Habari ya leo ndugu zangu. Ni mara yangu ya kwanza napost coment kwenye ukumbi huu.
wanasiasa wote ni baba mmoja mama mmoja au niite ni sawa na identical twins, kabla hawajachaguliwa hupiga...
Jamani nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kuwa hivi mheshimiwa mkwere huwa anawaza nini kipindi cha matatizo kama hiki?
Naona amekaa kimya sana kwenye mambo magumu kama yafuatayo:
1. Maiti za...
nimefikiria nikaona kuwa ni vema MODS waweke button ya crap kama ilivyo button ya thanks ili mtu akitoa mawazo ambayo hayana msingi au alikuwa na nia tu ya kuchangia ili aonekane nae kaongea basi...
Baada ya tukio la jana katika kambi ya Jeshi Gongo la Mboto nimeona ni vyema tukiliangalia na hili ....................
April mwaka 2009 ulitokea mlipuko wa mabomu katika kambi ya Jeshi la...
Kuna baadhi Vijana (vibaka) kadhaa wa GOMS walikuwa wanapanga waanze kulipua baruti mfululizo ili kuwatisha wananchi wakimbie tena makazi yao kwa kudhani mabomu yanaendelea kulipuliwa ili wao...
Wakubwa inawezekana msinilewe lakini nimefikia hatua hii kutokana na kuona huyu mama/baba anayeongoza kwa kupost picha,hoja za ngono humu JF kwa kisingizio cha jukwaa la kikubwa.
Huyu jamaa...
SERIKALI imesema suala la kutaifisha mitambo ya umeme ya Dowans kwa ajili ya kukabili hali ya mgawo wa umeme, si sera ya Serikali ya CCM, kwa kuwa hutekeleza kila jambo kwa mujibu wa sheria...
ALELUYAH!
Habari za leo wana JF?
Katika pita pita yangu nimesikia fukuto la vijana wengi wakiwa na tamanio la kuhamia nje mwa viwanja vya ikulu ya Tanzania kwa lengo la kuwaunga mkono wasomi...
katika jambo lililonisikitisha jana ni jinsi ambavyo serikali yetu isivyokuwa makini katika kushugulikia majanga. Rais wa nchi tena amiri jeshi mkuu anawatangazia wahanga kuwa warudi majumbani kwa...
Baada ya mama yake kuificha Playstation yake, kijana mmoja wa nchini Marekani alimuua mama yake kwa kutumia nyundo na kisha alijaribu kuiteketeza maiti yake kwa kuibanika kwenye jiko la oveni...
Wakuu kwema? usiku wa kuamkia leo wakati narejea home kutoka kuwapa pole wahanga wa mabomu ya gongo la mboto,niliikuta radio inatumbuiza miziki laini,meseji za kuwaliwaza wafiwa,wahanga...
Katika mazingira ambayo tunakulia sisi watanzania mara nyingi mama ndio anakuwa karibu na watoto zaidi kuliko baba. Ofcourse hii inaweza kubadilika kutegemea na familia husika. Ila kwa mtazamo wa...
Mrembo wa Brazil ambaye awali alikuwa akishikilia rekodi ya dunia ya kuwa na matiti makubwa kuliko wanawake wote duniani na baadae matiti hayo kukatwa ili kuokoa maisha yake, amejaribu kujiua kwa...
Najua wengi TUmeguswa na hili la mlipuko wa mabomu ya Gongolamboto, mna hasira, uchungu na majonzi mengi. Ila nafikiri kwa sasa kinachohitajika zaidi si kutafuta mchawi au kuorodhesha mapungufu na...
Jamani sakata la mabomu ya Goms tumelisikia. nimesikitika kuona darasa langu la form two"B' Pugu sekondari nalo likiwa limeathirika kwa bomu.
Jamani kuna yeyote mwana jf aliyepatwa na madhara ya...
Habari za Kuaminika za kichunguzi zinaonesha kuwa kuna mtoto wa aliekuwa waziri wa maliasili na utalii kupewa nafasi kama administrator katika ofisi za bodi ya utalii Tanzania bila kufuata...
Ndugu wana JF, kuna taarifa za matumizi mabaya ya bajeti zetu na ambazo ni za uchunguzi kutoka vyanzo mbalimbali, ikiwemo bajeti za serikali. Tuzisome kwa utulivu na tujadili kwa mustakali wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.