Boss says to secretary: For a week we will go abroad, so
make arrangements.
Secretary makes a call to Husband: For a week my boss and I
will be going abroad, you look after...
Nimepata msg sasa hivi, hapo bongo jua linawaka vilivyo, ila kunasikika ngurumo kama za radi au! Isije ikawa kuna sehemu kumeshaitika! Endapo kuna mtu aliye karibu au anayesikia hizo sauti za radi...
TUMEZOEA kuambiwa na viongozi kwamba; hali ya uchumi ni mbaya, wananchi fungeni mikanda. Sasa ni zamu ya watawala nao kufunga mikanda ili nchi ihimili mtikisiko wa uchumi unaoelezwa kusababishwa...
Nimesikia katika kipindi cha harakati cha TBC Taifa, wakimhoji kamanda wa polisi wa shinyanga akidai kuwa Dr. Slaa ndiye alisambaza habari za kifo cha Brigedia huyo mstaafu.
Na akasaema walikuwa...
i have just received a message from the number in question with the message of warning to all muslims,..goes like this and i quote..
DO NOT DRINK NEW FANTA APPLE!IT CONTAINS...
MFUNGWA anayetumikia kifungo cha miaka 11 jela, Amin Konshuma (28) jana alihukumiwa kifungo kingine cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuwaibia mali wanawake.
Kifungo hicho cha...
Habari za uhakika toka kwa ndugu wa mchugaji John Jackson aliyejeruhiwa ktk vurugu za kidini huko Mto wa Mbu,amefariki leo asubuhi ktk hospitali ya KCMC mjini Moshi.
Alipelekwa KCMC wiki...
Wapendwa habari zenu ,nimefurahishwa sana na kauli ya mh.mbowe akimjibu nyani.wasira ,yani nimegundua viongozi wa cdm ni ma-great thinker,philosopherz,brilliant yani i dont know niwape sifa...
Idadi ya watu wazima wasio jua kusoma na kuandika hapa nchini. inaongezeka kwa wastani wa asilimia mbili kila mwaka, hali inayoiweka Tanzania katika wakati mgumu wa kutimiza malengo ya mkataba wa...
Hakika natamani kusikia hiyo tume ya gondo la mboto inasemaje
imenisikitisha sana kusikia wakazi wa gongo la mboto si wanalia ndugu kupoea tu bali ni kwa nini familia za wanajeshi zilikimbizwa...
habari ya kusikitisha. Yule dada aliejieungua mapacha siku mabomu yalipolipuka G/mboto amefariki katika hospitali ya Muhimbili. Awali alikuwa hosp ya Kisarawe. Ni masikitiko. RIP dada. Ndg, jamaa...
Ilikuwa majira ya saa saba mchana pale maeneo ya PPF Towers jijini Dar es Salaam leo tarehe 2 march 2011, nikiwa katika harakati za kusababisha mikono yangu na ya wale wanaonitegemea iende...
Naomba nitoe pongei zangu za dhati kwenu moderators kwa kuweka huu muonekano wa font zinazoenea kwenye computer, awali muliweka font kubwa zilizokuwa zinasumbua, tukitaka kusoma ujumbe hadi una-...
Binti mmoja leo jioni amekutwa amefariki ndani ya moja ya vyumba vya gesti moja iitwayo Mkomboni maeneo ya kinondoni mkwajuni, tukio hilo lilitokea baada ya wahudumu wa gesti hiyo kuona mwanaume...
Nimepokea taarifa kwa vyombo vya Habari kutoka kwa RC wa Mkoa wa Kagera kuwa Mtoto wa mkulima,Waziri mkuu wa TZ kuwa atafanya ziara ya kikazi mkoani humo kuanzia kesho march 4 hadi march 12...
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi nchini Ujerumani Bw. zu Guttenberg amewajibika kwa kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kubainika sehemu kubwa ya degree yake ya filosofia (uzamivu) alinakili kwa wengine...
Kila kukicha majengo marefu yanashindana kuibuka katika jiji la DSM! Yanaweza yakawa ni maendeleo ; lakini ama kwa makusudi kabisa (na ndivyo ninavyoamini) au kwa kutojua maendeleo haya yanaua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.