Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa anayejua IQ za marais wetu tangu mwanzo kuanzia Nyerere atujuze hapa jamvini. Nafanya tafiti ili kubaini ikiwa tunavyofikiri kuhusu umuhimu wa IQ ni kweli una-reflect kwenye utendaji na...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Ndugu wapendwa, Mimi ni mswahili lakini mpaka sasa sijafahamu kwa nini tunatumia neno kuota ? kwa mtu aliejianika juani tunasema "fulani anaota jua" ? tujadili, nataka kujifunza kiswahili...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Happy Valentine wana JF!! Tuzungumze ukweli kabisa, Tanzania ya Kusini (Lindi, Mtwara, Ruvuma na baadhi ya mikoa ya Pwani) sehemu ambayo imesahaulika sana hapa nchini!! Kwa wale waliofika...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
:A S-alert1:PLEASE DO NOT TELL ME YOUR AGE MULTIPLY(*) NUMBER 13837 AND YOUR AGE I.E. 13837 * YOUR AGE = X NOW MULTIPLY X AND 73 I.E X * 73 = Y TELL ME WHAT IS number Y...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
wadau wa JF nina mtoto wa ndugu yangu ambaye amemaliza UDSM upande wa UDBS mwaka 2010.tatizo linalomkabili yeye pamija na wenzake kama watatu hivi ni kuwa matkoeo yao hayajakamilishwa mpaka sasa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau mlioko Bongo embu tujulishen hii ni ya kweli??kuna ndugu yangu alikata safari za kigoma kwa mwezi huu kama mara 5 anateseka na kujuta kukata ATCL..Ninin kimetokea jamani shirika letu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ingia hapa :: IPPMEDIA Umewaona wanasiasa sisi hapa JF kazi kejeli na maneno ya kurusha rusha. WanaCDM hizo ndizo siasa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gay church marriages set to get the go-ahead Gay couples currently cannot get married in religious settings Ministers will publish plans to change the law to enable same-sex couples to "marry"...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Mimi kama mtanzania nasikitika sana hizi kamati na bodi zinazoundwa bungeni ni kulipana posho tu hakuna lolote, Juzi January Makamba wameenda kutembelea Bwawa la Mtera wamekuja na jipya gani ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watz ni heri kuwa mbunge tu, Maana kama mbunge kwa kipindi hiki amelipwa mil 90 ( Mwananchi Source Today) . Chukua mili 90 mara wabunge 360, Hii nchi Jamani wengine tunaliwa tu. Kweli ni heri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kwa nini havijengwi vituo maalumu vyenye hadhi kwa ajili ya "kuchimba dawa" tunapokuwa safarini? Hawa wenye magari wameanzisha vituo rasmi kwa ajili ya kazi hiyo lakini vina upungufu kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Dearest hon dk ndodi nimewiwa kujiuliza kwa jinsi unavyojitahdi kujitangza ni vyema na moja ya biashara nafikiria zaidi nikuulize kwa nini ofisi zako ziwe mahotelini..kama una aamini kazi yako kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jf ni matumaini yangu kila mmoja wetu anajua umuhimu wa KCMC kwa umma. Hospitali hii inakabiliwa na changamoto nyingi hasa upungufu wa wodi za kulaza wagonjwa hasa kutokana na kuongezeka kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za mida wana JF! Jamn naombeni msaada hivi kuna website inayoruhusu kufungua website bure kabisa au unalipa baadae! Iwe ya myname.com. Kama ipo wakuu mnipe nizame nataka nianzishe website...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Hii ni kuoa tahadhari kwa waendesha magari hasa katika jiji la Dar. Enzi za watu kukwepa magari zimekwisha, sasa ni waendesha magari kuwakwepa wapita njia (waendao kwa miguu) Leo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wadau naomba yeyote mwenye CV ya mama Anna mkapa ili niweze kufuatilia issue fulani
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Taarifa ya kujisafisha kwako bado inawalakini sisi watanzania ili uwe msafi pamoja na yote na taarifa kuwa ushaidi umeshindwa kubaini kama ulihusika,tunachohitaji ni kupata taarifa kamili ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Posho yawakimbiza madaktari wapya Temeke na Nasra Abdallah MADAKTARI wapya waliopangiwa kufanya kazi katika hospitali ya Temeke Dar es Salaam, hawajapewa posho zao kwa miezi mitatu tangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuona watu tunavyomlaumu Mungu kwa makosa yetu wenyewe nimeona nilete hii article Jamvini ili tuijadili Why Do We Blame God for Catastrophes? Insurance companies speak of damage...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Msanii mmoja wa Hip Hop wa kike anayechipukia wa Uingereza amefariki dunia baada ya kujidunga sindano ya kuongeza makalio ili aweze kutamba kwenye anga za muziki kama kina Beyonce au Jennifer...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom