Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waziri wa mawasiliano na uuchukuzi amenukuliwa na vyombo vya habari akisema serikali imekuwa aikilipa mishahara ya wafanyakazi wa atcl na trl kwa kupitia kodi za wananchi na kusema sasa imefika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wapendwa,nipo nawaza na kuwazva hv wanajesh hawapo ktk kundi la watu ama?sikumbuki kama ktk milipuko ya mabomu ya mbgala kama walitaja ni wanajesh wangapi walifariki au wanajeshi si...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda kutoa shukrani zisizo na kipimo kwa jf members kwa kuwa nami katika kipindi kigumu baada ya kuondokewa na mke wangu mpendwa, shukrani hizi ziwafikie wale wote walioguswa na tukio hilo na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wataalamu wa tiba za binadamu kukataa kutowa huduma ya kitabibu kwa waathirika wa milipuko ya mabomu ya kule Gongo la mboto ni aina mojawapo ya ufisadi. Huwo ni ufisadi mbaya zaidi ya ule wa EPA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hawa jamaa wa tawi la NBC dodoma barabara ya nyerere ni wezi jamani angalieni walichomfanyia mshikaji wangu jamaa alililipiwa ada na mtu wake wa karibu benki tela alichokifanya kapokea pesa alafu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu yeyote akitaja neno Dowans basi waliopo karibu watakunja nyuso zao na kusema kila aina ya ubaya kwa kampuni ya dowans. Nafahamu kuwa mchakato wake haukuwa wa wazi lakini swali je hayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The law of attraction-you become and attract what you think ,wether positive or negative ,like attracts like. *The law of belief-belive big,the size of your success is determined by the size of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo nimeshuhudia wanajeshi wakitoa taarifa kwa WAANDISHI wa habri wa vyombo mbalimbali, nilishangaa sana kuona waandishi wakishindwa kuhoji maswali muhimu na ya msingi hasa baada ya kupata majibu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
NIMEVUTIWA NA HABARI MOJA KATIKA GAZETI LA "TANZANIA DAIMA" LA JUMAPILI, ETI MUETHIMIWA THIPIKA WA BUNGE LA JAMHUURI YA MUUNGANO LA WADANGANYIKA na ZANZIBAR AMEDAI KUWA MAGAZETI YA KITANZANIA NI...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jana nilitembelea website ya Haven of peace academy ipo Mbezi beach, dar ilikuwa inaomba donations watoto wapate scholarships ila inaelekea huko USA wanaiongelea kama ni msaada kwa watoto wa tz...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF, naomba mwongozo. Hivi inapotokea wananchi wamekosa imani na jeshi lao wanapaswa kufanya nini? Mimi sina imani na jeshi la wananchi, kwa bahati mbaya mimi si mbunge...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni hapa ZNZ kumekuwa na movement ya kuhamisha kwa nguvu wafanyabiashara kutoka ktk maeneo yanayodaiwa hayaruhusiwi kufanyia biashara . Moja ya maeneo mojawapo ni eneo maarufu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bandugu, Naomba mnisaidie yeyote anayefahamu kuhusu WAT Saccos. Nasikia wanawezesha watu kununua ardhi, is this true? kuna yeyote aliyewahi kudeal nao. Thanks
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Guys hizi habari nimezipata kutoka tripol but soon nitakuja na confirmation report so stay tuned
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Angalia hii clip kwa umakini.. My Take: 1. Nimevutiwa na jinsi alivyokuwa anajenga hoja na kwa kutumia reference. 2. Ameongea kisomi zaidi na kwa muda mfupi amegusia mambo mengi. Kuna vitu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
British gay Muslims are joining the global fight for equality and seeking gay Islamic marriage. The BBC's 5 live Investigates speaks to one couple about their 'nikah' - a Muslim matrimonial...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Haya magazeti yaliandika kuhusu kuja kwa mmiliki wa Dowans, Eti amekataa kupigwa picha: NIPASHE MWANANCHI MAJIRA MINGINE........ issue kubwa kama hii unasema hakuna picha unaweka maandishi 2! ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Gwynne Dyer WHY now? Why revolutions in Tunisia and Egypt this year, rather than last year, or 10 years ago, or never? The protestors now taking to the street daily in Jordan, Yemen...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Do you have an overweight body?? don’t be shy.. now you can join the special night club which is dedicated for an overweight person. California nightclubs "Club Bounce" and "The Butterfly Lounge"...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Libyan leader Muammar Gaddafi will fight a popular revolt to "the last man standing," one of his sons said on Monday as people in the capital joined protests for the first time after days of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom