kodi ya maendeleo ya Taxi na pikipiki imepanda toka 95000 mpaka 191000. Watu wa pikipiki na taxi wanalalama!
Ari mpya, nguvu mpya kasi mpya hukooooo Tabora!
Source: TBC Kipindi cha Dira
"The night before government abolished cooperatives, wise men had been told by secret sources and therefore they spend a night resolving KNCU and registering Kilimanjaro Uremi Corporation or KUC...
Mimi ni mmoja wa mtumiaji wa huduma ya internet ya zantel (Zconnect) tangu walipoanza kuleta modem zao. Kubwa zaidi nilijiunga kuwa mteja wa high life. Hivyo nilikua najiunga na kifurushi cha wiki...
ITS FAKE! Tanzania Standard (Newspapers) Limited employees Monica Kayuni (left), Jacqueline Sadicky (centre) and Jane Chiponde look with consternation at the counterfeit 10,000/- notes collected...
Tangu kuanza kwa bunge linaloendelea makinda amejitokeza wazi kwamba amepania kweli kweli kukwamisha wabunge wa CDM katika kutekeleza wajibu wao wa kuisimamia na kuikosoa serikali inapobidi...
Watanzania kwa pamoja tumekubaliana kwamba kutokana na majukumu makubwa waliyonayo Viongozi na watendaji waandamizi serikalini, ambayo yanahitaji akili iliyotulia, kuna umuimu mkubwa kutumia...
Katika Uchaguzi uliomuingiza Mkwere Madarakani Mwaka 2005, Kanisa katoriki lilijiingiza kwenye Siasa za uchaguzi Miguu yote miwili na kuwalazimisha Watanzania Wamchague Kikwete kwa sababu ni...
wakuu jana nilikwenda wapo mission wana kifaa cha kupima afya mwili mzima kwa sekunde 56 na kinakupa majibu yote nakama unaflash disk wanakuwekea majibu yako na pia wanamtambo wakutoa sumu mwilini...
HABARI Wana JF:embarrassed:
Mie ningependa kuuliza kuhusu mawaziri vivuli mbona sielewi wanamaanisha nini?
manake nimesoma gazeti la mwananchi nimeona Mh. MBOWE alikuwa akiwatangaza hao mawaziri...
Soma Hii Habari; Sisi Bara kweli hatuna huu Udini; Ni Bora kuiacha Zanzibar wenyewe... sasa hivi wanadai KILWA ni yao...
.HAKIKA NDUGU ZETU WAISLAM WA TANGANYIKA HAWANA CHOCHOTE CHA
KURINGIA...
WanaJF niaje nimepita jana jion kwny njia panda kuelekea chang'ombe nikashangaa kukuta magal na folen kubwa 2uu alafu baada ya kufika pale kila m2 anacheka kuangalia nje ndo ninaona hayo maneno hv...
By Lesley Wroughton
WASHINGTON | Tue Feb 15, 2011 5:21pm EST
WASHINGTON (Reuters) - World Bank chief Robert Zoellick on Tuesday said global food prices have reached "dangerous levels," and...
Habari za jioni wakuu?
Nina mtoto ambaye anatarajia kufanya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu kama mtahiniwa wa kujitegemea,
Shuleni kwao waliambiwa kuwa form hawana kwa kuwa baraza la...
Hivi wewe Mggid mbona unaenda kujibia maswali ya JF kule kwa Shigongo?
Why dont you Put your views here yaishie hapa.
Achana na mambo ya kwenda kwenye Forum nyingine na kusema kule JF wako hivi na...
Wakuu,
Mara kwa mara nimekuwa nikitazama hizi clips za Rais JK alivyoenda kijijini kwake Msoga, ni mengi ya kujifunza na kujiuliza kuhusu Rais wetu kwa kutazama hizi clips.
Na nyingine hii:
nimejaribu kufanya utafiti usio "rasmi" na kubaini kuwa inapotokea mwanaume aliyeoa kumtongoza mtu mwingine ambaye tayari ameshaolewa au bado hajaolewa inakuwa rahisi kupita maelezo kukubaliwa...
Watanzania wa kipato cha chini mbona mambo yanazidi kutuendea kombo! Nauli mpya zaja , mgao wa umeme ndo kwanza umeshika kasi, umeme wenyewe bei juu mambo kibao bei juu. Wenye nyumba nao...
FATAKI-Kipande kidogo cha shaba kinachotiwa baruti na kilichomo ktk risas AU karatas zinazotengenezwa na kutiwa baruti ndani
CHEMUA-kupga chafya
KINYO-mk*ndu
MARMAR-marumaru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.