Madenti wachangishana 2,000 kukodi walimu!
Wakati tukiwa tunaaambiwa serikali ya JK inafanya kila jitihada ilimradi kuongeza idadi ya walimu mashuleni, hali ni tete ktk shule ya sekondari ya...
Happy Valentine Day to all.
Sio siri aina ya vyakula tulavyo na style ya maishi tuishio yanatuathiri sana kiafya na hasa utendaji wetu bed room, wenza wetu wamekuwa wakitaabika sana na hili ila...
Nipeni mawazo wa JF wenzangu, baada ya kuona kamshara kangu hakatoshi nilifanya mpango nikazama bank na kukopa nikafungua kamradi kangu ka kuuza vinyaji ka pub, mwanzo mauzo kwa siku wastani...
Naomba kuuliza iwapo wafanyakazi wa serikali kuna waliokwisha pata mishahara kwakuwa mimi na watumishi wenzangu katika wilaya yetu bado hatujapata!
Naomba kujurishwa!
Ever wondered why Africa, Africans are poor?
TAPIWA GOMO:
Several theories are used in an attempt to answer this complex
question. It is a question so difficult to answer in one piece as it...
kufuatia mgomo wa wanafunzi chuo cha IFM, chuo kimechua uamuzi wa
kusogeza mbele kufanyika mtihani wa semister ya kwanza, hadi wiki ijayo TAREHE 7/03/2011.
Moto uliolitekeza ghorofa moja nchini Marekani na kupelekea kifo cha mtu mmoja na watu wengine 100 kukosa makazi ulisababishwa na mwanamke aliyekuwa kwenye tamasha la ngono na mganga.
Mwanamke...
MTOTO Simon Kombo [10] mkazi wa Mwananyamala Kisiwani amewagomea walezi wake kwenda kupata matibabu katika hospital ya Mwananyamala kwa kile alichodai kuogopa majini yaliyopo katika hospitali...
MWANAMKE Salome Khalifan [32] mkazi wa Mburahati, nusura apoteze maisha kwa kunywa sumu kwa kile alichodai ni kudhalilishwa na mumewe.
Chanzo cha karibu cha habari hii kimedai kuwa, juzi jioni...
Hivi hizi ni Hospitaly,Clinic au Dispensary coz mtu unaenda na mgonjwa saa mbili wamefunga hawatoi humuma maana yake nn?au pengine ni Duka la Dawa watuambie tujue moja inauma sana wadau hebu...
Nimekuwa nikifuatilia threads za michango mbalimbali ya wanazuoni hapa jamvini. Nimeshuhudia watu wengi kwamba wanaitakia meme nchi yetu. Watu wanajazba kali dhidi ya ufisadi, rushwa na ubadhilifu...
FEDEX COURIER SERVICE
Official Head Quarters, Address: 44 Corydon avenue Liverpool ann.
United Kingdom
Dear Customer.
In respect to this email, we have been...
Hivi hizi ni Hospitaly,Clinic au Dispensary coz mtu unaenda na mgonjwa saa mbili wamefunga hawatoi humuma maana yake nn?au pengine ni Dispensary watuambie tujue moja inauma sana wadau hebu...
These are the seven interesting facts regarding Col Gadafis' bodyg
7 Facts About Gadaffi's Beautiful Virgin Killing Machines: Pics, Videos, Links, News
Kuna habari kuwa kuna bomu ambalo bado kulipuka na limeonekana Bagamoyo. Nimeisikia habari hii wakati ikimalizika na nimepiga simu kwa mtu wa Bagamoyo amesema ni kweli kuna habari hizo. Wenye...
Ukweli jamani umeona mambo mengi sana katika suala la utetezi wa haki za binadamu, mfano mapinduzi ya nguvu za wanachi Misri, hata yanayoendelea Libya na chini zingine! Ukweli haya yote siyo tija...
Wakuu,
Vazi la CHADEMA linanivutia sana, limebuniwa vizuri kwa matumizi sahihi hasa kuonyesha ujasiri na upiganaji ili kuikomboa nchi hii, linaonyesha uzalendo na ari ya kuondoa kwa nguvu zote...
SERIKALI imekiri kuwa matokeo mabaya ya mitihani ya kidato cha nne yaliyotangazwa hivi karibuni na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na upungufu unaozikabili...
Mgomo wa wanafunzi wa IFM wakishinikiza Uongozi wa Chuo kuruhusu wanafunzi kupewa ID za mitihani, kusogeza mbele ratiba ya mitihani na kuondoa usumbufu unaotolewa kwa wanafunzi katika utolewaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.