hello Great Thinkers
Nahitaji kukodisha Computer Projector (Beamer), nitakua na training kuanzia jumatatu hadi ijumaa, mwenye info wapi naweza kupata au mwenye nayo naomba aniPM please
Katika namna ambayo inatia mashaka, kambi ya jeshi ya gongo la mboto imeendeleza mfululizo wa mauaji, ukatili, unyama na ubabe kwa wananchi wasio na hatia. Wakati wananchi wakiendelea kuugulia...
Inasikitisha sana kwa serikali yetu kushindwa kutoa pesa za kuteketeza mabomu yaliyo kwisha muda wake.kama ilivyo elezwa na Dr Slaa ktk mkutano wa chadema uliyofanyika leo huko musoma mara.'kwamba...
The Nigerian who stole 350 IDs to claim £1.3m benefits
Scam: Olaide Taiwo, seen here at his London home, stole the identities of 350 people to claim £1.3m in bogus tax credits
A Nigerian...
Romana Mallya
25th February 2011
Mnajimu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein
Mnajimu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, ametabiri kuwa serikali ambazo...
Breaking News: Habari zilizothibitishwa hivi punde ni kwamba, siku moja kabla ya mambomu kulipuka kutoka kambi ya Jeshi ya Gongo la Mboto, Serikali, kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii...
police wa Wazo Hill , ndio kituo kikuu kinachotegemewa wakazi wote wa tegeta na Boko Bunju na sehemu nyinginezo kupata huduma muhimu ya kipolice, nenda sasa pale uone kinachojiri, police hao...
Mwezi mmoja tangu mamlaka za Romania kuanza kuwatoza kodi wachawi, watabiri na wapiga ramli nchini humo wamelaani sheria mpya itakayowalazimu kulipa faini, iwapo utabiri wao hautakuwa wa kweli...
Wadau nomba tujuzane!
Pita yangu hivi karibuni huku kaskazini ndo nimejua kumbe baadhi ya majeshi bado yapo. Jana pale A town nilikuta jamaa wenye wenye uniform kama polisi wetu! Wakanipiga mkono...
THE Angolan capital calls itself the New Dubai and there certainly are similarities with the emirate. Luanda has vast oil wealth. If they could only get visas, which are rarely granted, tourists...
Hivi vikundi viwili kukutana uwanja wa taifa na kucheza mpira ni ishara kuwa katika utawala huu wa JK maisha bado si mabaya sana kama wanasiasa watoto wanavyodai.
Bongo fujo na Bongo bishoo...
Wakuu,samahani kwa kichwa kuwa katika lugha ngeni
Ni kuwa hivi sasa kumeanza kuibuka kasumba ya watu tena wasomi kuomba fedha za miradi kutoka kwa wafadhili(lazima iwe ni kutoka nje ya nchi) kwa...
Wana JF,
Leo nimekuja kwenu kupenda kujua na kama kuna mtu yeyote atupe kujua sheria za Kazi kwa wageni (Expertises) ndani ya nchi yetu ni zipi
eg.
Kwa Mfano Exprt Akiajiriwa hapa TZ anatakiwa...
Baba mmoja nchini Misri amempa mtoto wake mchanga jina la Facebook kama shukurani yake kwa tovuti ya Facebook kwa kusaidia kuwaunganisha Wamisri katika kumung'oa dikteta rais Hosni Mubarak...
jamani wana jamvi naomba msaada wenu,huku kilosa kuna ujenzi wa barabara kiwango cha lami,na imekuja barua inayowaamrisha wananchi ambao walijenga kando ya barabara ya zamani inayotoka dumila...
kama kawaida, napokua na issue na nataka kupata maujanja fasta huwa natacheck JF, na mara zote hamjaniangusha.
Naenda arusha kikazi for three four days, sijwahi kwenda arusha before, sehemu...
Kuna habari kuwa JWTZ imekuwa na upungufu wa wataalamu wa mabomu hasa katika kufanya inspection na Kutoa elimu endelevu juu utunzaji na uhifadhi mabomu yaliyoko ghalani. Hivyo basi imeandaa...
Mapigano makali yanaendelea hivi sasa huko Mto wa Mbu Arusha. watu wameumia sana na nyumba kuharibiwa. Ndugu yangu alieyeko mji huo sasa anakimbilia Arusha.
Source Radio one na private contact...
Ndugu zangu na familia yangu ya wana-JF wote.
Katika siku chache zilizopita nilifiwa na mdogo wangu anayenifuatia. Nimekuwa out of touch na JF na nitaendelea kutokuwepo jamvini kwa muda kidogo...
Kwa mujibu wa kipima joto cha ITV. Je, Watanzania tumejiandaa kwa kiasi gani ili kukabiliana, na matukio ya mtambuka kama vile milipuko ya mabomu, mafuriko, kimbunga, ukame, moto...... na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.