Paradiso ndio ipo kati milele ya mbingu na sehemu anayoishi Mungu,Mwana wa Milele,Roho[Infinite Spirit],na wapambe wao. Hiki Kisiwa cha katikati ndichi kitu kikubwa katika vitu vyote vilivyojengwa...
yaan tumekwenda na rafiki yangu, akaniambia wahuhudumu wa hapa ni balaa kwa kuchakachua_akasema ngoja ucheki, akamwita muhudum akamuuliza bei ya Savannah, muhudum akasema 3500/_ingawa hatukuwa...
Habari wanajamvi!
Nahitaji anuani ya Ofisi ya Posta Dar. Maana kuna mtu anataka kuniagizia mzigo(from TZ to USA) ila kadai kuwa hajuwi ofisi hiyo ilipo!shukurani mbele
MSAFARA wa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange, wameonja adha ya mgawo wa umeme baada ya kukwama kwenye...
Wakuu nina ndugu yangu wa karibu ambaye ni mwanajeshi anasema taarifa za kulipuka kwa hayo mabomu zilijulikana tangu siku ya j'tatu . askari wa wadogo ambao ndiyo hasa walinzi wa hayo maghala...
Jamani namshukuru Mungu kwa ulinzi wake wa kiungu mm na familia yangu na majirani zangu na wote tulio nusurika na janga la mabomu la gmboto.
Kifupi cjasimuliwa bali nilishuhudia na kunusurika...
Kuna mwanadada mmoja alikuwa anatoa ushuhuda Radio Safina, mh kasema makubwa.
kasema kuwa alikuwa amechukuliwa msukule na waziri mmoja na kazi yake usiku ilikuwa kuwanga, kwenda kuzima, kuua na...
Wakuu ninapopost hii msg nipo msibani kwa jirani alouawa na bomu chakushangaza kama siokusikitisha ni hali ya mabomu yolozagaa mtaani kwetu mpaka dk hii nashindwa kuelewa kazi ya jeshi na kama...
Mobile Phone Tips
----- 4 THINGS YOU PROBABLY NEVER KNEW
YOUR MOBILE PHONE COULD DO
There are a few things that can be
done in times of grave emergencies.
Your mobile phone can actually be a...
Nchi yetu, vituko haviishi. Kila sehem kuna mambo yake. Na watu wake huamini kuwa ni mambo ya kawaida na ndio nchi inatakiwa iende hivyo. Licha ya kwamba mengi katika yanayotokea tuhuma huelekezwa...
Ndugu JK, nadhani sasa ni wakati muafaka kwako kutumia madaraka uliyo kabidhiwa na wananchi kama mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote.
Tunatarajia,kwa hili la...
Jamani nauliza, mabomu ya atomic nayo yalilipuka?
Mie nashauri kuwa makomandoo tulionao Tanzania wapite kila kambi ya jeshi Tanzania na washirikiane na wanajeshi kuchimba mahandaki ya...
Wadau mi nimekosa majibu naomba mnipe mawazo.Kumbuka ukiwa na mipesa mingi presha na mawazo yanakuwa juu,hapa furaha hakuna.Utakuwa na mke/mume mzuri lakini kilasiku ni matusi au ngumi na mateke...
Hivi Mzee Ali Hassan Mwinyi kukubali kuwajibika wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani halikuwa somo kwa taifa????????? Tujifunze nini kwa mtoto wake kutamka kijeuri kwamba hajiuzulu kwa suala...
Jana nilisikitishwa baada ya kuona Wafanyakazi watatu waswahili wa kampuni ya uwindaji ya Robin Hurt yenye makazi yake jijini Arusha, na ambayo ina vitalu na kambi zake za uwindaji huko...
Majanga!!!!!-majanga!!!!!-majanga!!!! Mara mv bukoba!!, mara ajali ya treni dodoma!!!,.... ajali za barabara kibao!!!, ...mabomu g/mboto 1!!!!!,....mabomu mbagala!!!, ...arusha trajedies...
Nimeona kuwa kila saa mkuu mmoja akiharibu huwa uovu wake unafichwa kwa kisingizio cha Usalama wa Taifa.
Watanzania, kiongozi akifanya kosa, akiiba, akidanganya, ni lazima awajibishwe, huo sio...
Wakuu kwema? usiku wa kuamkia leo wakati narejea home kutoka kuwapa pole wahanga wa mabomu ya gongo la mboto,niliikuta radio One inatumbuiza miziki laini,meseji za kuwaliwaza wafiwa,wahanga...
Wakuu lazima ifike sehemu tuache porojo na tueleze mambo kisayansi.
Tunaambiwa Milipuko iliyotokea mbagala na sasa gongo la mboto inasababishwa na uchakavu wa mabomu na pia joto kali.
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.