Sawa tunahitajia mitambo ya Dowans;
DON'T BUY THEM, SEIZE THEM KWANI WAMEWADANGANYA! Kwanini mnatetemeka kwenye option hii. Vinginevyo si huwa tunaomba misaada ya kigeni, mwombeni Al-Adawi...
Polisi mkoani Kigoma amemuua raia na mkuu wa polisi mkoani humo bwana George Mayunga anasema ni bahati mbaya na wananchi wawe na imani na jeshi la polisi....jamani jamani hii bahati mbaya kila...
Jana nilisikia kupitia mtandao wa IPP na hapa JF kwamba kumekuwa na machafuko ya kidini huko Arusha. Nilitegemea kuwa leo ningepata habari zaidi kuhusu jambo hilo na kusikia kuwa viongozi mbali...
Leo katika Jambo Tanzania kuna habari ya kusikitisha kuhusu binti (15) anayesoma darasa la tano huko Lindi.
Binti huyo alikuwa ni mtoro na mvivu, walimu walipofuatilia wakabaini kumbe huwa baba...
heshima kwenu wakuu wote ndani ya jforum.kama tunavyofahamu nchi yetu imeingiliwa na mdudu hatari katika kambi za kijeshi.hapa nchini.mdudu ambae kama hato pigwa afe ataendelea kuyabungua mabomu...
Waandishi mmetudhalilisha kama mlifanya hili milipotoka yapaswa muwaombe radhi wa Tanzania!Habari zilizopo nikwamba mlishindwakumpiga picha fisadi la Dowans Mliwekea shariti kuingia kwenye hotel...
Sheikh Yahya Hussein: Serikali zisizotimiza ahadi kuangushwa
Mnajimu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein
Mnajimu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein...
Jamani unajua watz huwa tunafanya mambo kwa mzahamzaha.,yani siri huwa nakerwa na vijana wavaao tai bila kujua taratibu za tai zinataka nini,yani kuna hawa vijana wanaouza vyombo vya plastics...
5 signs shes into you
You and a pretty redhead are tucked away in a corner table at that impossible-to-get-into new French bistro. And lo and behold, you notice shes laughing at your jokes...
kAMA KWELI MAASKOFU WANATETEA MASLAHI YA TAIFA LETU NA SIO CHADEMA,MBONA WAMEKAA KIMYA KUZUNGUMZIA TATIZO ZITO LA UMEME KAMA WALIVYOISHAMBULIA CCM NA SERIAKALI KTK VURUGU ZA ARUSHA??
Ndugu wana JF maandamano ya Jana MZA ni ya msingi. Kweli vitu vimepanda sana bei Na Viongozi wetu hawajui wamelala usingizini tu. Lakini tuangalie nini kinasababisha Vitu kupanda Bei Je ni umeme...
MBUNGE wa Temeke, Abbas Mtemvu (CCM), amemshitaki Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke, Steven Kongwa kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Hawa Ghasia, akidai...
Tanzanians undergo training on power distribution, transmission systems
By Judica Tarimo
19th February 2011
Tanzanian Ambassador to the US Mwanaidi Majaar
Tanzanian Ambassador to the US...
PAMOJA na kusoma na kuhitimu madarasa ya juu kuliko wanafunzi wao, imeonekana kuwapo haja kwa walimu wa shule za msingi kupimwa welewa wa masomo wanayofundisha.
Ili kulitekeleza hilo na kupata...
watu tumekuwa tukingojea sana ni siku gani tutafanya yale waliyofanya wenzetu wa Tunisia,Misri na sasa Libya.Habari za kuaminika zinadokeza kwamba ifikapo April mwaka huu serikali ya 'Mkwere'...
Salaam wana JF!
TCRA kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha mamlaka hiyo ipo kwajili ya kutoa leseni na kuregulate shughuli zote za mawasiliano(simu,radio,internet na televisheni).
Sasa kwa...
WikiLeaks founder Julian Assange loses extradition fight 11 hours ago by ?*Kev Hedges Politics - 1*comment Listen to this article (by ReadSpeaker) A district judge in south London has told...
Katika jitihada za kupunguza na kuzuia ajali, napendekeza kila kwenye zebra cross kuwekewe traffic lights ambazo zitaongoza magari na waendao kwa miguu kwa zamu. Hii pia itasaidia kupunguza...
Mtoto Juma ambaye alikuwa akijieleza huku akilia, alisema, "pamoja na kujitetea kwa muda mrefu lakini mama hakunielewa hata kidogo na kuendelea kuning'ang'aniza kwamba mimi ndiye mwizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.