Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
wenzetu watani wetu wapo makini sana na suala la rushwa angalia video hiyo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
National Microfinance bank (NMB) ni benki ambayo kwa muda mwingi imekuwa ikitambulika kama benki ya makabwera. na juhudi nyingi zimekuwa zikichukuliwa na serikali yetu(ingawa haimilikikiwi 100% na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hamuwezi kuamini kuwa prezidaa ataunda tume ya kuchunguza bei ya sukari kupand baada ya kuona "bango" hili kutoka mwanza!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesikia tetesi kuwa, jamaa mmoja aliyekuwa mchungaji baadae kuacha/kustaafu huko Loriondo amegundua dawa ambayo ni single dose (kikombe kimoja tu) ya kutibu magonjwa yanayosumbua wataalamu wa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Soko la Mahakama ya ndizi lililopo Manzese jijini Dar es Salaam hivi sasa linavunjwa. Risasi na mabomu zinarindima, vile vile kuna Gongo la Mboto (Mabomu) yanatumika kwa sasa, na barabara ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapa ni mti wa papai, leo nimekumbuka faida mbili za majani ya mipapai moja ni dawa ya tumbo hasa kama una tatizo la choo kubwa . Unachukua hayo majanai na unachemsha na halafu unakunywa yale maji...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Rockets center Thabeet brings bag of future questions http://bit.ly/hdp0EH
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Heshima kwenu wana jamii forum.ndugu zangu nadhani umeme ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku kutokana na kukatika katika kwa umeme kumezua migogolo mingi sana mfano mimi ninafanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nimeamka salama na nipo ktk daladala naenda kusaka tonge ,gari limeshona watu ,nyuso zimesinyaa,kope zimelegea ,watoto wa shule ya msingi ila wote wamejaa mvi kweli maisha yanatisha watu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Waungwana ijumaa wiki hii tutaangalia "Pamba: Ruzuku ya pembejeo imeongezeka, Uzalishaji Unashuka." Mantiki hapa ni kwamba wakati serikali ilikuwa haitoi ruzuku uzalishaji ulipanda na kufikia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kweli labda niulize aliemodify hii jezi ni nani kabla sijaelekea husika jamani mlioona hizi jezi mpya n masikitko matupu kwanza naanaza kwa vitambaa mlivyochagua yaani ni bomu ovyo kabisa pili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF naleta wazo tutengeneze list ya Great Tanzanian ambao wamepata kutokea ambao bado wanaisha au walishatangulia mbele za haki. List hii ningependa iwe ya great thinker ambayo haitakuwa...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
''......hata kwa maeneo yaliyo mbali na viwanda vya sukari bei haiwezi kuzidi shilingi 1,700/= kwa kilo. Atakayeuza kwa bei kubwa zaidi ya hiyo anadhulumu,TAARIFA ZITOLEWE ILI HATUA KINIDHAMU NA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nakiri hadharani kwamba sijaelewa sehemu kubwa ya hotuoba ya rais ya mwisho wa mezi huu. katika haya yalionigusa na kufanya niandike hapa ni yafuatayo:- Rais amedai kua kuna watoto ambao bado...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kawaida kwa Rais kuhutubia wananchi wake kila mwisho wa mwezi, tar 28 Rais alikua na agenda tano, mojawapo ilikua kupanda kwa bei ya sukari. Kutokana na spidi kubwa ya kupanda kwa bei ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini January Makamba leo ameshindwa kutoa mapendekezo ya kamati yake kuhusu ufumbuzi wa mgao wa umeme nchini, kama alivyoshindwa rais JK katika hotuba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kampuni ya simu za mikononi ya tigo imezidi kuporomoka kibiashara katika maeneo ya kanda ya ziwa hasa mkoani mwanza kutokana na kutokuwepo hewani kwa muda mrefu. Ni takribani wiki moja na zaid...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kampuni ya simu za mikononi ya tigo imezidi kuporomoka kibiashara katika maeneo ya kanda ya ziwa hasa mkoani mwanza kutokana na kutokuwepo hewani kwa muda mrefu. Ni takribani wiki moja na zaid...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siku kadha sasa zimepita katika maeneo mengi gazeti hili halipatikani, nashangaa sana gazeti hili kutokuwepo kwenye meza nyingi za kuwekea magazeti ambayo watu hupita pale na kuperuz then...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu nyenendo za Ngoyai Lowasa ambae kufuatia sakata la Richmond Development Co.LLC alilazimika kupima na kubwaga manyanga UWAZIRI MKUU. Nimebaini kuwa ukiacha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom