Baada ya mlipuko wa mabomu Gongo la Mboto Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi anatakiwa kujiudhuru kwa kuendelea kuvurunda hata baada ya milipuko ya Mbagala.Siri ya kutomteua naibu waziri wa Wizara...
Jamani naomba akina Kibonde mtupatie majibu mbona Cloud TV inaonyesha cheche tupu tangu jana au mabomu ya Gongo la mboto yaliwalipukia?
Tangu jana cloud TV imekuwa haionyeshi kitu chochote zaidi...
Habari members JF!
Jamaa anae demu wake lakini demu hajulikani kwao wala jamaa hajulikani kwao na demu!
Wamelala usiku asubuhi demu ametoka roho(amekufa) sasa jamaa hajui anmpeleka wapi huyo...
Nipo uwanja wa ndege wa "kimataifa" wa JK Nyerere nikisubiri usafiri wa kwenda Kilimanjaro kwa ndege ya Precision Air,hali hapa uwanjani ni mbaya sana kuna mamia ya abiria wanasubiri...
Wanasema abiria wameachwa uwanja wa ndege bila maji wala chakula.
Armeijan ammusvarasto räjähti Tansanian Dar es Salaamissa - suomalaisia motissa - Ilta-Sanomat
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mabadiliko katika safu ya maofisa waandamizi wa Serikali kwa kuteua Makatibu Wakuu wa Wizara wanne wapya, kuhamisha wengine wawili, na kuteua Katibu wa Rais...
Waungwana kuna rafiki yangu yuko mkoani hana connection na mtandao kwa hiyo katika ongea naye ndio akanigusia juu ya uhitaji wa gari kwa ajili ya kumsaidia mke wake mambo ya hapa na pale ikiwa ni...
Niambieni! Mnakubali kuwapa matapeli ushindi?!! ina maana ukiishiwa pesa yakubidi uende kubomoa Bank ukaibe? matumizi yako hayakukuashiria kwamba unaelekea kuishiwa ili ukajenga mikakati halari ya...
Wana-Jamiiforum Members and guests,nashauri iwepo siku ya HASIRA Tazania ili tuweze kuwaweka viongozi wetu kwenye mstari kipindi hiki cha mageuzi ya kiuchumu tuendane na soko huria na...
Enzi zile 2likuwa 2nasoma vitabu na hadithi kama:
juma na roza (pipiii,simile nipite na motokaa yangu)
sizitaki mbichi hizi
pamela na kipini
bulicheka
fikiri mimi masikini
edina na bustani...
Wachezaji wa golf waliokuwa wakicheza katika viwanja vya Dar es Salaam Gymkhana Club leo jioni, wamekumbwa na maafa makubwa baada ya mvua kubwa kuanza kunyesha zikiambatana na upepo mkali...
Kama tulivyoona au kusikia kauli mbalimbali kuhusiana na haya matukio ya Mbagala na Gongo la Mboto, wanasema makazi ya watu yanatakiwa kuwa mbali na kambi za Jeshi. Kama ndiyo hivyo, Je makazi...
Wakuu naomba msaada wenu nimeibiwa kadi original ya gari na vibaka waliovunja kioo cha gari na kuiba pamoja na vitu vingine. ni nini nahitaji kufanya police tayari nimetoa taarifa je nahitaji...
Kuna umuhimu wa kuwa na square hapa Tanzania ,hiyo iwe ni sehemu ya kukutana kwa wafurukutwa/wanaharakati wa maisha ya wazalendo wa nchi hii,huko Kenya kuna Kamukunji na Uhuru gardens,vilevile...
Haya kesho ndg zetu watakua wanasherehekea kuzaliwa kwa Mtume SAW. Ninawatakia sikukuu njema ila ombi langu kwenu, kesho viongozi wenu wajitahidi kutoa speech zenye mwelekeo wa nchi na sio...
Vituo vya utalii kujengwa Dar
HALMASHAURI za Jiji la Dar es Salaam, zimeshauriwa kutenga maeneo kwa ajili ya kujenga vituo vya kitalii ili ziweze kujiongezea mapato.
Ushauri huo ulitolewa na...
nimesikia ule utaratibu wa kukopeshana mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kununua magari ya kifahari unaendelea, kama kuna wakati wa kuwaonyesha watanzania njia kwa vitendo ni sasa, hata kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.