Kuna matangazo nayasikia mara kwa mara kwenye vyombo vya habari ambayo waandaaji wa matangazo hayo wanaamini ni njia mojawapo ya kupeleka ujumbe wa kuwakinga wanawake/wasichana na maambukizi ya...
Nimesoma post yenye tamko la Mhe. Mnyika binafsi kwanza nimeliona liko too soft, sidhani kama hiki ni kipindi cha kuwa kidiplomasia namna hii wakati wananchi wanaendelea kuteseka.
Kigezo...
Juzi nilikuwa guest fulani naangalia tv....nikavutiwa na mzee wa upako Antony Lusekelo akifanya mahojiano na chanel 10...alisema aliamuru katika mikoa baadhi akaitaja Singida,Dar nk mvua...
Walking tho the bush today I stumbled across jars of cannabis, wit a street value of millions of shs.
wot do you fink i should do:
A........involve the police
b........pick it and reck...
Jamani wana JF kuna kitu nimekuwa nikijiuliza kwa muda, kwa maisha ya sasa yalivyokuwa magumu kwa mtanzania aishie Dar ni shilingi ngapi kwa mwezi kama mshahara yaweza kumtosha angalau kupambana...
Jamani ninauliza kwanini?
Kila uingiapo JF, majukwaa yanayoongoza kwa kuwa na posts nyingi na viewers weni ni
1. Jukwaa la siasa
2. Mahusiano na mapenzi na urafiki
3. Hoja mchanganyiko
Nini chanzo??
wana jf mimi maoni yangu kuhusu hizi kamati za bunge ni kama uvujaji wa pesa. Hizi kama zipo lakini matatizo yako palepale leo utasikia wapo ziara mtera, mara wapo bagamoyo kwenye vikao wiki...
Naona jamii hawa wamejitokeza kulaani mauaji ya wanasongea.
-------------------------------------------
TAARIFA KWENDA VYOMBO VYA HABARI
Hii ni taarifa kwenye vyombo vya habari kulaani mauji...
Source: BBC Idhaa ya Kiswahili matangazo ya saa 12.30 jioni
Polisi inawashikilia watu wanne (4) - watu wawili raia wa Pakistani na wengine wawili raia wa Tanzania kwa kukamatwa na madawa ya...
Tarehe 13 nov 2009 ndio tarehe iliyoandikwa barua na M/KITI WA HARMASHAURI YA WILAYA YA KYELA kwenda kwa diwani wa Kyela Mh Mahenge maarufu kwa jina la MAKETE/HALF LONDON nakala kwa tamisemi...
Kulingana na uwepo wa mahitaji makubwa ya kuongea mambo ya msingi yahusiyo taifa letu kwa uhuru bila kufungamana na upande wowote tunahitaji TV channel iliyohuru yenye kutupa nafasi yakuyaongea...
Mgombea wa urais nchini Kazakhstan amekuja na kampeni ya urais ya aina yake duniani kwa kutamba kuwa atawapatia waume wanawake wote wa nchini humo ambao hawajaolewa.
Mgombea urais wa nchini...
JESHI la polisi mkoani Arusha limelazimika kuwatawanya wafuasi wa Chadema kwa kutumia risasi za moto na mabomu ya machozi. Wafuasi hao walikuwa wakitoka mahakamani huku wakimsindikiza mbunge wa...
habari JF!
Kuna jamaa yangu katika harakati za hapa na pale za kjikimu kimaisha amefanikiwa kujenga maeneo ya kawaida...wayaita yasiyopimwa (squator area)
Kwake imekua kero..mara jirani...
Napenda kutoa maoni yangu Hivi hii nchi imeshakua ya watoto? tunao wasome, wazee, etc ila utashangaa vitu vinavyofanyika kama vya kitoto bila hata kukemewa. Ninamaanisha huyu jamaa mmiliki wa...
Kuna ghorofa linateketea kwa moto,maeneo ya upanga kwa takriban masaa nane sasa,lakini zimamoto wamekuja kulishangaa na kuacha likiendelea kuteketea huku wakitegemea litajizima lenyewe!!Kwa mtindo...
Ndugu yenu nimefiwa na baba yangu jana tar. 18/2/2011 muda wa saa 11 jioni kwa habari toka kwa ndugu zangu, mimi ndugu yenu nipo nje ya TZ, ni vizuri kukaa mbali lkn yanapotokea mambo kama haya...
Note; Najua hii forum haiendani na topic yangu, but kwa kuwa Wataaluma wengi hupitia hapa naomba hii post ikae hapa kwa muda....tafadhali Wakuu
Dear JF Members, a favour please;
Am working on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.