa pili mwanzoni kabisa kwavile alichelewa wakanishauri nilipe special tuition 100000...
Jaman kwa mujibu wa maombi ya nabiii mmoja aliyekuwa naiombea chi ya Tanzania amepata jibu kuwa: MACHAFUKO HAYATAKUWEPO TU ENDAPO KILA MTU ATAJITAMBUA NA KUFANYA TOBA YA KWELI.
Ndugu zangu naomba...
soko kuu la mjini mtwara hivi sasa linawaka moto na inaelezwa moto ni mkubwa sana, chanzo inaelezwa ni pasi ya mkaa... source radio one stereo.
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
Dhambi ya uchakachuaji matokeo, kwamtesa sana Jakaya kikwete.
Kitu kidogo tu, presha inampanda, presha inamshuka.
Maandamano ya Chadema, dhahiri shari, akushinda uchuguzi.
Chanzo cha habari...
Wakuu,
Nina shida na viwanja vya serikali vilivyopimwa, ila sijajua utaratibu wa kuvipata na procedures za kufuata mpaka ukimiliki kabisa. Huwa napata shida hapa.
Au kama una shamba lako...
jamani nawaageni kwa muda wa miezi minne. Nitawamiss sana. Kuna kazi ya kuumiza kichwa natakiwa kuikamilisha ili nisijeliwa kichwa.
Mungu akijalia tutaonana majaliwa.
Priests in Sweden join the ranks of paedophiles
The Catholic Church of Sweden confirms three priests are believed to have sexually abused children over the span of 30 years.
It is...
Ktk kuhangaika na maisha, nilijenga banda la kupangisha ili liniongezee kipato. Baada ya kumaliza tu akaja Baba mmoja mwenye heshima zake kuomba nimpe lile banda na atalipia mwaka mzima. Nikasema...
Salaam wanaJF!
Hizi ATMs leo zimegoma. Yaani nimetoka Dodoma asubuhi,ATMs pale Nyerere Square zilikua mfu. Nikaenda TIOT nako mbofu. Hapo nasafiri mfukoni sina hata chapaa. Nikajipa matumaini...
Salaam wanaJF!
Kwakweli huu mchezo kwa TZ unafanywa visivyo na mwishowe umekua ni kituo cha vijana kukaa siku nzima bila kujishughulisha!
Kwa wale waliobahatika kutembea hapa TZ...
Mwalimu mmoja wa CBE alijikuta akinyanganywa gari lake na denti baada ya denti kumuomba tcha huyo amtnlee sap kwani alikuwa mwaka wa mwisho kimasomo. Ticha alikubali lakini kwa shariti kuwa sup...
KATIKA hali isiyo ya kawaida wanawake wawili ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wamejikuta wakizichapa hadharani kugombania wateja eneo la Kariakoo jijini.
Wanawake hao ambao...
Madai ya Wasira, Cheyo na Mrema ya kwamba katika maandamo ambayo chama cha CDM kimekuwa kikiendesha katika ukanda wa ziwa, chama hicho kimekuwa kikihimiza wananchi kujipanga ili kuing'oa serikali...
When you see the pictures below
, you will understand
why they want our cell phones through the x-ray machine.
If you get asked to test your cell phone at the airport, this is the reason...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.