Mh. William Lukuvi alkuwa katika kiti moto leo akitetea shahada yake ya uzamili kwa njia ya utafiti tu. Jamaa kama ni kutunza vitu kichwani amejitahidi. Maana alijibu maswali sawasawa bila...
MWILI wa mtoto mchanga mwenye jinsi ya kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja, umekutwa ukiwa katika mfuko wa rambo kando ya Bahari ya Hindi karibu na Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu...
Jamani wapendwa ninavyojua kuwa dalili za uwepo wa mvi ktk kichwa kinachangia kuwepo na chembechembe za busara hata robo,hoja yangu ni kuhusu kiwete hv anazo mvi au vipi?mbna kichwani ni nywele...
Walisema wahenga 'ngoma inogile' na 'asiye na mwana aeleke jiwe'. Ooo wadiba eee, mwanangu leo kapika kisamvu! Mambo ya ukwereni hayo, wewe utayaweza!. Sasa wadau wenzangu wanajf ishu iko hivi...
Nikiwa kama mdau mkubwa wa idhaa ya kiswahili ya BBC leo nimepata kufwatilia vizuri mjadala juu ya mabomu ya G. Mboto, mjadala ulikuwajumuisha wadau mbalimbali wakiwamo wakazi waliodhurika, waziri...
This is how life in future is going to be.
Click the link.
ãæªä¾ä¸çãé·é樣ï¼è§¸æ§å¼è¢å¹ç¡æä¸å¨ - è§é¢ - ä¼é ·è§é¢ - å¨çº¿è§ç
Wakuu,
Nimepata taarifa toka kwa jamaa yupo jirani na jengo hili anadai Umoja House panawaka moto na zimamoto wameshawasili eneo la tukio.
Kama kuna aliye karibu zaidi atufahamishe zaidi
Jamani sijui ni komputa yangu au kitu gani tokea alhamisi website ya mwanahasi siipate nikifungua napata below msg
The website cannot display the page
HTTP 500
Most likely causes:
<LI...
Nimepata leo kwa email yangu, baadaya ya ku-google nikakuta ni aina mpya ya scam ambayo mwisho wa siku utatakiwa utume pesa flani hivi, ni utapeli mpya huo tuwe macho
Hi,
My name is...
Mimi siamini kama huyu ni mmiliki halali ya DOWANS!!huu ni usanii watanzania tunafanywa hatunazo!!wewe ulisikia wapi eti anatuonea huruma!
Hii nikutaka kupooza moto wawa bunge kuhusu DOWANS sasa...
Wakulu natumai wote mko poa. Jana baada ya kurudi zangu nyumbani mida ya jioni nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa wa Jeshi la wananchi kambi ya Lugalo. Katika mazungumzo yetu...
Wakuu mimi ni mmoja wa watanganyika wengi ambao hatukuona mkutano wa jwtz na wahariri wa vyombo vya habari kutokana na side effect ya dowans. Leo bahati nzuri nimebahatika kuangalia marudio...
Hali zenu wanajamii!!!
Mwenzenu nina mdogo wangu kamaliza Chuo kikuu cha Dar Es Salaam mambo ya biashara. Miaka mitatu sasa anatembea kutafuta kazi hajapata hata kama ana first class...
Nimeisoma hii habari imeniacha hoi!, ukatili kama huu sijui utaisha lini Tanzania, inasikitisha sana na wala haijapewa uzito unaostahili kwenye vyombo vyetu vya habari!!!:angry:
"....Aliporudi...
Binafsi huwa nasikiliza sana redio za dini mbalimbali hasa linapokuja swala la kitaifa. kwa bahati mbaya husikia sana chadema ikitajwa kwenye redio za kiislam, makongamano ya kiislam na kutajwa...
Tarehe 21 February 2011 majira ya saa tano na robo mchana, nilimsikia Mbunge wa Arusha Mhe Godbless Lema akihojiwa na mwandishi wa habari wa Star TV juu ya kupunguza msongamano wa magari jijini...
Nimesikia eti serikali ina mpango wa kusitisha matumizi ya noti mpya baada kuonekana noti feki zimezagaa kwa wingi kila kona ya nchi hivyo kuwa vigumu kuzidhibiti kutokana na kufanana sana na noti...
Maajabu
Wednesday, 23 February 2011 09:29
*Paka anyofoa nyeti za babu
*Akimbia na kuzila
Na Waandishi Wetu, Manyara
MAJONZI na masikitiko vilisababisha kikao cha wazee kuvunjika ghafla...
Kama ilivyo kwa polisi, Trafiki, FFU na askari wa kawaida wote husoma kozi ile ile; pia kwa uandishi wa habari, waandishi wa magazeti, watangazaji wa redio/tv na wapiga picha husoma kozi moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.